31/03/2026
Pwani youth revolution
Empowering coastal youth for a brighter future.Join the movement for change , innovation and community development in Kenya's Coastal region.
31/03/2026
31/03/2026
Mwakilishi wadi kasemeni huko kaunti ya kwale ametangaza kuwa ujenzi wa patanani ECDE huko Boyani kwa Mutunga umeanza.
Toa maoni yako .
"Hamjambo wanakasemeni wenzangu,
Nataka kuwatangazia kuwa kazi ya kutengeneza Patanani ECDE imeanza pale Boyani Kwa Mutunga. Ahsanteni kwa ushirikiano wenu. "
Hatukatai umedhihirisha azma yako ya kuwania kiti cha kisiasa hapa pwani , na pia hatupingi hilo lakini manifesto yako ni yepi kwa wakaazi wa pwani haswa katika eneo utakalogombea.
Dhihirisha yale unayopania kufanya endapo utachaguliwa , wala si kutoa mfano Kwa madhaifu ya kiongozi wa sasa.
Tunatambua na kusikiliza kila mpwani na kumjuza mpwani yale unayopania k**a mgombea au k**a kiongozi wa sasa.
Tuseme kwamba kila mwenye mazuri ana mabaya yake pia.
Jee ungependa tuangazie mgombea kutoka katika eneo lako anayegombea kiti chochote cha kisiasa mwaka 2027.
Tutumie ujumbe ukianza na jina na nafasi ambayo anagonbea nasi hatutasita kupaza mtandaoni.
Sema nasi.
Juma hili linapoanza ungependa tumuangazie nani...???
Nia yetu ni kukujuza na kuwatambua viongozi mbalimbali kutoka katika eneo lako.
Tunaangazia kazi nzuri inayofanywa na pia kutambua wale wagombea katika uchaguzi ujao.
Sema nasi.....
25/01/2026
Wakaazi wa eneo bunge la kinango kaunti ya kwale songeni karibu.
Tambueni Abdulrahiim mwangadu , mgombea wa kiti cha ubunge katika eneo hilo.
Jee mnamtambua ...???
Sema nasi.
25/01/2026
Here we go.
Wakati ni sasa , vijana tuko tayari...???
Sema nasi.
01/01/2026
A section of members of parliament from the pwani region need to learn from their fellow member of parliament.
MPs need to learn from Ndindi nyoro-kiharu member of parliament.
Pwani youth revolution inamtakia kila mmoja mwaka mpya wa 2026 wenye mafanikio.
Kumbuka safari ya kesho hupangwa leo , hivyo basi wakati ni sasa wa vijana kuamka!!!.
#2026
Click here to claim your Sponsored Listing.
