Mtumishi Fahim.

Mtumishi Fahim.

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtumishi Fahim., Dar es Salaam.

20/12/2025

ROHO YA AIBU ITAKUACHIA LEO KWA JINA LA YESU.πŸ™Œ ISAYA 54: 4πŸ’₯

AIBU NI NINI?πŸ€”

Aibu na fedheha ni roho ambayo shetani huitumia kumshambulia mtu, kwalengo la kumuvua mtu Utukufu na Heshima ya Mungu kwenye maisha yake.

Pia Aibu ni roho inayo tafuna matokeo ya kazi na juhudi za mtu ili kumwaibisha baadae mfano inaweza kuharibu kazi, ndoa, uchumi, afya, mahusiano, au kibali yani ntota⭐️ YEREMIA 3: 24πŸ’₯

Roho ya aibu inapokuvamia
Inakuja na (Dhihaka, FedhehaπŸ˜ͺ na Hofu)

Dhihaka hutumika k**a shambulio kutoka kwa watu wainje, ili kuku dhoofisha na kuongeza ukubwa wa kosa lako au aibu yako,

Fedheha hutumika k**a mlango wa kujihukumu nakujiona kuwa wewe siyo kitu na hufai tena kwa lolote, ujasiri wakufanya lolote unapotea

Hofu, huchukua nafasi kwenye maisha ya mtu nauwezo wake wa ndani unakufa kila anacho jaribu kufanya anaogopa nakuona hawezi, hapo ndipo wengi hujitenga na upweke kutawala kwenye maisha ya mtu mpaka kufikia kujiua.πŸ˜ͺ

ROHO YA AIBU ILITOKA WAPI? MWANZO 3: 7- 10πŸ’₯

Ukisoma hapo utagundua roho ya aibu niwakala wakwanza washetani, kabla ya kifo, kabla ya magonjwa, kabla ya umasikini, hata kabla ya laana ya aridhi.

Roho ya aibu nisilaha yakwanza ambayo shetani hutumia baada ya kufanikisha kuingiza dhambi au kosa kwa mwanadamu.

Ukisoma hiyo Mwanzo 3: 7πŸ’₯ utaona baada ya Adamu kula tunda tu walifumbuliwa macho wakajiona wako uchi wakaona (Aibu)wakaenda kujificha, tayari unaona aibu imejitokeza na kuwatia hofu
Aibu ni roho yapili baada ya dhambi.

Mpendwa, unaweza kuwa unapita kwenye hali k**a hii roho ya aibu imekuvamia inataka kukufedhehesha kwa njia ya kosa ulilo tenda au kwa njia ya madhaifu yako mbali mbai au madeni na unajiuliza natokaje kwenye hali hii?
Usiogpe Yesu alidhihilishwa ili azivunje kazi za shetani kwenye maisha yako
1YOHANA 3: 8πŸ’₯

NASHINDAJE ROHO YA AIBU?

Hatua ya kwanza tubu mwambie Mungu nisamehe makosa yangu yote niliyotenda kwa kujua na kutokujua.πŸ™ unioshe kwa damu ya Yesu ZABURI 51: 1- 4πŸ’₯

Hatua ya pili mwombe Mungu akurejeshee nafasi uliyoipoteza kiroho, kiuchumi, kiheshima, kikazi au kibiashara, na akufunike kwa utukufu wake.πŸ™

Baada ya hapo uutapata amani na tumaini jipya ndani yako, utaanza kuona ukirejea kwenye uwezo wako taratibu na aibu itaondoka kwakoπŸ™

Baada ya hayo Mungu anakuahidi kuwa ataiondoa aibu yako na haitakumbukwa tena ISAYA 54: 4πŸ’₯
MUNGU AKUBARIKI NA KU FUTA AIBU JUU YAKO NA WATOTO WAKOπŸ™

Kwa maombi na maombezi piga πŸ“²+255716822126☎️

✍️by Fahim Rasham πŸ’₯

25/06/2025

DALILI (7) ZA KUJUA MAISHA YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI.

1. Huoni mambo mapya ya kufurahisha na kutia moyo ya kitokea kwenye maisha yako.

Huoni ukipiga hatua chanya kwenye maisha

MFANO
Huoni ukiongezeka. Kuongezeka kimaendeleo.
Kuongezeka kiuchumi, kipato ulichokuwa nacho mwaka juzi ndiyo hicho hicho mpaka leo japo matumizi yameongezeka.

