04/05/2026
🎓 NACTVET TRANSCRIPT APPLICATION [NTA LEVEL 4 - 6] - S E V E N O N L I N E S E R V I C E
CLIENT WETU KASHACHUKA TRANSCRIPT YAKE...📌
—————————————
Kuepusha changamoto ya kushindwa kufanya mtihani, kukosa kazi au kushindwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu, Seven Online Service tutakusaidia kukamilisha na kupata transcript yako mapema na haraka bila usumbufu wa aina yoyote. Kwa kawaida NACTVET sio wakati wote watapatikana/ kushughulikia changamoto zako mtandaoni na kwa wakati pasipo kwenda ofisini, hivyo kuepusha usumbufu wasiliana nasi sasa na tutakusaidia kutatua changamoto zote za kufanya maombi ya Transcript
HUDUMA TUNAZOTOA
1. Changamoto ya kufanya maombi ya transcript/ hufaham / umeshindwa [Maombi mapya]
2. Haujapata Control Number
3. Umefanya malipo (paid) na mfumo unaonesha hujalipia (unpaid)
4. Haujapata Username & Password
5. Changamoto ya ku upload/ kubadili passport size
6. Na changamoto nyingine nyingi zinazohusiana na maombi ya transcript na ushauri
KUMBUKA: Usijaribu Ku Apply K**a Hujui | Usiingie Gharama Zisizo Za Lazima | NACTVET Hawaoni Hasara Kula Pesa Yako Zaidi Ya Mara Moja.
📱WASILIANA NASI SASA:
WhatsApp | SMS | Call: +255624488340 | +255625432243 | +255760368086
NB: MUDA WA KUPIGA SIMU - SAA 8:00 Asubuhi - 19:00 Jioni | TOFAUTI NA HAPO TUMA UJUMBE WhatsApp Utahudumiwa.
NACTVET FEES HUPANGWA KULINGANA NA MAHALI/ OFISI UNAYOCHUKULIA TRANSCRIPT YAKO:
1. Dar Es Saalam (HQ) - Tsh 20,000/-
2. Mikoani (Zonal Office) - Tsh 25,000/-
NACTVET TRANSCRIPT INAWAGUSA WAHITIMU WA:
1. Health Allied Science,
2. Early Childhood Education, Primary Education and, Secondary Education and,
3. Livestock: (Animal Health Productions, Veterinary Laboratory Technology, Vector Control, Range Management and, Tsetse Control)
HUDUMA NI MASAA 24 YANI 48 | 14 - TUNAKUTHAMINI MTEJA...!
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please, Tell A Friend To Alert A Friend...!
04/05/2026
👨🏽🔬DIRISHA LA MAOMBI YA MTIHANI WA LESENI KADA YA PHARMACY BADO LIPO WAZI - TUMA MAOMBI SASA UPATE NAMBA
> "S E V E N O N L I N E S E R V I C E"
————————————
Kwa Tunaojiandaa Na MITIHANI YA LESINI AWAMU YA JULY 22 - 24, 2026 TUFANYE MAOMBI YA MTIHANI Mapema - MFUMO Upo Na MABADILIKO Hivyo Tuombe Mapema Tusisubiri SIKU ZA MWISHO - TUMA MAOMBI YAKO SASA Na SEVEN ONLINE SERVICE Wengine Wamepata Namba Zao Za Mtihani Bado Wewe Tu.
> HUDUMA ZETU NI HARAKA, NZURI, NA TAARIFA ZA MTEJA ZINAKUA SEHEM SALAM - KWANINI UWE REJECTED NA MFUMO . . . ?
Huduma Zetu Wiki Hii:-
1. Maombi ya mtihani wa LESENI na Huduma ya Kugonga Muhuri Vyeti na ID ⚖️
2. Maombi ya Transcript na Award verification number (AVN)
3. Kurekebisha Account Zilizo kuwa REJECTED na Pharmacy Council
4. Maombi ya Kuhairisha Au Kuomba Nafasi Nyingine Ya kufanya Mtihani Wa Leseni
5. Maombi ya Leseni kwa sector zote za Afya
6. Kiapo Cha Majina (Affidavit/ Deedpool)
KUMBUKA: Maombi Ya Mapema Huepusha Usumbufu Baadae . . .HAKIKISHA VYETI VYAKO VIMEGONGWA MUHURI NA MWANASHERIA ANAETAMBULIKA K**A VYETI VYAKO HAVINA MUHURI KUMBUKA HUDUMA HIYO UTAIPATA KWETU KWA HARAKA ZAIDI...📌📌
📱WASILIANA NASI SASA:
WhatsApp | SMS | Call: +255625432243 | +255760368086 | +255624488340
NB: MUDA WA KUPIGA SIMU - SAA 8:00 Asubuhi - 19:00 Jioni | TOFAUTI NA HAPO TUMA UJUMBE WhatsApp Utahudumiwa.
