Meru District Council

Meru District Council

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Meru District Council, Public Service, Usa River, Arusha.

Meru District Council originated from the former Arumeru District Council and it was established on the 1st of July 2007 as the District Council with full Mandatory power. Halmashauri ya wilaya ya Meru imeanzishwa rasmi kwa Tangazo la serikali Namba 353 ya mwaka 2007 kufuatia uamuzi wa kugawa iliyokuwa Halmashauri ya Wilaya ya Arumeru na kuanzisha Halmashauri mbili za Wilaya zinazojitegemea za Mer

16/04/2020

ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

Photos 14/04/2020

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Arumeru mashariki anawatangazia wananchi wa jimbo hilo kuwa zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la mpiga kura litafanyika kwa siku 3 kuanzia tarehe 17 hadi 19 Aprili 2020.

Photos 14/04/2020
03/04/2020

Madereva pikipiki wajikinga dhidi ya Virusi vya Korona.

26/03/2020

Photos from Meru District Council's post 28/02/2020

Imewekwa: February 27th, 2020

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Ndg.Richard Kwitega amewataka Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Wilayani Arumeru, mkoani humo kutekeleza wajibu wao kuendana na kasi ya awamu ya tano iliyojikita kwenye utawala bora na kuwaletea wananchi maendeleo .

Kwitega amesema hayo Wakati wa Ziara yake katika Halmashauri hiyo inayolenga kukumbusha wajibu na utendaji ,kuona changamoto zinazowakabili Watumishi na namna ya kuzitatua, ambapo amesema watumishi hao hawana budi kutimiza majukumu yao kwa weledi na ufanisi ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora ili kuwaletea maendeleo wananchi "kila Mtumishi wa umma ana umuhimu kwa nafasi aliyonayo katika swala la maendeleo " amesema Kwitega

Kwitega ametoa wito kwa Watumishi hao kuwa na maadili ndani na nje ya vituo vyao vya kazi ikiwa ni kuepuka rushwa ,ulevi wa kupindukia pia amekemea kitendo cha baadhi ya watumishi kukopa mitaani kwa dhamana ya kadi zao za benki badala yake wakope kwenye taasisi za fedha kwa utaratibu wa kukopesha Watumishi wa Umma uliowekwa na Serikali "kopeni kwa utaratibu kuepuka kudhalilisha Utumishi wa Umma" amesisitiza Kwitega

Aidha Ndg.Kwitega amewapongeza Watumishi wa Wilaya ya Arumeru kwa utendaji wao unatia fora na kuwezesha Wilaya hiyo kufanya vizuri kwenye Sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya Elimu ambapo katika matokeo kidato cha sita mwaka 2019 Shule zake mbili zilifanya vizuri ambapo Shule ya Sekondari Kisimiri ilishika nafasi ya kwanza kitaifa na Shule ya Sekondari Mwandeti ilishika nafasi ya Nne..

Akihitimisha Kwitega amewataka watumishi hao kujitathimini kwa nafasi walizo nazo ni kwa namna gani wametekeleza wajibu wao ili kuwaletea maendeleo

Awali Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimaliwatu. Ndg. David Lyamongi amesema Utumishi wa Umma unaongozwa kwa Sheria na Taratibu ambapo aliweka bayana utaratibu wa stahiki za watumishi wa Umma ikiwa ni upandaji wa madaraja na ubadilishaji vyeo, uhamisho, posho mbalimbali katika utumishi wa Umma , utaratibu wa likizo na ushughulikiaji na ulipaji wa madeni ya watumishi.Ambapo ametoa wito kwa Viongozi na Watumishi kuzingatia Sheria na Taratibu hizo.

Naye katibu tawala wa Wilaya ya Arumeru Mwl. James Nchembe amemshukuru Katibu Tawala Mkoa wa Arusha kwa kupongeza utendaji wa Wilaya hiyo yenye watu zaidi ya laki saba na kuahidi kuendelea kufanya kazi kuendana na kasi ya Serikali ya awamu ya tano.

ziara ya Katibu tawala Mkoa wa Arusha katika Wilaya ya Arumeru imekamilika katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru ambapo Katibu Tawala amezungumza na watumishi wa tarafa za Poli, Mbuguni na King’ori na itaendeleo siku ya Pili katika Halmashauri ya Arusha.

Baadhi ya watumishi waliopata fursa ya kutoa maoni wamepongeza kitendo cha Katibu Tawala Mkoa wa Arusha kufanya ziara hiyo ya kuwakumbusha wajibu wao sambamba na kupokea changamoto walizonazo na kuzitatua na kuomba vikao k**a hivyo kuwa endelevu kuanzia ngazi ya Halmashauri "tunaomba vikao vya namna hii kuendelea kuwepo kwa ngazi mbalimbali kwani vitaleta tija kwenye utendaji wetu " alisihi Ndg. Erick Kulindwa ambaye ni Mtendaji wa Kata ya Kingori .

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Ndg.Richard Kwitaga akizungumza na Watumishi wa Tarafa ya Poli na Mbuguni katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru .

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Ndg. Richard Kwitega amewataka Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Wilayani Arumeru, mkoani humo kutekeleza wajibu wao kuendana na kasi ya awamu ya tano iliyojikita kwenye utawala bora na kuwaletea wananchi maendeleo .
Kwitega amesema hayo Wakati wa Ziara yake katika Halmashauri hiyo inayolenga kukumbusha wajibu na utendaji ,kuona changamoto zinazowakabili Watumishi na namna ya kuzitatua, ambapo amesema watumishi hao hawana budi kutimiza majukumu yao kwa weledi na ufanisi ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora ili kuwaletea maendeleo wananchi "kila Mtumishi wa umma ana umuhimu kwa nafasi aliyonayo katika swala la maendeleo " amesema Kwitega
Kwitega amewataka  Watumishi hao kuwa na maadili ndani na nje ya vituo vyao vya kazi ikiwa ni kuepuka rushwa ,ulevi wa kupindukia pia amekemea kitendo cha baadhi ya watumishi kukopa mitaani kwa dhamana ya kadi zao za benki badala yake wakope kwenye taasisi za fedha kwa utaratibu wa kukopesha Watumishi wa Umma uliowekwa na Serikali "kopeni kwa utaratibu kuepuka kudhalilisha Utumishi wa Umma" amesisitiza Kwitega
Pia  amewapongeza Watumishi wa Wilaya ya Arumeru kwa utendaji wao unatia fora na kuwezesha Wilaya hiyo kufanya vizuri kwenye Sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya Elimu ambapo katika matokeo kidato cha sita mwaka 2019 Shule zake mbili zilifanya vizuri ambapo Shule  ya Sekondari Kisimiri ilishika nafasi ya kwanza kitaifa na Shule ya Sekondari Mwandeti ilishika nafasi ya Nne..
Akihitimisha  Kwitega amewataka watumishi hao kujitathimini kwa nafasi walizo nazo ni kwa namna gani wametekeleza wajibu wao ili kuwaletea maendeleo. 28/02/2020

WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MERU WATAKIWA KUTEKELEZA WAJIBU WAO KUENDANA NA KASI YA AWAMU YA TANO.

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Ndg. Richard Kwitega amewataka Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru, Wilayani Arumeru, mkoani humo kutekeleza wajibu wao kuendana na kasi ya awamu ya tano iliyojikita kwenye utawala bora na kuwaletea wananchi maendeleo . Kwitega amesema hayo Wakati wa Ziara yake katika Halmashauri hiyo inayolenga kukumbusha wajibu na utendaji ,kuona changamoto zinazowakabili Watumishi na namna ya kuzitatua, ambapo amesema watumishi hao hawana budi kutimiza majukumu yao kwa weledi na ufanisi ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora ili kuwaletea maendeleo wananchi "kila Mtumishi wa umma ana umuhimu kwa nafasi aliyonayo katika swala la maendeleo " amesema Kwitega Kwitega amewataka Watumishi hao kuwa na maadili ndani na nje ya vituo vyao vya kazi ikiwa ni kuepuka rushwa ,ulevi wa kupindukia pia amekemea kitendo cha baadhi ya watumishi kukopa mitaani kwa dhamana ya kadi zao za benki badala yake wakope kwenye taasisi za fedha kwa utaratibu wa kukopesha Watumishi wa Umma uliowekwa na Serikali "kopeni kwa utaratibu kuepuka kudhalilisha Utumishi wa Umma" amesisitiza Kwitega Pia amewapongeza Watumishi wa Wilaya ya Arumeru kwa utendaji wao unatia fora na kuwezesha Wilaya hiyo kufanya vizuri kwenye Sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya Elimu ambapo katika matokeo kidato cha sita mwaka 2019 Shule zake mbili zilifanya vizuri ambapo Shule ya Sekondari Kisimiri ilishika nafasi ya kwanza kitaifa na Shule ya Sekondari Mwandeti ilishika nafasi ya Nne.. Akihitimisha Kwitega amewataka watumishi hao kujitathimini kwa nafasi walizo nazo ni kwa namna gani wametekeleza wajibu wao ili kuwaletea maendeleo.

Photos from Meru District Council's post 24/02/2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru anawatangazia Watanzania wote wenye sifa za kuomba nafasi ya ajira kwa masharti ya kudumu kuomba nafasi mbili zilizopo za Dereva wa Mitambo II (Plant operator II) .

Aidha Tangazo hili ni baada ya kupokea kibali cha ajira mbadala chenye Kumb. Na.FA.170/371/01/40 Kutoka kwa katibu Mkuu ofisi ya Rais Menejiment ya utumishi wa Umma na Utawala bora.

Want your business to be the top-listed Government Service in Arusha?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Address


Usa River
Arusha