Kerege Secondary School

Kerege Secondary School

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kerege Secondary School, Public School, P. O 265, Bagamoyo.

17/11/2025

Wanafunzi 244 wa Kidato cha nne, leo wameanza mitihani yao ya kuhitimu masomo yao ya kidato cha nne.
Mungu awaongoze kufanya vyema

15/08/2025

Mwanzilishi wa Asasi ya SASAMANI FOUNDATION, Bw. Andy Halsey, Mwenyekiti wa Board ya Asasi nchini Marekani Bi. Aurora na Mkurugenzi wa Ufadhili wa Elimu Tz, Bi. Gladness, kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Shule ya Sekondari Kerege tarehe 14 Agosti, 2025 walipotembembelea shuleni.
SASAMANI Foundation inatoa ufadhili kwa wanafunzi 11 hapa shuleni. Ufadhili huu utadumu kwao hadi hatua ya Chuo Kikuu kwa wanafunzi watakaoendeleza ufaulu mzuri.

Photos from Kerege Secondary School's post 10/07/2024

Tunaishukuru Serikali ya Awamu ya sita kwa kuipatia Kerege Sekondari Mradi wa Madarasa 3 na Matundu 8 ya vyoo. Kazi ya Ujenzi iliyoanza tarehe 18 Aprili imekamilika. Asante sana mama.

Photos from Kerege Secondary School's post 12/04/2024

Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi Mtendaji, leo wamekabidhi vifaa mbalimbali vya Maabara kwa masomo ya Baiolojia, Kemia na Fizikia kwa Shule 10 za Sekondari Halmashauri ya Bagamoyo. Vifaa hivi kutoka Wizara ya Elimu, vitasaidia kiasi kikubwa kuongeza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji wa masomo haya kwa Shule yetu.
Asante sana Mhe. Rais Samia kwa fursa hii.

09/12/2023

KPI in Practice. Thank you Hon. Minister OR TAMISEMI

Photos from Kerege Secondary School's post 07/10/2023

Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na Benki ya CRDB jana tarehe 6 Oktoba, 2022 imefanya Bonanza kubwa la walimu wa Shule za Sekondari na za Msingi. Pamoja na michezo na burudani, tukio hili limeambatana na utoaji tuzo za Kitaaluma kwa Shule zilizofanya vizuri ktk Matokeo ya Mitihani ya taifa mwaka 2022 ya Darasa la Nne, la Saba, Kidato cha Pili, Kidato cha Nne na cha Sita.
Shule yetu ya Kerege imeibuka Kidedea kwa kushika nafasi ya pili matokeo ya Kidato cha Pili na nafasi ya tatu kwa matokeo ya Kidato cha nne kwa shule Serikali. Imeongoza pia kwa ufaulu wa jumla kwa somo la Kiswahili Kidato cha Pili. Hongereni Wanafunzi, Walimu, Viongozi na Wazazi kwa mafanikio haya. Kazi iendelee

Photos from Kerege Secondary School's post 01/09/2023

Kampuni ya APE NETWORK inayojishughulisha na Uandishi, Uchapaji na Usambazaji wa Vitabu tarehe 31 Sept, 2023 imekabidhi msaada wa vitabu 406 vya thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili kwa Shule ya Sekondari Kerege. Afisa Elimu ya Watu Wazima na Elimu nje ya Mfumo Rasmi Mwl Sophia Kirumbi, aliyemwakilisha Afisa Elimu Sekondari (W), ameishukuru APE kwa msaada huo unaotarajiwa kuongeza tija ktk ufundishaji na ujifunzaji shuleni hapa.
ASANTE SANA APE NETWORK

Photos from Kerege Secondary School's post 06/08/2023

Thank you Kerege Sec Alumni year 2016 for touching our needs on Sports. Mmeonesha kwa vitendo maana halisi ya"Nyumbani ni nyumbani".

Photos from Kerege Secondary School's post 02/06/2023

Watumishi wa Sekondari ya Kerege ktk picha mbalimbali kwenye sherehe ya rafiki wa mwaka "Secret Friend"

Photos from Kerege Secondary School's post 02/06/2023

Mheshimiwa Diwani wa Kata ya Kerege, Said A. Ngatipula tarehe 01 Juni, 2023 ameendesha hafla ya utoaji zawadi kwa walimu wa Sekondari waliofanya kazi kubwa ya kuwafundisha Wanafunzi hadi kuhitimu Mitihani ya taifa mwaka 2022.
Katika hotuba yake, Mheshimiwa amewasihi kuendelea kushik**ana k**a jamii moja kwa kuwa ndio siri ya mafanikio ya Shule.

06/02/2023

New Head Prefects ( Head boy & Head girl) ready to work after students' general election results being announced today.
Democracy is a practice

01/01/2023
Want your business to be the top-listed Government Service in Bagamoyo?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

P. O 265
Bagamoyo