HUDUMA NI MASAA 24 YANI 48 | 14 - TUNAKUTHAMINI MTEJA...!
Karibu SEVEN ONLINE SERVICE Kwa Huduma Nzuri, Haraka Na Uwakika.
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please Tell A Friend To Alert A Friend...!
04/05/2026
🏥TNMC LICENSURE EXAM APPLICATIONS - S E V E N O N L I N E S E R V I C E
————————————
MAOMBI YA USAJILI WA MITIHANI YA NURSING & MIDWIFERY (TNMC) – 22 MAY 2026 . . . !
Je, wewe ni mwanafunzi wa uauguzi unayejiandaa kufanya mtihani wa taaluma (Licensure Exam) mwezi Mei 2026 . . . ? - Usiruhusu makosa ya kiufundi kwenye usajili yakukoseshe sifa ya kuwa muuguzi aliyesajiliwa!
Tunatoa huduma ya kitaalamu ya kufanya maombi na usajili mtandaoni kupitia mfumo wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kwa usahihi na uhakika wa 100%.
HUDUMA TUNAZOTOA:
* Upgrade ya Account [Diploma To Degree nk]
* Usajili wa Akaunti: Kufungua akaunti mpya kwenye mfumo wa TNMC.
* Maombi ya Mtihani (Examination Application): Kujaza taarifa zote kwa usahihi kulingana na miongozo ya Baraza.
* Uhakiki (Verification) & Kurekebisha account: Kuhakikisha kila hatua imekamilika na kurekebisha taarifa kosefu kabla ya tarehe ya mwisho (Deadline: 10 May 2026).
ADA YA MTIHANI
* Waombaji wa mara ya kwanza - Tsh. 150,000/- [Raia wa Tanzania]
* Waombaji wa mara ya kwanza - Tsh. 200,000/- [Raia wa Kigeni]
* Waombaji wanaorudia mtihani - Tsh. 75,000/- [Raia wa Tanzania]
* Waombaji wanaorudia mtihani - Tsh. 125,000/- [Raia wa Kigeni]
KUMBUKA: Epuka kujaribu kutuma maombi na kujaza taarifa kosefu kwenye mfumo, okoa muda na gharama Wasiliana na Seven Online Service . . . !
📱WASILIANA NASI SASA:
WhatsApp | SMS | Call: +255624488340 | +255625432243 | +255760368086
NB: MUDA WA KUPIGA SIMU - SAA 8:00 Asubuhi - 19:00 Jioni | TOFAUTI NA HAPO TUMA UJUMBE WhatsApp Utahudumiwa.
HUDUMA NI MASAA 24 YANI 48 | 14 - TUNAKUTHAMINI MTEJA...!
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please, Tell A Friend To Alert A Friend...!
05/04/2026
HERI YA PASAKA
📱WhatsApp | SMS | Call:
⇒ +255624488340 | +255625432243 | +255760368086
NB: MUDA WA KUPIGA SIMU - SAA 8:00 Asubuhi - 19:00 Jioni | TOFAUTI NA HAPO TUMA UJUMBE WhatsApp Utahudumiwa.
HUDUMA NI MASAA 24 YANI 48 | 14 - TUNAKUTHAMINI MTEJA...!
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please, Tell A Friend To Alert A Friend...
29/03/2026
💼 ATS FRIENDLY CV [RESUME] - S E V E N O N L I N E S E R V I C E
————————————————
JE, CV YAKO INAFELI KUPITA KWENYE MIFUMO YA KUAJIRI (ATS) . . . !?
Usipoteze nafasi za kazi kwa sababu ya CV isiyosomeka na mashine! Tunakuandikia ATS-Friendly CV & Resume ya kisasa, iliyopangwa kwa ustadi ili kupita kwenye mifumo ya kisasa ya kuajiri na kumfikia mwajiri moja kwa moja.