Matokeo yake kuna mambo mengi ya kuondoa pesa kuliko kuingiza ukipata pesa gafla kunatokea tatizo linalodai hiyo pesa itoke,
mtu wamhim anaumwa au kunatokea msiba au tatizo lingine la lazima.

2. Mawasiliano yako yanafungwa, hakuna anae kuletea taarifa njema unaletewa tarifa mbaya tu. AYUBU 1: 16 πŸ’₯

Hata ikitokea ukapigiwa simu nyingi ni zamatatizo kuliko za Habari njema

MFANO
Unaweza pigiwa cm za kuachishwa kazi.

Kuachwa na mtu umpendae,
au simu za kulaumiwa na alie takiwa kukufariji.

Kupigiwa simu na wanaokudai kuliko unaowadai.

3. Hakuna ongezeko la watu wapya wenye msaada au faida kwenye maisha yako.

Zaidi wakiongezeka niwatu ambao inabidi wewe uwasaidie.

Watu wengi wanao kutafuta ni wale wazamani ambao na wao hawajapiga hatua yoyote kimaisha,

na story mnazopiga nikukumbushana historia za nyuma za mambo dhaifu mliyo pitia ambayo hayajengi chochote kwenye maisha yako.

Marafiki walio fanikiwa hata ukiwatafuta huoni wakijali sana kuhusu wewe,
hata k**a ulikuwa wa maana sana kwao
wanakuwa k**a hawana kumbu kumbu yoyote ya maana na wewe.

4. Kila kitu chako unakipata kwa kutumia nguvu nyingi na usumbufu isivyo kawaida.

Hata ikitokea umepata mtaji unataka kufanya biashara yoyote unapata hasara,

au unaambiwa umechelewa ungeifanya mwaka jana ilikuwa inalipa sana.

5. Unakosa kibali na heshima unapingwa na mazingira yako mwenyewe,

MFANO
Waliotakiwa kukuheshim wanakudharau,
hata ukiongea wanakuonyesha mapungufu yako,

Hata mke mume au watoto uliowazaa wanakosa kukuheshim,
Hata ukitoa maagizo hakuna anae tekeleza.

6. Ahadi za mambo mazuri kwako hazitimii

MFANO
Mtu anaweza kuku ahidi pesa ikifika ile siku ukimpigia cm anakuambia nilikuwa nayo pesa lakini kunajambo nimeifanyia,

au akasema nilisahau kabisa k**a nilitakiwa kukupa nimeitumia jana subili wakati mwingine.

Unaweza ukaahidiwa kupewa kazi na CV yako ninzuri hata kuliko hiyo kazi lakini ukashangaa anachukuliwa mtu unae mzidi kwa kila kitu.

Unaweza uka ahidiwa kuolewa au kuoana na mtu, lakini ukashangaa amebadili mawazo mwishoni na kumuoa mtu mwingine ambae hakuwa amemkusudia kabisa
MWANZO 29: 25 πŸ’₯

7. Hali ya kukata tamaa na kuona kila jambo haliwezekani.

Uwezo ndani yako unafunga kila kitu kwako kinakuwa ni kigumu hata mambo uliyo kuwa unayaweza kirahisi yanageuka mzigo.

Kuna kuwa na vita ya ndani inayokuwa inakuambia usijaribu utashindwa utaanguka uta aibika,
Maana wewe huwezi, k**a alishindwa yule mwenye uwezo kuliko wewe wewe huwezi.

Una kuwa na mifano mingi ya watu walio shindwa, wenye uwezo kuliko wewe,

pia inakukumbusha ulipo anguka zaidi kuliko ulipo simama.πŸ™

Dalili hizi nimbaya sana kuna watu zimekaa kwenye maisha yao mpaka wame amini ndiyo hali yao na maisha waliyo pangiwa na Mungu,

Mpendwa hayo siyo maisha yako bali nishetani amevamia maisha yako,
na akitoka hapo nikukuua kabisa maana hana huruma.

UKIONA UNA HIZI DALILI KWENYE MAISHA YAKO CHUKUA HATUA YA KUINGIA KWENYE MAOMBI YA TOBA NA KUITIA DAMU YA YESU YA UKOMBOZI NA UPATANISHO,

ILI UKOMBOLEWE KUTOKA KWENYE MIKONO YA ADUI NA NGUVU ZA GIZA.

