21/02/2026
đ„ WATCHMAN ALERT đ„
A watchman cannot sleep when heaven is open. Midnight is not a time to sleep; it is a spiritual portal where God moves and changes destinies. Comfort and food can cloud spiritual awareness; self-discipline keeps the spirit keen and alert.
Heavenly windows of time that every watchman must understand:
đ Ninth hour â Prayer and spiritual battle; heaven opens (Acts of the Apostles 3:1, RSV)
đ Third hour â Prophetic declaration and outpouring of the Spirit (Acts of the Apostles 2:15, RSV)
đ Sixth hour â Hour of sacrifice and yielding (Gospel of Luke 23:44, RSV)
đ Midnight â Sudden salvation and intervention of God (Acts of the Apostles 16:25, RSV)
God sets times of favor, and a watchman can intercede for a family, church, or nation (Book of Psalms 102:13, RSV).
As taught by Prophet Uebert Angel, âThe prophetic advantage is knowing when God is moving and positioning yourself ahead of time.â
Thus, it is necessary to learn to meditate (hÄgĂąh)âto see in prayer and to speak as God opens (Book of Joshua 1:8, RSV).
This is not a time to sleep.
Awake, watchman. Watch. Pray. Speak. đ„đ
21/10/2025
LIFE WORD REVELATION
Sunday 19th 2025
With Pastor Enoch Joseph
Series 0001
Theme: Attached Ur Prayer with Your Offerings. || Ambatanisha Maombi yako na Sadaka zako.
Hapo zamani Mbuzi walikuwa wanatumika k**a means of Exchange. Au walikuwa wanatumika k**a kitu cha kununulia kitu. Unatoa Mbuzi kisha unapata unacho taka.
Hata kanisani Mbuzi alitumika k**a as means of exchange. Unatoa mbuzi inabeba Yale uliyo isemasha kisha unapokea unapoitoa matokeo ya kile unacho tegemea huanza kutokea.
Maandiko yanasema...
"7 Kisha atawatwaa wale mbuzi wawili na kuwaweka mbele za Bwana mlangoni pa hema ya kukutania. 8 Na Haruni atapiga kura juu ya wale mbuzi wawili; kura moja kwa ajili ya Bwana; na kura ya pili kwa ajili ya Azazeli. 9 Na Haruni atamleta yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya Bwana, na kumtoa awe sadaka ya dhambi. 10 Bali yule mbuzi aliyeangukiwa na kura kwa ajili ya Azazeli atawekwa hai mbele za Bwana ili kumfanyia upatanisho, ili kumpeleka jangwani kwa ajili ya Azazeli."
Mambo ya Walawi 16:7-10
- kura / vote hupigwa kati ya Mbuzi wawili kisha yule Mbuzi mmoja hutolewa sadaka madhabahuni. Na mwingi kuhani huweka mikono juu yake kisha humtoa na kumwacha nyikani kwaajiri ya az**el.
Pesa unayo itoa k**a sadaka hubeba mambo yako. Isemeshe mambo yako kisha itoe madhabahuni. Kuhani wa kifalme mwenye uwezo wa kushughulikia changamoto hiyo.
- Sadaka siyo zawadi ( inabeba changamoto na mahitaji yako) Unapo mpa mchungaji unampa na kazi ya kutatua changamoto yako. Trust me kuna changamoto ambazo bila kutoa sadaka unakosa kibebeo cha kumpatia mchungaji au mtu wa Mungu ili afanye kazi. Mtumishi ni mfanya kazi wako. Ni uamuzi wako wa kumpa kazi au kuto kumpa.
- Utumishi ni kazi ya hatari sana ikiwa hana uwezo wa kushughulikia chamoto zilizo kwenye sadaka kuna hatari ya mtumishi kuyapata matatizo yaliyo ambatana na hizo pesa.
Be wise when you see someone who is able and willing to work for you give him a Job. ( Kuwa na hekima ukimwona mtu ambaye anaweza na yupo tayari kufanya kazi mpe kazi.)
Shalom
Ur prayer Partner
Pastor Enoch Joseph
The House Of Holy Spirit
Our Website :
www.pastorenoch.com
11/05/2025
Diary of Revelation May 11th 2025