25/10/2026
Nakuomba kura yako, mkaazi wa Nyandarua County! π€
Mimi ni Dr. Philip Kimani wa Karangu, na ninaomba nafasi ya kuwatumikia k**a Gavana wenu mwaka wa 2027. Kwa pamoja, tunaweza kujenga Nyandarua yenye maendeleo, uwazi, uadilifu na fursa kwa kila mwananchi.
Kura yako ni sauti yako. Tuchague uongozi wa kazi, si ahadi tupu!
Dr. Philip Kimani wa Karangu
Gavana wa Nyandarua County 2027