10/10/2024
*RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI - DODOMA*
📸 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Oktoba, 2024.
💪🇹🇿
28/01/2024
na wakishirikiana na wamachinga wa mkoa wa dar es salaam katika sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mh Rais katika siku yake ya kuzaliwa
29/10/2023
Matembezi ya Wamachinga yaliyifanyika tarehe 28/10/2023 katika Kongamano kubwa la wamachinga la kwa ajili ya kumuunga nkono na kumpongeza mh Wilaya ya KINONDONI BIAFRA
28/10/2023
Wamachinga leo tarehe 28/10/2023 katika Kongamano kubwa la wamachinga wa Wilaya ya KINONDONI BIAFRA
02/09/2023
Wete Pemba katika bonanza la kuongea na wananchi katika na kufanya matembezi ya
02/09/2023
Wete Pemba katika bonanza la
02/09/2023
Wete Kaskazini Pemba wanesmea Wapo kwa na
17/07/2023
HATUA ZENYE MAFANIKIO
"Miradi ya Maji 126 imefufuliwa ili kuhakikisha Watanzania wanapata maji safi na salama".
*Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan*
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .
.