Abdulkadir Dekow For Nyali Mp,

Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, Abdilkadir Dekow is a Kenyan businessman and community leader vying for the Nyali mp Seat

BIDII, NGUVU NA SHAUQ YA KUMALIZA KIU YA HUDUMA KWA WANANCHI ndiyo aliyonayo Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, 2027.Juhudi ...
08/09/2026

BIDII, NGUVU NA SHAUQ YA KUMALIZA KIU YA HUDUMA KWA WANANCHI ndiyo aliyonayo Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, 2027.

Juhudi zake za kuhamasisha uungwaji mkono wa H.E. Rais wa Taifa, Dr. William Samoei Ruto, UDA, na Hassan Omar Hassan katika azma yake ya ugavana wa Mombasa, si suala la huduma pekee kwa WanaNyali na Mombasa kwa jumla, bali ni maono ya pamoja, lengo moja na dhamira ya kuiona Mombasa ikipiga hatua.



Under the leadership of the UDA secretary general Hassan Omar Hassan (Gov. Sarai2027) Hon. Abdulkadir Dekow For Nyali Mp...
01/09/2026

Under the leadership of the UDA secretary general Hassan Omar Hassan (Gov. Sarai2027) Hon. Abdulkadir Dekow For Nyali Mp,
Had grassroots consultations led by the UDA Secretary General Sen. Hassan Omar Hassan, UDA Mombasa County Chairperson Hon. Kitaka, Dekow campaign manager Mr. Abdusalam and other leaders before engaging Village Elders and Mabalozi wa Nyumba Kumi from Nyali Sub-County.
The discussions focused on wananchi’s concerns, development under President William Samoei Ruto, opportunities through the Broad-Based Government, and the need for increased voter registration and acquisition of National Identity Cards.
The engagement reaffirmed the vital role of grassroots leaders in strengthening unity, participation, and representation through the .
Present were Hon. Fatma Barayan, Woman Rep 2027, Hon. Mutungwa Wambua, UDA SG Mombasa, and other leaders and community representatives.
The journey continues. NYALI NI DEKOW!


Muheshimiwa Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, aliungana pamoja na katibu mkuu wa chama cha UDA ambaye pia ni gavana mtakiwa...
31/08/2026

Muheshimiwa Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, aliungana pamoja na katibu mkuu wa chama cha UDA ambaye pia ni gavana mtakiwa wa Mombasa Hassan Omar Hassan(Sarai) katika mapigano na mchezo ndondi eneo la Mkomani Nyali.
Dekow amekuwa mstari wa mbele kuunga mkono vijana na vipaji tangu mwanzo wa mapigano haya ambapo awali alichangia vifaa ikiwemo gloves kwa wapiganaji mwanzo mwa mapigano haya.
Viongozi hao wameahidi kuendelea kuunga mkono vijana na kuboresha vipaji ili kujiinua kimaisha.


*MILAD UN-NABI MUBARAK*As we commemorate the birth of Prophet Muhammad ﷺ, I, Hon. Abdikadir Dekow, extend my heartfelt w...
25/08/2026

*MILAD UN-NABI MUBARAK*
As we commemorate the birth of Prophet Muhammad ﷺ, I, Hon. Abdikadir Dekow, extend my heartfelt wishes to the people of Nyali, all Muslims in Kenya and around the world.
May we continue to follow his teachings of peace, unity, compassion, justice and love for one another. Let us use this blessed occasion to strengthen our faith and work together for a better, more united and prosperous community.
Milad-un-Nabi Mubarak! 🌙🤲🏽

This is pure love. I appreciate all my supporters who have volunteered to walk with me on this journey of improving the ...
16/08/2026

This is pure love. I appreciate all my supporters who have volunteered to walk with me on this journey of improving the leadership of Nyali.
Development and sustainability remain to be the key goal.
Tunaendelea kusikiza ground.
What's your take?


12/08/2026

Kuna changamoto nyingi ambazo Nyali inapitia. Miongoni mwa hizo na suala na dini.
Natumbua na kuheshimu dini zote na ndio maana nafanya vikao na waumini wa kila di I Kuna changamoto zao maana hazifanani.


12/08/2026

Uongozi unaotoka kwa wananchi. Pendkezo la wakazi wa Nyali ni Dekow.

11/08/2026

Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, ameendelea kudhihirisha umaarufu wake haswa eneo la Bombolulu baada ya miungano ya bodaboda kuonyesha kumuunga mkono mbunge mtakiwa wa Nyali Dekow huku wakimtuma kuwawakilisha bunge katika maswala kadha wa kadha.
Pia wamemtaka Dekow pia awafikishie Salam zao kwa rais William Ruto kwa ujenzi wa Barabara unaondelea eneo hili huku wakiitisha mafunzo zaidi kwa sababu ya usalama wao k**a madereva.
Msemo wao bi mmoja
.
Naahidi kuzidi kuwasgika mkono katika safari ya uongozi.


Soko la Kongewea ni kitovu Cha biashara afrika mashariki na ya kati. Uwepo wake katika eneo bunge la Nyali ni baraka kwa...
11/08/2026

Soko la Kongewea ni kitovu Cha biashara afrika mashariki na ya kati. Uwepo wake katika eneo bunge la Nyali ni baraka kwa wakaazi wa Nyali lakini iwapo tu mambo muhimu ya soko Hilo yataangaziwa.
Changamoto ya taka katika soko Hilo imekuwa donda SUGU na kulemaza shughuli katika soko Hilo.
Kila ninappzuru soko Hilo changamoto hazikosi kujitokeza katika vikao vyetu ila naamini vikao hivi na wafanyiviashara na washikadau wa soko hili vimeanza kuzaa matunda.asante wanabidhara wa KONGOWEA.


Address

Mombasa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abdulkadir Dekow For Nyali Mp, posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share