Wanaotaka Mke

Wanaotaka Mke

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wanaotaka Mke, Public Service, Dar es Salaam.

07/03/2023
04/01/2023

NAKEMEA KILA AINA YA MAUTI YOYOTE KWENYE MAISHA YAKO MAUTI YA NDOA MAUTI YA UCHUMI MAUTI YA PESA MAUTI YA KAZI MAUTI YA MALI ZAKO HAKUNA MTOTO KWAKO ATAKAE KUFA KABULA YA UZEE NA KUWA MASIKINI, POLEA K**A UNAAMINI KWA JINA LA YESU🙏

Niandikie ujumbe Messenger majina yako na Mahitaji yako nikuombee 👏

01/01/2023

Wanaotaka Mke Naitwa Brown💥 natafuta mke alie na mapenzi ya thati nimechoshwa na kuteseka na wasio mapenzi ya thati🙏

26/12/2022

Wanaotaka Mke bado nasisitiza natafuta mke💥 kuanzia mika 18 na kuendelea.💯

26/12/2022

Wanaotaka Mke Huyu ndiye mwarabu💥 wakwanza kutangaza hazarani anataka mke wa dini yoyote inchi yoyote 🙏

25/12/2022

Wanaotaka Mke Naitwa Faisal Yanga 💥 kazi yangu ni mpira⚽️ natafuta mke mwenye mapenzi ya thati dini yoyote anipende💯 na asinipende kwa sababu mimi ni marufu💥 awe tayari kuwa mke wa nyumbani asiwe mke wamitandaoni📲 masaa yote nataka anaetambua wajibu wa mume na ndoa🙏

25/12/2022

Wanaotaka Mke Naitwa Joseph💥 nnaiishi dar nimfanya kazi wa AKIBA Bank 🏦 natafuta mke alie tulia nioe mimi mwenye nimekosa mwenyewe sifaninazotaka ktk hawa ninaowajua🙏

20/12/2022

Wanaotaka Mke Naitwa Ayubu💥 naishi moshi nafanya kazi manisipaa natafuta mke alie tayari nioe🙏

20/12/2022

Wanaotaka Mke Naitwa Medy💥 Naishi arusha nafanya kazi kwenye boda ya Kenya 🇰🇪 na Tanzania 🇹🇿 ninamiaka 30 natafuta mke alie tulia nioe 🙏

20/12/2022

Wanaotaka Mke Naitwa Chris💥 natafuta mwnamke alie na umri wa kuwa mke wa mtu alie maliza ujana sitaki anisumbue kwenye ndoa nataka nioe nitulie nae🙏

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar Es Salaam