HUDUMA YETU INAHUSISHA:
* Keywords Optimization: Kuweka maneno muhimu kulingana na kazi unayoomba.
* Simple Formatting: Muundo safi, rahisi kusomeka na ATS/ Mwajiri.
* Professional Structure: Maudhui yaliyowazi (Uzoefu, Ujuzi) HR au Machine (ATS) Haiwezi Kukupita.
KUMBUKA: Kwetu Unapata CV Inayokupa Kazi, Siyo Rejection . . . !
📱WASILIANA NASI SASA:
WhatsApp | SMS | Call: +255624488340 | +255625432243 | +255760368086
NB: MUDA WA KUPIGA SIMU - SAA 8:00 Asubuhi - 19:00 Jioni | TOFAUTI NA HAPO TUMA UJUMBE WhatsApp Utahudumiwa.
HUDUMA NI MASAA 24 YANI 48 | 14 - TUNAKUTHAMINI MTEJA...!
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please, Tell A Friend To Alert A Friend...!
29/03/2026
📑TIN NUMBER [BINAFSI & BIASHARA] - S E V E N O N L I N E S E R V I C E
————————————————
Je, unahitaji TIN namba kwa ajili ya biashara, leseni,ajira, au kufungua akaunti ya benki . . . !?
Achana na foleni na safari za TRA, Jipatie TIN Number yako mtandaoni leo . . . !
Usipoteze muda wako kwenda ofisi za TRA. Seven Online Service Tunakurahisishia kazi ukiwa mahali popote na wakati wowote . . . !
HUDUMA TUNAZOTOA:
* Maombi mapya ya TIN (Binafsi & Biashara).
* Kupata TIN iliyopotea/ uliyoisahau (Retrieval).
* Usajili wa akaunti kwenye [Taxpayer Portal].
* Kuhuisha (Update) taarifa zako za TIN.
* Kbubadili TIN Binafsi kuwa ya Biashara.
NINI UNAHITAJI?
1. Namba ya NIDA (NIN).
2. Simu yenye namba uliyosajilia NIDA.
KUMBUKA: Huduma zetu ni za Haraka, Salama na Uhakika na Unapata TIN yako na Cheti chake ndani ya muda mfupi ukiwa nyumbani au ofisini kwako . . . !
📱WASILIANA NASI SASA:
WhatsApp | SMS | Call: +255624488340 | +255625432243 | +255760368086
NB: MUDA WA KUPIGA SIMU - SAA 8:00 Asubuhi - 19:00 Jioni | TOFAUTI NA HAPO TUMA UJUMBE WhatsApp Utahudumiwa.
HUDUMA NI MASAA 24 YANI 48 | 14 - TUNAKUTHAMINI MTEJA...!
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please, Tell A Friend To Alert A Friend...!
29/03/2026
🏥TNMC LICENSURE EXAM APPLICATIONS - S E V E N O N L I N E S E R V I C E
————————————
MAOMBI YA USAJILI WA MITIHANI YA NURSING & MIDWIFERY (TNMC) – 22 MAY 2026 . . . !
Je, wewe ni mwanafunzi wa uauguzi unayejiandaa kufanya mtihani wa taaluma (Licensure Exam) mwezi Mei 2026 . . . ? - Usiruhusu makosa ya kiufundi kwenye usajili yakukoseshe sifa ya kuwa muuguzi aliyesajiliwa!
Tunatoa huduma ya kitaalamu ya kufanya maombi na usajili mtandaoni kupitia mfumo wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kwa usahihi na uhakika wa 100%.
HUDUMA TUNAZOTOA:
* Usajili wa Akaunti: Kufungua akaunti mpya kwenye mfumo wa TNMC.
* Maombi ya Mtihani (Examination Application): Kujaza taarifa zote kwa usahihi kulingana na miongozo ya Baraza.
* Upload ya Nyaraka: Kupakia vyeti na picha (Passport size) katika vipimo vinavyotakiwa na mfumo.
* Control Number: Kupata namba ya malipo ya ada ya mtihani kwa haraka.
* Uhakiki (Verification) & Kurekebisha account: Kuhakikisha kila hatua imekamilika na kurekebisha taarifa kosefu kabla ya tarehe ya mwisho (Deadline: 10 May 2026).
