13/05/2026
Kilichomtoa Djigui Diarra hiki hapa๐๐
Diarra hakuona umuhimu wa kuendelea kulinda lango ingali yanga tayari imesharuhusu goli, diarra baada ya kuharibiwa crean sheet yake hakuona umuhimu wa kuendelea kutetea lango lake na kuona kheri amuachie nafasi golikipa mwenzie nae apate nafasi
ukiangalia mchezaji huyu kwa sasa kitu pekee anachokipambania ni yanga isiruhusu goli, kwani mpaka sasa diarra anaongoza kwa crean sheet.
11/05/2026
Baadhi ya Wanafamilia wa group la WASUKUMA MIKOA YOTE ๐น๐ฟ tulipata muda wa kukutana maeneo ya kahama
tunapatikana Kwenye group la Whatsapp k**a unahitaji kuungwa tuma neno niunge WASUKUMA kwenda namba 0629192753
10/05/2026
Tumu follow mwanetu huko Instagram Kaka Emma George
05/05/2026
K**a wewe ni msukuma kweli je unawatambua hawa?
24/04/2026
Shamedy jogging club njiani kuelekea mwanza
23/04/2026
Sisi ndiyo WASUKUMA MIKOA YOTE ๐น๐ฟ tunapatikana group letu la Whatsapp
19/04/2026
K**a timu yako haipo hapa gonga like