Weekend tulivu inapatikana hapa
Njoo utuachie stress za wiki nzima hapa
Tanzanite Park pool
Swimming pool
Harakati za Dj sogea kwenye swimming pool yakijanja
19/01/2026
Ebana eeeh usipange kukosa ijumaa ya Usiku wa Pwani ndani ya Tanzanite Park pool kwa mtonyo wa 10k mlangoni
Dress: wamaume misuli
Wanawake vikoi
Tuko live
Weekend is here
05/01/2026
Tunaomba radhi swimming pool aitafunguliwa leo kitokana na marekebisho katika pampu na kichujio kinachotumika kusafishia maji.
Tufafungua Kesho karibuni sana
Happy new year 2026
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam
DARESSALAAM
