Embassy of the United Republic of Tanzania Moroni, Comoros

Embassy of the United Republic of Tanzania Moroni, Comoros

Partager

Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Embassy of the United Republic of Tanzania Moroni, Comoros, Public & Government Service, Oasis, Moroni.

The Embassy covers all matters concerning diplomatic relations and has the responsibility of promoting relations of friendship and co-operation between the governments and the peoples of the United Republic of Tanzania and the Union of Comoros.

28/01/2025

ENERGY SUMMIT TANZANIA 2025

21/09/2022

Mheshimiwa Balozi Pereira A. Silima akutana na Mheshimiwa Anissi Chamsidine, Gavana wa Kisiwa cha Anjouan.
Mheshimiwa Pereira A. Silima, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amekutana na Mheshimiwa Anissi Chamsidine, Gavana wa Kisiwa cha Anjouan katika Ofisi ya Kiongozi Dar Nadjah tarehe 19 Septemba 2022. Wakati wa mazungumzo hayo, Viongozi hao wakigusia mikakati ya kuimarisha ushirikiano baina ya nchi mbili katika nyanja za kiuchumi na kijamii.

Kadhalika, suala la kuanzisha ushirikiano katika kuhamasisha matumizi ya lugha ya Kiswahili Anjouan lilijadiliwa na kuwekewa mkakati imara. Ilikubaliwa kuwa Ubalozi unaweza kutumia vituo vya Radio nchini humo kuendesha mafunzo ya lugha ya Kiswahili.

31/05/2022

BALOZI PEREIRA AME SILIMA, AKUTANA NA WAFANYABIASHARA KATIKA KISIWA CHA MOHELI

Photos 01/02/2022

Mhe. Pereira A. Silima, Balozi wa Tanzania nchini Comoro (kushoto) amekutana na Mhe. Houmed Msaidie, Waziri wa Kilimo, Uvuvi, Utalii na Sanaa ambaye pia ni Msemaji wa Serikali nchini Comoro kwa lengo la kujitambulisha. Mazungumzo kati ya Viongozi hao yamefanyika Saa 4:00 asubuhi Ofisini kwa Mhe.Waziri huko Mde, nje kidogo ya mji wa Moroni.

Wakati wa mazungumzo, Viongozi hao wamebainisha mikakati ya kuimarisha ushirikiano katika Nyanja za kichumi na kijamii ili kunuisha wananchi wa nchi mbili hizi.

Photos 31/01/2022

Mhe. Pereira A. Silima, Balozi wa Tanzania nchini Comoro (kulia) akisalimiana na Mhe. Mousatdroine Abdou, Spika wa Bunge la Taifa la Comoro mara baada ya kufika Ofisi ya Spika kujitambulisha siku ya tarehe 31 January 2022.
Wakati wa mazungumzo yao, Viongozi hao waligusia mikakati ya kuimarisha ushirikiano baina ya nchi mbili hizi ili kuwaletea tija wananchi wake. Ilibainishwa kuwa uhusiano uliopo baina ya nchi hizi unatoa fursa kwa wananchi wake kujiendeleza.

27/01/2022

AMBASSADOR OF TANZANIA TO THE COMOROS PRESENTS LETTER OF CREDENCE TO H.E PRESIDENT AZALI ASSOUMANI

Vous voulez que votre entreprise soit Service Du Gouvernement la plus cotée à Moroni ?

Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.

Emplacement

Adresse

Oasis
Moroni