26/02/2026
UVCCM SENET MKOA WA ARUSHA🔰🔰🔰.
📍Ukaribisho wa Wanachama wapya Chuo cha Tumaini university makumira(Uvccm Tumaini Makumira).
Tukio Hilo litaambatana na jogging asbuhi,semina ya uzalendo Kwa vijana wa chama na Viongozi, refreshments,usajili wa Wanachama wapya.
Wote munakaribishwa.
Imetolewa na K/hamasa senet mkoa.
Ndugu Jailozi Alex Filipo.
