Issangya Forum

Issangya Forum

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Issangya Forum, Library, Dar es Salaam.

06/08/2024

Heartfelt Gratitude on My Birthday

Dear Friends and Family,

As I celebrate my birthday today, August 7, I am overwhelmed with gratitude and joy. This special day reminds me of the incredible people who have walked with me on this journey called life.

To my dear friends, your unwavering support, laughter, and companionship have enriched my life in countless ways. Your presence has made even the most challenging days brighter, and I am deeply thankful for each one of you.

To my extended family, your love and encouragement have been a constant source of strength. The bonds we share are invaluable, and I cherish every moment spent together.

To my beloved mother, words cannot express the depth of my gratitude. Your sacrifices, wisdom, and boundless love have shaped me into the person I am today. Your guidance has been my anchor, and I am eternally thankful for everything you have done and continue to do for me.

Thank you all for being there for me, for celebrating my successes, and for lifting me up during tough times. I look forward to the future with hope and excitement, knowing I have such an amazing support system by my side.

Happy birthday to me....

With heartfelt thanks and warm regards,

Elirehema Issangya

03/08/2024

BARUA YA WAZI KWA WATANZANIA WENZANGU

Ndugu Watanzania wenzangu,

Napenda kutumia fursa hii kuwaomba mjitokeze kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Hii ni hatua muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu.

Kwa kujitokeza kwa wingi, tunapata fursa ya kuchagua viongozi bora wanaowakilisha matakwa na mahitaji yetu. Hii inahakikisha kuwa tunapata serikali inayowajibika na kusikiliza sauti zetu. Kila kura ina umuhimu mkubwa katika kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii zetu na kuboresha huduma za msingi k**a elimu, afya, na miundombinu.

Pia, kwa kushiriki kwa wingi, tunadumisha na kuimarisha demokrasia yetu. Hii inaonyesha mshik**ano na uzalendo wetu k**a taifa, na kuweka msingi imara kwa vizazi vijavyo.

Kura yako ni haki yako. Tujitokeze kwa pamoja kujenga Tanzania tunayoitamani.

Asanteni sana.

Elirehema Issangya

05/09/2020

K**a Ninge pata bahati ya kuwa mgombea wanafadi ya uraisi au kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nisingeiahidi jamii yangu juu ya ajira. Kwani serekali haiwez kuwaajiri vijana wote walio mitaani.

Ningeunda tume ya Vijana Kiuchumi. Na ingekuwa kisheria na katiba ingeitambua hii tume.

Kazi kubwa zahii tume ingekuwa ikisanifu njia zakumwezesha kijana Kiuchumi.

Serekali yangu ingetenga fedha nyingi Sana kwaajili ya hii tume ili iweze kuwapa vijana mitaji yenye tija.

Na manunuzi yote ya mitaji (mfano mashine) yasingekuwa na tozo yaingiapo nchini, ili watu wawekeze.

Ingekuwa ni tume yenye kukuza ndoto za vijana wengi. Kila wazo la kijana lingepata nafasi kwenye tume hiyo na kuchambuliwa vyema.

Tume hii itakuwa na kazi ya kufuatilia vijana na vikundi vyote vilivyo wezeshwa ili kujua Maendeleo yake.

Pia tume hii ingekuwa na kazi ya kuhakikisha kila kundi linlaowezeshwa Lina toa ajira zaidi ya 500 kwa Watanzania

Tume hii ingekuwa na jukumu la kupeleka baadhi ya vijana nje ya nchi kujifunza vitu vingi ili vifanyike ndani ya nchi yangu.


Tume hii ingekuwa chini ya ofisi ya Raisi, ili niweze kufanya nayo kazi kwa ukaribu zaidi.

Ningejaribu kuifanya nchi yangu kuwa yenye asali na maziwa.

Tanzania nakupenda Sana.

Mungu nitie nguvu.

Photos 16/08/2020



Hiki nikipindi ambapo taifa linaelekea kipindi Cha uchaguzi wa serekali kuu.

Vyama vyote vya kisiasa vimetoa watu watakao peperusha bendera za vyama vyao kuwania nafasi mbalimbali.

Ndani ya vyama hivyo jinsia zote zimezingatiwa.....



Kuna baadhi ya jamii zimesikika zikitoa kauli ngumu za kibaguzi pia ni kauli zenye Hali au viashiria vyote vya , Kuna kauli moja inasema
"KULIKO TUONGOZWE NA MWANAMKE BORA TUSIWE NA KIONGOZI"

Huyu ni mmoja wawapiga kura alietoa kauli hii, akiwanamaana jamii yao hauwezi KUONGOZWA na MWANAMKE,

Bila kuangalia itikadi za kichama au kijinsia..

Unahisi ninikifanyike ili jamii iweze kuelewa kwamba kila mmoja anayohaki na uwezo wa kuongoza?

Je, Nini Matokeo ya Imani hii katika kipindi hiki Cha uchaguzi??









Photos 10/08/2020

Nikipindi Cha Uchaguzi, nikipindi ambacho Taifa linamuitaji Mungu kwaukaribu Sana, nikipindi ambacho Watanzania tunapaswa kuwa Makini kuliko vipindi vingine vyote.

Nikipindi tunachopaswa kuwa nauwezo wa kuchuja kuliko vipindi vingine vyovyote vile.

