Utalii wa ndani hujenga fahari ya taifa na kuchochea maendeleo ya jamii. Hifadhi ya Taifa Tarangire imekuwa ikipokea watalii wa ndani, ambao hufika na kujionea vivitio vinavyopatikana hifadhini hapo.
Tarangire National Park -Hifadhi ya Taifa Tarangire
Established in 1970. Total area covered 2,850 sqkms. Important dry season wildlife refuge. The par
Michezo huleta watu pamoja, huimarisha ushirikiano, na kuhamasisha jamii kushiriki katika kulinda urithi wetu wa asili kwa moyo wa umoja na mshikamano. ⚽🌿🐘
Thank you, Terence Crawford, for making memories in the heart of Tarangire National Park.
The beauty of Tarangire lies not only in its landscapes, but in the silence of the wild. Nature breathes differently.
📸 aabely
17/05/2026
Baadhi ya watumishi wa Idara/Vitengo vilivyo chini ya Ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo wakiongozwa na na Prof. Gration Rwegasira ambae ni Mkurugenzi wa kitenge Cha udhibiti ubora - SUA, watembelea Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kujionea makundi makubwa ya tembo, mahali ambapo asili huleta utulivu, fahari na kumbukumbu zisizosahaulika.
📷 aabely
12/05/2026
Vote for Tarangire National Park — Africa’s leading elephant paradise, where giants roam free beneath ancient baobabs and every safari tells a wild story. 🐘
The land of giants awaits your vote
https://www.worldtravelawards.com/vote
🐘
📸 aabely
07/05/2026
Recognizing the beauty of travel and the passion behind every destination. 🏆 Vote now for Tarangire national park, Africa leading elephant's paradise
An elephant’s paradise is not a place—it is Tarangire
🤳 aabely
03/05/2026
*Hatusafiri hadi kieleweke. Wageni waipigia kura Hifadhi ya Taifa Tarangire kabla ya safari 🔥*
Kampeni ya inaendelea, Team Tarangire inatimiza shauku kwa wageni waliotembelea hifadhi hii kwa kupigia kura Tanzania pamoja na Hifadhi za Taifa kwenye World Travel Awards 2026 – Africa.
Tafadhali pigia kura Tanzania pamoja na Hifadhi za Taifa zilizoteuliwa zikiwemo;
a)Africa’s Leading Elephant Paradise National Park
Chagua: Tarangire National Park
b.) Africa’s Leading National Park
Chagua: Serengeti National Park
c.) Africa’s Leading Tourist Attraction
Chagua: Mount Kilimanjaro
d.) Africa’s Leading Scenic National Park
Chagua: Nyerere National Park
e.) Africa’s Leading Cultural National Park
Chagua kati ya: Ruaha au Katavi National Park
f.) Africa’s Leading Honeymoon Destination
Chagua: Kitulo National Park
g.) Africa’s Leading Destination
Chagua: Tanzania
h.) Africa’s Leading Big Five National Park
Chagua kati ya: Serengeti au Nyerere National Park
i.) Africa’s Leading Mountain National Park
Chagua: Kilimanjaro au Arusha au Udzungwa Mountains au Mahale Mountains National Park
Tuungane pamoja kupigia kura Tanzania na Hifadhi zake kuonesha dunia uzuri wa kipekee wa nchi yetu! 🇹🇿
DestinationTanzania VoteNow2026
27/04/2026
In the heart of Tanzania lies Tarangire, the true paradise of elephants. Cast your vote for greatness.
📸 aabely
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Babati
3134MANYARA
Opening Hours
| Monday | 06:00 - 18:30 |
| Tuesday | 06:00 - 18:30 |
| Wednesday | 06:00 - 18:30 |
| Thursday | 06:00 - 18:30 |
| Friday | 06:00 - 18:30 |
| Saturday | 06:00 - 18:30 |
| Sunday | 06:00 - 18:30 |