✍️By Emanuel
+255675791115
Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee πŸ‘

Maombi na ushauri Whatsapp +255675791115

17/07/2024

# KILA ADUI ALIE JIINGIZA KWA SIRI KWENYE NDOA YAKO KWENYE KAZI YAKO KWENYE UCHUMI WAKO KWENYE MAHUSIANO YAKO KWENYE BIASHARA ZAKO KWA WATOTO WAKO KWENYE AFYA YAKO, NGUVU YA MUNGU IMKOSEHE RAHA ANDOKE KWA JINA LA YESUπŸ™Œ πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Kwa maombi na ushauri whatsapp 0716822126

01/06/2024

MWEZI HUU WA 6 UKAWE MWEZI WA HABARI NJEMA KWAKO KWA JINA LA YESU

Lk 1:26-45 Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu. Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.

✍️Ikawe heri kwako mwezi huu wa sita.Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo ikazidi na kuongezeka kwako.Amani,furaha na upendo zikawe fungu lako.Mungu akakuondolee magonjwa katika mwili wako.Baraka za familia zikaongezeka.
✍️Bwana Yesu Kristo akakuepushe na kila mtego wa adui na hila za wanadamu.Ukapokee taarifa njema ya kufurahisha moyo wako katika jina kuu la Bwana wetu Yesu Kristo.Kwa mkono wangu nimeandika.. by Mtumishi Fahim 0716 822126 πŸ’₯

27/03/2024

NGUVU YA MANENOβ€β€πŸ©ΉπŸ˜­.

Maneno nichanzo kikubwa cha kukujenga au kuku bomoa
Wengi wetu tunatembea kwenye yale tuliyo sikia au kuambiwa, WARUMI 10: 17 πŸ’₯

Ndiyo maana unaweza kwenda hospital ukiwa mzima lakini baada ya vipimo vya daktari na taarifa yake

Ukarudi nyumbani ukiwa mgonjwa kwa sababu ya maneno na tarifa ya daktari

Una wafahamu wale

Waliosikia umbea kuhusu ndoa zao na mahusiano yao na mwisho wakayachukulia ukweli ambao leo hii umeharibu ndoa zao na kuharibu hatima za mahusiano yao?

Waliokuwa wanashinda wanawapeleleza wenza wao yaani waliwawekea walinzi wachimbue taarifa zao na uaminifu wao na mwisho wakagundua kuwa wanawasaliti lakini leo hii wamebaki na maumivu moyoni.

Waliokuwa wana zichimbua simu za waume au wake zao kutafuta wanaowaibia na mwisho wakawapata lakini leo wamebaki na maumivu moyoni baada ya kuwatambua.πŸ˜ͺ

Waliokuwa wanatafuta maoni ya wafanyakazi wao au wale waliowasaidia hapo mwanzo wakitarajia taarifa njema kwao, lakini wamekutana na taarifa mbaya kwao wamebaki na maumivu na uchungu moyoni.

Wale watumishi waliotafuta taarifa za waumini wao yaani kujua wanazungumziwa vipi na waumini wao na mwisho wakatambua wanasemwa vibaya leo wamekufa moyo hawapo tena kwenye huduma.

JIFUNZE KWA SULEIMANI.

Mhubiri 7:21-22
[21]Tena, usitie moyoni mwako maneno yote yaliyosemwa; usije ukamsikia mtumwa wako mwenyewe ali anakutukana.
[22]Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine.

Nini maana Yake?
Anamaanisha kuwa usipeleleze au kufuatilia maneno yanayosemwa juu yako, usije ukaona mtu wako wa karibu unayemhudumia na kumgharamia anakutendea ubaya au kukunenea ubaya.

Usitafute taarifa mbaya kwa mtu wako wa karibu k**a huna uwezo wa kuzivumilia taarifa hizo mbaya, yaani usitafute taarifa za msiba k**a huna moyo wa kuvumilia taarifa hizo.

Usimpeleleze Mumeo, mkeo, kupima uaminifu wake k**a huna nguvu ya kuvumilia matokeo ya upelelezi wako, yaani pale utakapogundua Mumeo anakusaliti.

Wapo wengi wameyumba kiroho na kimwili , hawana amani, wamekuwa na msongo wa mawazo kwa sababu ya upelelezi ambao hawakuwa na nguvu ya kuvumilia matokeo yake.

Usitafute au kuuliza nani umemzidi kwenye uzuri wako au utendaji wako ukiambiwa kuna waliokuzidi utaumia

Usitafute taarifa mbaya zinazo semwa na watu juu yako kwani utakapo zisikia unaweza kupoteza vya rohoni na mwilini pia.

