Kiromo Zoo

Kiromo Zoo

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kiromo Zoo, GW5X+P2 Bagamoyo, Bagamoyo.

17/02/2026

Karibu kwenye mapokezi yetu✨ Hapa kila mgeni anapokelewa kwa tabasamu, kusikilizwa kwa makini na kupewa maelekezo yote kwa uzoefu bora wa zoo.





14/02/2026

Love is in the air 🦒❤️ On February 14th, our two giraffes found love, a wild Valentine’s story you’ll adore! ✨.
Happy Valentine’s from




11/02/2026

Valentine’s weekend ndo imekaribia, mlete umpendaye zoo. Furahieni siku ya kipekee pamoja kwa kuona wanyama, kulisha twiga, kuogelea, kupanda farasi na kufurahia chakula kitamu. Tengenezeni kumbukumbu zisizo sahaulika.





09/01/2026

Njoo upate uzoefu wa kipekee zoo 🦒🐎 uone wanyama, upande farasi na ufurahie kuogelea. Burudani, matukio na kumbukumbu nzuri katika sehemu moja.




Want your business to be the top-listed Government Service in Bagamoyo?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

GW5X+P2 Bagamoyo
Bagamoyo
POBOX22566