Njoo Uombewe

Njoo Uombewe

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Njoo Uombewe, Public Service, Dar es Salaam.

20/11/2023

DALILI 31 ZA MAJINI_MAHABA👹 ZINAVYO FUNGA MAHUSIANO/NDOA NA MAFANIKIO.

1️⃣.Kuwa na dalili zote za mimba,lakini ukipima hakuna mimba

2️⃣.Kitu kucheza tumboni k**a mtoto..
3️⃣.kuchukiwa na watu bila sababu yoyote, na kila ufanyalo wanaona ni baya tu.

4️⃣.Kujiona Bora Sana kuliko mtu yeyote
5️⃣.Kupenda kujitenga na watu
6️⃣.kuwa na hofu kupita kiasi..

7️⃣.Kutokewa na jini live kupitia umbo la Binadamu na kufanya nae (s*x/ngono) kwa njia ya ndoto...

8️⃣.Ahadi za ndoa kutotimia..wewe ni wa Kuahidiwa tu, nitakuoa/tutaowana, lakini huoi wala huolewi.

9️⃣.Kukataa kila mwanaume/Mwanamke anayetaka/kuonesha Nia ya kukuoa/kumuoa

➡️Kujiona mdogo hujafikia umri wa kuolewa/kuoa wakati unamiaka sahihi ya ndoa

1️⃣0️⃣.Kutamani kuolewa /Kuoa baada ya Muda wa kuoa/Kuolewa kupita.

1️⃣1️⃣.Kulazimisha kuoa au Kuolewa na bado ndoa inakuwa ngumu,

1️⃣2️⃣.Kukimbiwa na wachumba..bila sababu ya kueleweka hata ukiwauliza hawana sababu zaidi unajifariji kuwa hawakuwa sahihi na wakati wa Mungu bado kumbe unavifungo.

1️⃣3️⃣.Mipango ya Ndoa kutofanikiwa kabisa.

1️⃣4.Ugomvii ,migogoro na mwenza wako. Cha ajabu akiwa mbali una mmiss unatamani awe karibu na wewe,, akifika unatamani aondoke tu....

1️⃣6️⃣Kuwa na hasira Kali Sana, hasa unapoamka asubuhi...

Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa, ukipona P.I.D,Fangas U.T.I. mala Uvimbe kwenye kizazi, hizo zote ni mbinu za (jini mahaba) hutumia kukufunga..

1️⃣9️⃣.Kukosa hamu kabisa ya tendo landoa na mume/mke, wakati homon zako ziko sawa.
Unasingizia kuwa ni saikolojia issues, kwa sababu uliumizwa unahitaji mtu akuelewe.

2️⃣0️⃣Migogoro isiyoisha na isiyo na sababu ya maana katika mahusiano au ndoa

2️⃣1️⃣Kuchukia kabisa Kuoa /Kuolewa

2️⃣2️⃣Kuota unalea watoto/mtoto

2️⃣3️⃣.Kuota unanyonyesha

2️⃣4️⃣Kuota umejifungua

2️⃣5️⃣.Mimba kutoka

2️⃣6️⃣Kuota unafanya s*x
2️⃣7️⃣.Kuota unaolewa/kuoa
2️⃣8️⃣Kuota unafunga ndoa
2️⃣9️⃣Kuchukiwa au kuchukia mme/Mke

3️⃣0️⃣Huwezi kumpa mimba mkeo lakini michepuko inabeba mimba zako.
Huwezi kubeba mimba ya mumeo lakini ya michepuko unabeba.

3️⃣1️⃣ Huyu jini ana tatizo la kufunga uchumi pia, anakupa uvivu wakutopenda kufanya kazi kabisa. Ukishika pesa hujui zimetumikaje lakini zimeisha.
SEMA BWANA_YESU NIOKOE NA ROHO YA JINI MAHABA


+255716822126

0716 822 126 WHATSAP
✍️By Mtumishi Fahim Rasham💥

Niandikie ujumbe messenger majina yako mahali unaishi, namba ya cm na mahitaji yako nikuombe🙏

03/03/2023

IFAHAMU ROHO YA KUKATALIWA, NA KUKOSA KIBALI 😪

Kukataliwa na kukosa kibali Ni Hali ya mtu kutokuaminiwa au kuaminika katika kufanikisha au kupata Jambo flani.
Hii ni roho ya kishetani inayomvaa mtu kwa ajili ya kumnyima au kumkosesha Jambo flani.
Mfano.
✍️Una vyeti na sifa za kupata kazi unazo unaishia kufanya interview wanaajiliwa wengine.
✍️Unapata bahati ya kuolewa lakini mwaka mmoja tu unaachika katika ndoa.
✍️Una biashara lakini imedorora haina wateja wakati jirani yako anauza vizuri Sana.
✍️ Unaanzisha mahusiano yanakufa, yanaishia njiani au unaishia kutapeliwa kingono, unazalishwa na kutelekezwa, wanaolewa wengine.
✍️Unapata bahati ya kuajiriwa lkn unafukuzwa ovyo kazini.
✍️Unachukiwa ovyo na jamii, ndugu na majirani, kibaya zaidi hata mchungaji wako anakuchukia.
✍️Umekuwa mtu wa mikosi na laana na matukio ya kumfedhehesha katika maisha yako.

Ukiona una dalili moja wapo ya hizi Basi tambua una roho ya kukataliwa na kukosa kibali.

ZABRI 88:4_5"Nimekuwa pamoja nao washukao shimoni, Nimekuwa K**a mtu asiye na msaada.
Miongoni mwao waliokufa nimetupwa K**a waliouawa walalao makaburini, hao ambao wewe huwakumbuki Tena, Wametengwa mbali na mkono wako".

Roho ya kukataliwa na kukosa kibali ikiwa juu yako, Basi unaishi Maisha yanayo fanana na maiti iliyoko kaburini ambayo imesahauliwa na watu

Katika kitabu hicho Cha zabri mwandishi alielezea jinsi alivyopitia kipindi kigumu Cha kukosa kibali na kukataliwa mbele za watu , na Maisha yake yalifananishwa na maiti iliyoko kaburini.

Ukiwa na roho ya kukosa kibali na kukataliwa
☑️ Unaonekana takataka mbele za watu
☑️ Thamani yako mbele za watu inapotea
☑️ Unaishi Maisha ya kudharauliwa, na kuchukiwa ovyo na watu.
☑️Unatengwa na ndugu jamaa na marafaki.

Katika ulimwengu wa kiroho kukataliwa ni

1. kuwekewa bati usoni ili usionekane mbele za watu.
ISAYA 1:25" nami nitakuelekezea wewe mkono wangu, na kukutakasa takataka zako kabisa, na kukuondolea bati lako usoni".

2. kupakwa mavi, tope na takataka zote chafu katika maisha yako.
Ombolezo 3:45" umetufanya kuwa takataka na vifusi mbele za watu.

3. Ni kufukiwa kifusi.

Kukataliwa na kukosa kibali Ni uchafu mbaya Sana unaotesa Maisha ya watu.

Roho ya kukataliwa na kukosa kibali ikiwa juu yako inakunyima connection ya kukutanishwa na watu sahihi katika Maisha yako. Hivyo utaishi Maisha ya shida na mahangaiko hapa duniani.

Mschana aliye na roho ya kukataliwa kukosa kibali hata K**a Ni mzuri kiasi gani hataweza kuolewa hata akiolewa ataachika haraka. Akianzisha mahusiano yanavunjika pasipo na sababu.

BAADHI YA MAMBO YANAYO CHOCHEA MTU KUSHIKILIWA NA ROHO YA KUKOSA KIBALI NA KUKATALIWA.

1. Roho ya kutokusamehe.
_kukaa na uchungu moyoni, kwa kuwashikilia watu waliowahi kuujeruhi moyo wako. EFESO 4:31_32.

2. kutokuwa mwaminifu mbele za Mungu.
_Kain alikosa kibali mbele za Mungu kwa sababu ya uchoyo. MWANZO 4:6_7.

3. Kibali chako kushikiriwa na madhabahu za ukoo au mizimu ya kifamilia
_kibali Cha mafanikio ya Gidioni kilishikiriwa na madhabahu ya baali iliyokuwa ndani ya nyumba ya baba yake WAAMUZI 6:11_25.

4. Hila za kichawi na nguvu za kishirikina katika maisha yako (kulogwa).
_Wana wa Israel mfalme wa babeli aliwaloga katika makutano ya njia nne (mapanda njia) ili wasipate kibali kwa kila wanachokifanya EZIKIELI 21:21_23

Leo mtumishi wa Mungu naachilia upako juu ya maisha yako
"Kila roho ya kukataliwa na kukosa kibali inayotesa Maisha yako ikuachie kwa mamlaka ya jina la Yesu".

Ikiwa unateswa na KUSHIKILIWA na roho hii, unaweza kupiiga simu ili upate msaada wa maombi na ushauri.
+255716822126(Whatsapp💥).

Wako katika Bwana na mtendakazi shambani mwa jehova.

Mtumishi Fahim 0716822126
Maombi, ushauri, kufasiri ndoto.

Follow
Mtumishi Fahim.

Sambaza ujumbe huu na mungu atakubariki👏

10/12/2022

ISAYA 42: 22
JUMAPILI HII NI MAOMBI YA KUREJESHA KILA KILICHO POTEA KWENYE MAISHA YAKO💥 👉BIASHARA ILIYO POTEZA WATEJA💥) (NDOA❣ILIYO POTEZA UPENDO💓) (MAHUSIANO YALIYO POTEZA MALENGO🤝) (KUINULIWA KIUCHUMI💸) (KAZI ILIYO POTEA🤦‍♀️) (TUMBO LISILOWEZA KUBEBA MTOTO) Yote yatarejeshwa kwa jina la Yesu🙏

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏
Tuko DSM ubungo Sheklango au piga 0744083576

06/12/2022

MAOMBI MAALUM KWA YEYOTE AMBAE NYOTA💥 YAKE IMETIWA GIZA, KILA ANALOLIFANYA HALIFANIKIWI YESU🙏AMESIKIA KILIO CHAKO ANAKUFUNGUA SASA KWAJINA LA YESU

Dalili 6 za nyota kutiwa giza💥

👉1 Pesa inakukataa😰 unakosa kibali, kila unalofanya halifanikiwi unakuwa wakukataliwa tu

👉2.unakataliwa na mume mke kazi na mahusiano.

👉3.unapoteza mwelekeo wa maisha yako.

👉4.unaandamwa na roho za magonjwa na mauti

👉5 mateso hayaishi kwenye maisha yako.

👉6unakuwa mtu wa hofu mda wote hujiamini kila unachofanya unaona unakosea.😪

Tuandikie messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

06/12/2022
Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam