mti pesa group

mti pesa group

Share

"mti pesa group ni kikundi Cha kijamii, tunapatikana mdaula, CHALINZE mkoa wa PWANI...

14/04/2025

Wana mti pesa siku ya ijumaa tarehe 11/4/2025 tulitembelea zahanati ya mdaula, tulipata wasaa wa kufanya usafi eneo lote la zahanati, tulitembelea wagonjwa pamoja na wazazi. Hatukuishia hapo tuligawa zawadi ambazo tulifanikiwa kuzibeba kwenye msafara wetu k**a vile sabuni, pampasi na vifaa vya usafi kwa ajili ya zahanati yetu. Pamoja na hayo tulipanda miti kuweka sawa mazingira ya zahanati yetu
# MTI PESA PAMOJA TUNAWEZA #

Want your business to be the top-listed Government Service in Chalinze?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

SLP 19
Chalinze