22/08/2026
🌊🔥 PWANI IMESIMAMA. PWANI INAWEKA VIJANA WAPI?
Kila siku tunazungumza kuhusu vijana wa Pwani, lakini swali ni moja:
👉🏾 Fursa ziko wapi?
💼 Ajira?
📈 Fursa za biashara?
💻 Kazi za kidijitali?
🛠️ Skills na training?
🏖️ Tourism?
Na k**a ungepewa nafasi ya kubadilisha KITU KIMOJA kuhusu ajira na fursa za vijana Pwani...
UNGEANZA NA NINI? 🤔👇🏾
Usiseme tu “hakuna kazi.”
Tuambie tatizo na ikiwezekana, pendekeza suluhisho.
Tunasoma kila comment. 🗣️
Tunasikiliza. 👂🏾
Tunajifunza. 📚
Na tunajenga mazungumzo kutoka kwa sauti za wananchi.
🌊 LINDA MWANANCHI PWANI
Sauti ya Ukweli. Nguvu ya Haki. Nguvu ya Mwananchi.
👉🏾 Follow Page | Comment | Share | Tag kijana wa Pwani
Hii ndio Harakati Yetu. Huu ndio Wajibu Wetu. 🇰🇪✊🏾