Kabla ya kutafuta makosa ambayo unatendewa wewe anza kwanza kukumbuka makosa uliyowatenda wengine na kuwaudhi.

Usifanye upelelezi ambao unatambua kuwa huna nguvu ya kuvumilia majibu ya upelelezi wako.

Usifanye upelelezi juu ya wanadamu kwani wengi wana madhaifu mioyoni mwao, ila fanya upelelezi zaidi upate kumjua Mungu kwa viwango vingine.
AYUBU 22: 21πŸ’₯

Usifanye bidii kutafuta taarifa mbaya kwani matokeo ya kuzipata yanaweza kukuumiza kuliko matokeo ya kutozijua kabisa.

Fanya bidii kuyatambua na kuyashika mambo mema kuliko kufanya bidii kuchimbua ubaya kwani Nguvu ya kujua mabaya ina madhara Mengi ni heri moyo wako ukijazwa na mambo mema.

Ndiyo maana Mungu hakutaka tujue mabaya akamwambia Adamu ukila tutanda hili hakika utakufa.

MWANZO 2: 17πŸ’₯
[17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.]

Maana yake alijua lile tunda ni ufunguo wakujua mabaya na matokeo ya mabaya ni kifo.

Mungu amekuandalia Mambo mema ya kukujenga na kuufariji moyo wako ila shetani naye ameandaa taarifa mbaya zinazolenga kuuharibu na kuleta maumivu moyoni Mwako.

Chagua fungu lako la kushika.

Wengi leo hawana amani moyoni, wamejaa maumivu, wana uchungu mwingi, magonjwa na mateso mengi (pressure, sukari, vidonda vya tumbo )

Kwa sababu ya kutafuta na kupeleleza taarifa mbaya ambazo zimewaachia makovu ya kudumu kwenye maisha yao na yanayotesa maisha yao yote

SEMA: NAFUTA KILA MANENO NA TAARIFA ZOZOTE ZA MAUMIVU NDANI YA MOYO WANGU KWA DAMU YA YESU, NA UTAPOKEA UPONYAJI.

ASANTE SANA πŸ™

✍By Mtumishi Fahim Rasham 0716 822126 πŸ’₯

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee

Maombi na ushauri 0716 822126 Whatsapp

24/03/2024

DALILI (7) ZA KUJUA MAISHA YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI.

1. Huoni mambo mapya ya kufurahisha na kutia moyo ya kitokea kwenye maisha yako.

Huoni ukipiga hatua chanya kwenye maisha

MFANO
Huoni ukiongezeka. Kuongezeka kimaendeleo.
Kuongezeka kiuchumi, kipato ulichokuwa nacho mwaka juzi ndiyo hicho hicho mpaka leo japo matumizi yameongezeka.

Matokeo yake kuna mambo mengi ya kuondoa pesa kuliko kuingiza ukipata pesa gafla kunatokea tatizo linalodai hiyo pesa itoke,
mtu wamhim anaumwa au kunatokea msiba au tatizo lingine la lazima.

2. Mawasiliano yako yanafungwa, hakuna anae kuletea taarifa njema unaletewa tarifa mbaya tu. AYUBU 1: 16 πŸ’₯

Hata ikitokea ukapigiwa simu nyingi ni zamatatizo kuliko za Habari njema

MFANO
Unaweza pigiwa cm za kuachishwa kazi.

Kuachwa na mtu umpendae,
au simu za kulaumiwa na alie takiwa kukufariji.

Kupigiwa simu na wanaokudai kuliko unaowadai.

3. Hakuna ongezeko la watu wapya wenye msaada au faida kwenye maisha yako.

Zaidi wakiongezeka niwatu ambao inabidi wewe uwasaidie.

Watu wengi wanao kutafuta ni wale wazamani ambao na wao hawajapiga hatua yoyote kimaisha,

na story mnazopiga nikukumbushana historia za nyuma za mambo dhaifu mliyo pitia ambayo hayajengi chochote kwenye maisha yako.

Marafiki walio fanikiwa hata ukiwatafuta huoni wakijali sana kuhusu wewe,
hata k**a ulikuwa wa maana sana kwao
wanakuwa k**a hawana kumbu kumbu yoyote ya maana na wewe.

4. Kila kitu chako unakipata kwa kutumia nguvu nyingi na usumbufu isivyo kawaida.

Hata ikitokea umepata mtaji unataka kufanya biashara yoyote unapata hasara,

au unaambiwa umechelewa ungeifanya mwaka jana ilikuwa inalipa sana.