Tunapaswa kuwa Makini Sana,

Kipindi hiki angalia nanai anastahili kufanya Jambo, anaglia Nani anaweza kuliongoza Taifa, usiangalie mihemko yako ya kisiasa, usiangalie chama chako Cha kisiasa, usiangalie undugu wako na mgombea, angalia unachagua Nini.

Kumbuka tunaenda kufanya maamuzi ya miaka mitano, kumbuka kuwa tunaenda kumtafuta kiongozi mwenye maamuzi ya mwisho ya Taifa.

Tuwemakini Sana Watanzania wenzangu

17/06/2020

Taifa linakabili kipindi kingine ambapo kila mmoja anaitajika kujitokeza na kuitetea amani ya Taifa. Nikipindi ambacho tukiendekeza mizaha mingi kinaweza kutugarimu Sana maishani. Nikipindi ambacho tusipokaa macho tutafanya mambo yaajabu kuliko vipindi vingine.

Taifa litaukabili uchaguzi mkuu siku za usoni.

Wanasiasa hutumia wakatihuu kuonesha hisia zao juu ya taifa na majimbo yetu. Ila nikipindi chakuchunguza na kutafakari Sana.

Nikipindi ambacho waandishi wa habari wasipotumia wino wao vizuri wanaweza kuligawa taifa makundi makundi. Vichwa mnavyo vitoa vibebe maudhui yenye amani na sio utemgano au uadui.
Hubirini amani.

Viongozi wadini hubirini amani na umoja wakitaifa.

Watanzania pia tuwe macho Sana na vile vitavyotokea.

Tuilinde amani ya Taifa letu kwanguvu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu tunaomba kiongozi atokaye kwako.
Amina.

12/06/2020

*UTAFITI HURU*

Na
*Elirehema Issangya*

Katika kipindi hiki kifupi Cha *DHARURA YA CORONA (COVID19)* nimeweza kujifunza na kuelewa sababu kadha wakadha juu ya *UGANDAMIZWAJI KWA WANAWAKE*

Nitazungumza baadhi ya sababu kulingana na utafiti wangu nilio ufanya kipindi chote Cha DHARURA hii.....

*Sababu hizi zitakuwa zimelenga*
Ndoa za utotoni, kuchaguliwa wenza wa maisha, wanawake kutorithishwa mali K**a mashamba na nyumba, kupigwa kwa wanawake, kutoshiriki katika shughuli za uzalishaji Mali, kutoruhusiwa kufanya maamuzi...

Sababu hizi nipamoja na:

*Mabinti wengi kuwa na hofu pamoja na woga uliopitiliza*
Kwenye baadhi ya jamii nilizoweza kuziona au kujifunza, nimegundua kwamba mabinti wengi wanahofu nyingi au woga kwa wazazi wao, hivyo hi inapelekea mabinti kuafi kila wanachoambiwa. Unakuta binti anaambiwa utaolewa na flani, haijalishi Yuko na umri gani au kampenda au la, Ila anaingia katika ndoa isiyo rasmi.
*Nimegundua kwamba,* kutokana na woga wa mabinti kwa wazazi wao, uwezekano wa ukeketaji kwamabinti unawezekana kwa kihasi kikubwa.
Utumikishwaji wa mabinti kingono pia unawezekana kutokana na Hali ya kuwa waoga kwa waume zao au jamii inayowazunguka.

*Hali ya maisha*
Ugumu wa maisha pia nikichochezi kikubwa kwa mabinti kinachopelekea wao kuingia kwenye ndoa za umri mdogo na ngono zembe. Mabinti wengi wanakosa haki zao kwakuhofu ugumu wa maisha.

*Kukata tamaa na hofu ya umri*
Mabinti wengi katika jamii nyingi wamekuwa wakikata tamaa juu ya umri wao au kuogopa Hali au kuona baadhi ya mabinti wenye umri mdogo wanaishi nawaume inapelekea wao kujiingiza katika ndoa zisizo rasmi. Hivyo mabinti wengi Wana shindwa kuwa na Roho ya kujiamini au kujua kwamba watafikia kitu flani kwa mipango flani. Binti anapokubali kuolewa tuu kwaajili ya kuhofia umri inachangia unyanyaswaji katika ndoa.

*Tamaa na Imani potofu*
Baadhi ya mabinti kuwa na tamaa za pesa kwa vijana wakiume inachangia pia unyanyasaji wa kijinsia.
*Tamaa ya wazazi* pia huchangia mabinti kunyanyaswa na waum

Photos 05/06/2020

Ashukuriwe Mungu aliye mchunga na mlinzi kwa taifa letu Tanzania.

Makuu na makubwa aliyo yatenda apewe sifa pekee. Hapana astailiye heshima zaidi ya Mungu wetu pekee.

Makubwa katuvusha, na Sasa tunazidi kusonga mbele.

Ushukuriwe peke yako Jehovah.

Mungu maombi ya watanzania wote ni juu ya uchaguzi mkuu, tunaomba utupe kiongozi uliempanga peke yako. Tupe Raisi, Wabunge na madiwani pia.

Amani ya Tanzania tunaomba idumu milele.



Photos 05/05/2020

Tupige vita ndoa za utotoni, tupige vita mimba katoka umri mdogo, tupige vita ukeketaji kwa mabinti wadogo, tupige vita vituvyote vilivyo kinyume na haki za binadamu.

Taifa linapigana na COVID19 Ila pia tusiruhusu mengine yatokee


Ukeketaji kwa mabinti wadogo haifai, wale
tuwawajibishe

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam