09/04/2022
Lugoba Secondary School
This page created purposely for providing Information to all Stake holders related to Lugoba Secondary School
09/04/2022
28/06/2021
SILOAM FOR blind korea
sherehe ndogo baada ya zoom meeting
24/06/2021
OLD Class of Lugoba sec
Pia yana Historia nzuri
Karibu upate historia yake
WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA LEO WANAANZA RASMI MITIHANI YAO YA KUMALIZA KIDATO CJA SITA
TUNAWATALIA KILA RAHELI NA MUNGU AWAPE WEPESI WAKUMBUKE VIZURI YOTE WALIOJIFUNZA KWA KIPINDI CHOTE WAKIWA SHULENI
@ STAFF LUGOBA
27/06/2020
DIGITAL SCHOOL
" TO CREATE A CONDUSIVE ENVIRONMENT WHERE TEACHERS AND STUDENTS USE ICT TO ENHANCE THEIR COMPITENCE
26/06/2020
26/06/2020
Mkurugenzi wa Mafunzo ya Mtandao kutoka Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CoICT) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Joel S. Mtebe(Katikati), akitoa maelekezo namna mfumo mpya wa kujifunzia kupitia njia ya mtandao unavyofanya kazi kwa Msimamizi wa Komputa wa Shule ya Sekondari Lugoba iliyoko Chalinze, Webber Mhenga, Mfumo huo ambao uko kwenye majaribio unafuata mtaala wa kufindishia wa Tanzania na utawawezesha wanafunzi wa masomo ya Sayansi na Hisabati kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kujifunza kupitia njia zilizoboreshwa zaidi. Pamoja nao katika picha ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Halotel Mhina S. Semwenda.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Chalinze
BOX81
Opening Hours
| 09:00 - 17:00 |