5. Unakosa kibali na heshima unapingwa na mazingira yako mwenyewe,

MFANO
Waliotakiwa kukuheshim wanakudharau,
hata ukiongea wanakuonyesha mapungufu yako,

Hata mke mume au watoto uliowazaa wanakosa kukuheshim,
Hata ukitoa maagizo hakuna anae tekeleza.

6. Ahadi za mambo mazuri kwako hazitimii

MFANO
Mtu anaweza kuku ahidi pesa ikifika ile siku ukimpigia cm anakuambia nilikuwa nayo pesa lakini kunajambo nimeifanyia,

au akasema nilisahau kabisa k**a nilitakiwa kukupa nimeitumia jana subili wakati mwingine.

Unaweza ukaahidiwa kupewa kazi na CV yako ninzuri hata kuliko hiyo kazi lakini ukashangaa anachukuliwa mtu unae mzidi kwa kila kitu.

Unaweza uka ahidiwa kuolewa au kuoana na mtu, lakini ukashangaa amebadili mawazo mwishoni na kumuoa mtu mwingine ambae hakuwa amemkusudia kabisa
MWANZO 29: 25 πŸ’₯

7. Hali ya kukata tamaa na kuona kila jambo haliwezekani.

Uwezo ndani yako unafunga kila kitu kwako kinakuwa ni kigumu hata mambo uliyo kuwa unayaweza kirahisi yanageuka mzigo.

Kuna kuwa na vita ya ndani inayokuwa inakuambia usijaribu utashindwa utaanguka uta aibika,
Maana wewe huwezi, k**a alishindwa yule mwenye uwezo kuliko wewe wewe huwezi.

Una kuwa na mifano mingi ya watu walio shindwa, wenye uwezo kuliko wewe,

pia inakukumbusha ulipo anguka zaidi kuliko ulipo simama.πŸ™

Dalili hizi nimbaya sana kuna watu zimekaa kwenye maisha yao mpaka wame amini ndiyo hali yao na maisha waliyo pangiwa na Mungu,

Mpendwa hayo siyo maisha yako bali nishetani amevamia maisha yako,
na akitoka hapo nikukuua kabisa maana hana huruma.

UKIONA UNA HIZI DALILI KWENYE MAISHA YAKO CHUKUA HATUA YA KUINGIA KWENYE MAOMBI YA TOBA NA KUITIA DAMU YA YESU YA UKOMBOZI NA UPATANISHO,

ILI UKOMBOLEWE KUTOKA KWENYE MIKONO YA ADUI NA NGUVU ZA GIZA.

✍️By Mtumishi Fahim 0716 822126 πŸ’₯

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee πŸ‘

Maombi na ushauri Whatsapp 0716 822126 πŸ’₯

18/02/2024

KILA ULICHOPOTEZA MWAKA KINARUDI MARADUFU πŸ’― MWAKA KWA JINA LA YESU KRISTU

1-KUBALI
2-KATAA

//
EVERYTHING YOU LOST IS COMING BACK DOUBLE. IN THE NAME OF JESUS

1-ACCEPT
2- DECLINE

Follow Mtumishi Fahim

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee upokee muujiza wako

Maombi na ushauri 0716 822126 Whatsapp

09/02/2024

MUNGU AKUPE KIBALI CHA MAFANIKIO KWA JINA LA YESU

06/02/2024

MAOMBI KWA AJILI YA KIBALI CHA KAZI/ BIASHARA.

Zabhri 90:17
Na fadhili ( kibali) za BWANA, Mungu wetu, ziwe juu yetu, Na kazi ya mikono yetu uifanye thabiti, naam, kazi ya mikono yetu uifanikishe

Siku ya Leo tunaenda kumuomba Mungu kwa ajili ya Kibali Cha kupata kazi na kibali kwenye biashara.

1. Baba katika Jina la Yesu Kristo, najiombea kibali chako kiwe pamoja na mimi ninapokuwa natafuta kazi.

2. Naomba kibali chako kiwe kwenye CV yangu ambayo naitumia kwa ajili ya maombi ya kazi, katika Jina la Yesu Kristo.

3. Mungu Naomba kibali chako Cha ili niweze kuitwa kwa ajili ya interview katika Jina la Yesu Kristo.

4. Katika Jina la Yesu Kristo, naomba kibali Chako kiwe pamoja na mimi ambacho kitasababisha kati ya wale wachache ambao watachaguliwa kwa ajili ya interview na mimi niwe mmoja wapo.

5. Katika Jina la Yesu Kristo ninaamuru malaika wanaofanya kazi ya kutoa kibali kwa watoto wa Mungu, wanipe kibali kwenye interview na maombi yangu ya kazi.

6. Ninapokuwa nafanyiwa interview naomba Roho Mtakatifu uwe pamoja na mimi, unipe hekima ya kuweza kujibu maswali yangu kwa usahihi, Katika Jina la Yesu Kristo.

7. Katika Jina la Yesu Kristo Ninafungua milango ya baraka kwa ajili ya ya kupata kazi.

8. Nakataa roho ya umaskini ambayo inanisababishia nashindwa kupata kazi.

9. Naikataa roho ya umaskini ambayo nimerithi kutoka kwa babu, bibi na wazazi wangu.

10. Katika Jina la Yesu Kristo, Mimi( weka Jina lako) sitateseka kimaisha k**a ambavyo ukoo wangu umekuwa ukiteseka na umaskini.

11. Katika Jina la Yesu Kristo, Mimi ( weka Jina lako) watoto wangu hawatateseka kimaisha k**a ambavyo wazazi wangu waliteseka.

12. Naikataa roho ya umaskini na ya kukataliwa ambayo inasababisha nishindwe kupata kazi nzuri.

13. Natafuta maneno mabaya ambayo nimetamkiwa kinyume na mafanikio yangu ya kupata kazi, katika Jina la Yesu Kristo.

14 . Ninaamuru malaika wa BARAKA waende wakazifanye zile Baraka ambazo Mungu aliniandalia zije kwenye maisha yangu, katika Jina la Yesu Kristo.

15. Mungu, naomba kibali chako kwa ajili ya biashara yangu ambayo ninaifanya.

16. Katika Jina la Yesu Kristo Naomba unisaidie niweze kupata kibali cha kupata wateja ambao watanunua bidhaa zangu.

17. Ninaamuru malaika ambao ni roho watumikao, walete wateja ambao watanunua bidhaa zangu katika Jina la Yesu Kristo.

18. Naomba kibali chako Bwana kiwe pamoja NAMI kwenye biashara yangu, naomba upendeleo wako uwe pamoja NAMI kwenye biashara.

19. Navunja kila roho za kichawi ambazo zinatumika kuleta uharibifu kwenye biashara yangu, Katika Jina la Yesu.

20. Navunja na kuharibu kila roho za kichawi ambazo zinatumika kwa ajili ya kuwafanya wateja wasije kwangu kununua.

21. Naenda kinyume na kila uchawi, matambiko unaofanywa na wafanya biashara wenzangu kwa ajili ya kusababisha mvuto kwenye biashara zao na huku wakiharibu ya kwangu, katika Jina la Yesu Kristo.

22. Ninaliombea eneo la biashara yangu, ardhi ya eneo ya biashara yangu itaenda kunipa kibali, kibali kwa wateja, kibali kwenye mauzo katika Jina la Yesu Kristo.

23. Ninaombea anga la eneo la biashara yangu, anga la eneo la biashara yangu inaenda kunipa kibali Cha Mungu katika Jina la Yesu Kristo.

24. Ninayafunga kila mapepo, kila uchawi ambao upo kwenye ardhi ya biashara yangu ambayo yanasababisha biashara yangu kuwa ngumu katika Jina la Yesu Kristo.

25. Ninafunga na kuharibu kila pepo wachafu, uchawi ambao upo kwenye anga la eneo la biashara yangu ambayo inasababisha nashindwa KUPENYA kibiashara katika Jina la Yesu Kristo.

26. Kuanzia Leo, ninaamuru malaika wa Mungu watawale kwenye ardhi na anga la eneo ya biashara yangu kwa Jina la Yesu Kristo.

27. Katika Jina la Yesu Kristo, ninazifunika fedha ambazo nitapewa na wateja k**a malipo, nakataa kila mapepo ya chuna ulete kwenye fedha ambazo nitazipokea katika Jina la Yesu Kristo.

28. Natamka mafanikio kwenye biashara yangu.

29. Naitamkia biashara yangu faida, katika Jina la Yesu Kristo. Amen

Tutaendelea na haya maombiπŸ™
Fahim 0716 822126 πŸ’₯

01/02/2024

HATARI YA KIAPO CHA MAHUSIANO β€β€πŸ©Ή

KUTOKA 23: 32. ''Usifanye maagano pamoja nao, wala pamoja na miungu yao.''

Agano/Kiapo, ni kitu kikubwa sana, kuna nguvu katika maagano. Unapoweka agano unasababisha lile agano liwe linaishi,
Unasababisha maisha yako yawe katika muelekeo wa agano ambalo umelifanya.

Ndiyo maana k**a hauna uhakika na kitu ni bora usiweke agano, usifanye Kiapo kwa sababu kuna saa utatamani ufanye vitu tofauti na kiapo ila lile agano litasimama k**a kifungo, likakuwekea wigo, au ukuta kwenye ulimwengu wa Roho.

Watu wengi wanapokuwa kwenye mahusiano na wanapoona wame pendana na wapenzi wao huwa wanafanya maagano mbali mbali ya kutokuachana.

Maagano ambayo yanaathiri na kumsababisha kijana au binti ashindwe kuingia kwenye ndoa, maagano ambayo
Yana sababisha ndoa yako ambayo imepangwa na Mungu ishikiliwe na shetani kwenye ulimwengu wa roho,

Unapofanya maagano ina maana unayapa mamlaka hayo maagano kuweza kukutawala wewe kwenye ulimwengu wa roho na wa mwili.

AINA ZA MAAGANO AU VIAPO

Kuna maagano ya damu, Maagano ya maneno
maagano ya matendo
maagano

Kiapo cha damu ni kile ambacho wapenzi hutumia damu kufanya maagano kwamba kamwe hawataachana na kwamba hata k**a wakiachana hawaweza kuingia kwenye ndoa na watu tofauti mbali na wao.

Maagano ya damu yanafanyika kwa kuchukua damu ya kijana wa k**e na wa kiume kisha kuichanganya kwa pamoja na kisha kutamka maneno ya kuapa kutokuachana.

Maagano ya maneno.. haya ni maneno ya kuapa ambayo kijana wa k**e na wa kiume wanaambiana.

Mfano : hatutaweza kuachana, wewe ni mke/mume wangu. Vijana wa k**e na wa kiume kuanza Kuitana mke au mme wakati bado hamjafunga ndoa unakuwa unatengeneza maagano kwenye ulimwengu wa roho kwamba nyie ni mke na mme.
Kuna vijana wamepeana hadi pete za ndoa, yaani hawajafunga ndoa ila tayari wanatumia pete za wana ndoa.

Maagano ya kimatendo, ni pale unapotumia mwili wako kwa kushiriki tendo la ndoa na mtu ambaye siyo mke wala mme wako. Mnakuwa mnatengeneza muunganiko kwenye ulimwengu wa roho ambao unakufanya muonekane k**a mke na mume.

Sasa mahusiano ambayo uliyafanyia maagano yanapovunjika, au yanapoisha hapa ndipo shida huanza,

kwa sababu tayari unakuwa umejiingiza kwenye maagano ya ndani halafu mahusiano yanavunjika na unatamani kuingia kwenye mahusiano mengine yanayo pelekea ndoa ila unashindwa kwa sababu ya Yale maagano ambayo umeyafanya yanakuwa bado yanaendelea kuishi kwenye ulimwengu wa roho huku yakikuathiri kwenye ulimwengu wa mwili.

Ili kuyavunja yale maagano yote uliyoyafanya unatakiwa kuingia kwenye toba ya utakaso kwa damu ya Yesu,

Ili ikutenganishe na nafsi ulizo jiunganisha nazo kwa viapo mbali mbali katika ulimwengu wa roho kwa maneno na matendo.

Lakini pia utatakiwa kufanya maombi ya ukombozi ili kukuondoa kutoka katika maagano ambayo umeyafanya ambayo sasa hivi yanaathiri kuolewa/kuoa kwako.

Vijana ambao bado hamja fanya maagano au unampango wa kufanya maagano na mtu uliyenaye kwenye mahusiano, nakushauri usije ukathubutu kufanya maagano na mtu ambaye huna uhakika naye k**a mtafunga ndoa au la!

Epuka kujiharibia maisha, kwa kufanya maagano ambayo baadaye yatakuja kukugharimu.
Na hata k**a uliingia kwenye maagano mabaya kiasi gani jua kuwa ipo damu ya Yesu ambayo kazi yake ni kufuta kila kitu na kukuletea mwanzo mpya.
Jua kuwa hakuna la kumshinda Yesu,

Katika jina la Yesu, navunja kila aina ya maagano ambayo yamesimama kwenye maisha yako k**a kizuizi cha kuingia kwenye ndoa yako. Kwa jina la Yesu

Kila agano ambalo lina simama kinyume na ndoa yako, kinyume na kuolewa kwako, kinyume na kuoa kwako naliondoa kwa damu ya Yesu Kristo, Ameen πŸ™Œ.
Uko huru sasa kwa jina la Yesu

By Mtumishi Fahim 0716 822126 πŸ’₯

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee πŸ‘

Maombi na ushauri 0716 822126 Whatsapp

30/01/2024

KABLA YA WEEK HII KUISHA UTAPOKEA TARIFA NJEMA KUTOKA KWA YULE UMPENDAE❣ k**a ni wewe pokea kwa jina la Yesu Kristo πŸ™Œ

Maombi na ushauri 0716 822126 Whatsapp

25/01/2024

MAOMBI YA KUVUNJA VIZUIZI YVA KUCHEWESHWA KWENYE NDOA*‼️‼️‼️

AJENDA ZA MAOMBI KWA SIKU 7 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

1. Moto wa Roho Mtakatifu, badilisha kuchelewa kwangu kuwa mafanikio ya ndoa mwaka huu kwa moto, katika jina la Yesu.

2. Kila kufuli inayoshikilia ndoa yangu iwake moto, kwa jina la Yesu.

3. Minyororo ya kucheleweshwa kwa ndoa na kukatishwa tamaa, inakatika kwa jina la Yesu.

4. Mungu ainuke na maadui wote walio nyuma ya ucheleweshaji wa ndoa yangu watawanyike, kwa jina la Yesu.

5. Miaka yangu iliyopotea, irudishwe kwa moto na na niingie katika ndoa ya mwaka huu, katika jina la Yesu.

6. Ninafuatilia, kuvuka na kuokoa ndoa yangu kutoka kwa mikono ya wazuia ndoa, katika jina la Yesu.

7. Madhabahu yoyote ya kishetani inayofunga ndoa yangu, itawanywe kwa moto, kwa jina la Yesu.

8. Kila mshale wa aibu, unaolenga maisha yangu katika mwaka huu wa 2024, unarudi nyuma, katika jina la Yesu.

9. Kila nguvu iliyoamriwa kunifanya niinuke na kuanguka katika uhusiano wangu bila ndoa, ife, kwa jina la Yesu.

10. Kila nguvu ya nyumba ya baba yangu, inayo chelewesha ndoa yangu inakufa, kwa jina la Yesu.

11. Laana na maagano ya kuchelewa kwa shetani katika maisha yangu kujaribu kunizuia nisiolewe/Kuoa,ife, kwa jina la Yesu.

12. Shimo la kina, kumeza fadhila zangu, upendeleo wangu wa ndoa na nafasi zangu za ndoa zinazitapika kwa moto, katika jina la Yesu.

13. Mlolongo wa kucheleweshwa kwa ndoa na kukatishwa tamaa mara kwa mara, inayoshikilia maisha yangu miaka hii yote, vunjila, kwa jina la Yesu.

14. Wingu la giza karibu na mafanikio yangu ya ndoa, tawanyikeni, kwa jina la Yesu.

15. Ninaangusha kila ngome ya kuchelewa kwa ndoa ya kishetani inayofanya kazi maishani mwangu, katika jina la Yesu.

16. Kila shujaa aliyepewa jukumu dhidi ya maendeleo yangu kuoa miaka baada ya miaka kadhaa na kufa, katika jina la Yesu.

17. Amri ya Shetani juu ya picha yangu kwamba sitaolewa/Kuoa kamwe, kufa, katika jina la Yesu.

18. Kila nguvu mbaya inayomaliza fadhila zangu, juhudi, fedha, na wakati katika uhusiano huu wa sasa kufa, katika jina la Yesu.

19. Kushindwa na msiba hautakuwa utambulisho wangu katika uhusiano huu mahususi, katika jina la Yesu.

20. Nguvu ya kudumaa kwa uhusiano na kufuta ndoa, kauka, kwa jina la Yesu.

21. Nitainuka na kuolewa/Kuoa kwa utukufu mwaka huu

Omba Dondoo za maombi hapo juu kwa imani

Fahim 0716 822126 πŸ’₯

Mungu akubariki.

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee πŸ‘

Maombi na ushauri 0716 822126 Whatsapp

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam