ufugaji_samaki_tanzania

ufugaji_samaki_tanzania

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ufugaji_samaki_tanzania, Kigamboni, .

15/07/2021

Ufugaji Samaki Tanzania nipo Mbezi msuguli

15/07/2021

Pond liner installation🏆

Photos from ufugaji_samaki_tanzania's post 24/06/2021

Hello Tz.
Kesho tugusie hii topic(NINI HUSABABISHA VIFO VYA SAMAKI WENGI NDANI YA MUDA MFUPI?)
1.Sababu na Dalili ziko vp?
2.Je nini kifanyike katika bwawa lako baada ya hili kutokea?
3.Samaki wataobaki wafanyiwe nini?
NB:Leta sample ya maji yako kwa ajili ya kupima ni muhimu sana kwa maendeleo mazuri ya samaki wako.
📞0763502773-Ufugaji Samaki Tanzania

24/06/2021

Asanteni sana.Mbarikiwe🙏🏼

20/06/2021

UFUGAJI SAMAKI TANZANIA

16/06/2021

Mabwawa ya kuhamishika.Nlikua nkipata maswali mengi kwani kuna watu hawana uwezo wa kuchimba bwawa katika maeneo yao or inakua gharama kuanza na mabwawa makubwa sasa suluhisho limekuja.Tuko na pieces chache za bwawa za kuhamishika unafunga popote pale na ni kwa gharama nafuu.Npgie 0763502773 kwa order

Photos from ufugaji_samaki_tanzania's post 16/06/2021

Ufugaji Samaki Tanzania tuko na mzigo mpya wa movable or mobile ponds ambazo unaweza weka popote na hakuna haja ya kuchimba wala kugusa ardhi yako.Ukipewa tu mzigo wako unaufungua unaweza supporting stands ambazo ziko kwa package then unajaza maji.
For inquiries tupigie 0763502773

16/06/2021
11/06/2021

Ufugaji Samaki Tanzania leo nipo Morogoro mjini.

10/06/2021

Sijui nmeanza kupata hela mbna kiswahili hainitaki kabisa??😂😂😂

10/06/2021

Ufugaji Samaki Tanzania nipo Tabora mjini.

07/06/2021

Hello Tanzania
Ufugaji Samaki Tanzania tunatoa offer leo kwa ordee yeyote ya vifaranga vya sato kwa bei ya 250/= offer hii ni ya leo tu.Karibuni sana
Tupigie 0763502773

Want your business to be the top-listed Government Service?

Website