ADA YA MTIHANI
* Waombaji wa mara ya kwanza - Tsh. 150,000/- [Raia wa Tanzania]
* Waombaji wa mara ya kwanza - Tsh. 200,000/- [Raia wa Kigeni]
* Waombaji wanaorudia mtihani - Tsh. 75,000/- [Raia wa Tanzania]
* Waombaji wanaorudia mtihani - Tsh. 125,000/- [Raia wa Kigeni]
KUMBUKA: Epuka kujaribu kutuma maombi na kujaza taarifa kosefu kwenye mfumo, okoa muda na gharama Wasiliana na Seven Online Service . . . !
📱WASILIANA NASI SASA:
WhatsApp | SMS | Call: +255624488340 | +255625432243 | +255760368086
NB: MUDA WA KUPIGA SIMU - SAA 8:00 Asubuhi - 19:00 Jioni | TOFAUTI NA HAPO TUMA UJUMBE WhatsApp Utahudumiwa.
HUDUMA NI MASAA 24 YANI 48 | 14 - TUNAKUTHAMINI MTEJA...!
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please, Tell A Friend To Alert A Friend...!
29/03/2026
🎙️LEO NIPO TOFAUTI KIDOGO NA NINGEPENDA KUSHARE NANYI ELIMU YA MAISHA KUTOKA KWA MWAMBA MMOJA ANAITWA "BENJAMIN FRANKLIN"
> Powered By
---------------------------------------------------------------
Huyu ni Benjamin Franklin ni mmoja wa watu waliobadilisha dunia kupitia maarifa, nidhamu na ubunifu.
Maisha ya Benjamin Franklin yanatufundisha jambo kubwa sana:
* Mafanikio hayaji kwa bahati, yanatokana na kujijenga kila siku.
LEO TUJIFUNZE KUTOKA KWA BENJAMIN FRANKLIN
Watu wengi wanataka mafanikio, Lakini hawako tayari kulipia gharama yake.
Benjamin Franklin alitambua mapema kuwa: Maisha hayakupi unachotaka… yanakupa unachokifanyia kazi.
Hakuzaliwa tajiri, Hakupata nafasi yoyote kwa urahisi | Lakini aliamua kitu kimoja — KUTOKATA TAMAA.
Aliunda kanuni zake (13) na kuzifata kanuni hizo kwa nidhamu ya hali ya juu [k**a analipwa vile], summary ya kanuni kwa ujumla:
1. Jisimamie mwenyewe | Usitegemee mtu akusukume — uwe na msukumo wako ndani.
2. Tumia muda wako kwa akili | Muda ni mali. Ukipoteza muda, unapoteza maisha.
3. Jenga tabia, sio maneno | Watu wengi wanaongea sana, lakini hawafanyi - Franklin alifanya zaidi ya alivyoongea.
4. Jifunze kila siku | Elimu haimaliziki, kila siku ni darasa. na Franklin hakusubili kufundishwa alinyanyuka na kujifunza mwenywe
5. Kosa ni sehemu ya safari | Alikosea, lakini hakukata tamaa — alijifunza na kusonga mbele, aliamini kukosea sio dhambi ila kutojifunza kupitia makosa ni dhambi kubwa zaidi
📌 Ujumbe kupitia somo la leo - kwako:
1. Hakuna anayekuja kukuokoa, usipopambana wewe k**a wewe sahau mafanikio
2. Hakuna siku itakayokuwa “perfect”, ila unaweza fanya imperfect day kuwa perfect
3. Ukisubiri sana, maisha yatakupita - Kumbuka muda hautokusubili ufanikiwe ndio uendelee (Muda upo kazini, usipo jitidi kwenda nao sawa hutofika pale unapohitaji/tegemea kufika)
4. Anza sasa. Hata k**a ni kidogo [Simama. Amka. Pambana. Mafanikio ni yako ukiamua]
TIPS 2 MUHIMU ZITAZOKUSAIDIA KUPATA KAZI KWA HARAKA
1. Tembelea maofisi unayoamini yanatoa nafasi za kazi zinazoendana na wewe au taaluma yako - peleka maombi hata k**a hawajatangaza nafasi za kazi kwa wakati uo
2. Tuma maombi kwenye taasisi/kampuni zilizotangaza nafasi za kazi lakini nafasi uliotaka kuomba haikujumuishwa/kuhusishwa - mfano. Bank, hospital au kampuni fulani imetangaza nafasi za manager ila wewe ni accountant unaweza tuma maombi kwa nafasi ya account hata k**a haijatangazwa kwa wakati uo (maombi ya kazi yanayowasilishwa kwa email, postal code au physical)
> 💭 “Energy and persistence conquer all things.” – Benjamin Franklin
13/03/2026
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NA KU UPDATE TAARIKA KATIKA MFUMO WA AJIRA WA AJIRA PORTAL
Powered By SEVEN ONLINE SERVICE
-----------------------------------------
NAFASI NYINGI ZA AJIRA NA LEO MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI YAMETANGAZWA, BADO HAUNA AJIRA?, JIUNGE SASA NA MFUMO WA AJIRA WA SERIKALI AJIRA PORTAL
TUTEMBELEE ACCOUNT ZETU SASA NA TUANZE KWA KU UPDATE PASSWORD ZETU NA KUREKEBISHA TAARIFA ZETU ILI IWE RAHISI KUPATA KITUO CHA USAILI CHA KARIBU (KUOKOA GHARAMA) - KUMBUKA WENGI TUTAFANYA USAILI KWA NJIA YA MTANDAO [HAKIKISHA TAARIFA ZAKO ZIPO SAWA]
HUDUMA NYINGINE | UTAPATA KWA UBORA NA UWAMINIFU WA HALI YA JUU.
-------------------------------------
1. CV | RESUME (NEW & TRENDING FORMAT)
2. Maombi Ya Ajira Mpya (AJIRA PORTAL - 100% Interview Chance)
3. Portal za Ajira Account Registration (Ajira Portal, TaESA, LinkedIn, Zanajira- Zanzibar Portal, Vipawa Works, MDH portal n.k)
3. Barua Za Kazi Aina Zote (Letter Writing - Cover letter, application letter, motivation letter) Recommendation letter nk.
4. Nactvet Transcript & AVN | TIN NUMBER
5. Huduma Za RITA (Kubadili cheti cha Zamani kuwa kipya, kuomba cheti kipya, kuhakiki Cheti kwaajili Ya Maombi Ya Mkopo Elimu Ya Juu) - Cheti cha kuzaliwa & Cheti cha kifo
6. Muhuri Wa Mwanasheria
7. Kiapo cha majina (Affidavit/Deedpool)
NB: HAKIKISHA VYETI VYAKO VIMEGONGWA MUHURI NA MWANASHERIA ANAETAMBULIKA K**A VYETI VYAKO HAVINA MUHURI KUMBUKA HUDUMA IO UTAIPATA KWETU KWA HARAKA ZAIDI...📌📌
--------------------------------------
Tuma jina la huduma unayohitaji kwenda:-
WhatsApp | SMS | Call:-
0625432243 | 0760368086 | 0624488340
Karibu SEVEN ONLINE SERVICE Kwa Huduma Nzuri, Haraka Na Uwakika.
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please Tell A Friend To Alert A Friend ...!
16/02/2026
https://www.tiktok.com//photo/7607246746997083399?is_from_webapp=1&sender_device=pc
UDAHILI NACTVET - MARCH INTAKE 2026/2027 (DIPLOMA & CERTIFICATE)
TikTok · SEVEN ONLINE SERVICE
Check out SEVEN ONLINE SERVICE’s post.
10/01/2026
KUMBUKA: CHETI CHAKO KITAKUWA TAYARI KWA MUDA WA MASAA 24 TU
Mawasiliano: 0625432243 | 0760368086 | 0624488340
NB: MUDA WA KUPIGA SIMU - SAA 8:00 - 18:00 | TOFAUTI NA HAPO TUMA UJUMBE WhatsApp Utahudumiwa.
THANK YOU FOR CHOOSING US, Please, Tell A Friend To Alert A Friend...!
📑HUDUMA ZA RITA NA AJIRA
Kukosa Cheti Cha Kuzaliwa Ni Kukosa Haki Yako Ya Msingi K**a MTANZANIA,
Kuna Wale Watasema Wapo Busy, Wengine Hawana Muda Wa Kupanga Foleni RITA nk...!
Kwa Kulitambua Hilo SEVEN ONLINE SERVICE Tutakusaidie Kupata Cheti Cha Kuzaliwa Ukiwa Mahali Popote Tanzania Na Kazi Yako Itabaki Kwenda Ofisi Ya RITA (Karibu na Wewe) Kuchukua CHETI CHAKO/MTOTO CHA KUZALIWA Pasipo Kupanga Foleni au Kupata Usumbufu wa Aina Yoyote .