Ili uweze kufaidika kikamilifu na huduma za Snippe, ni muhimu biashara yako iwe imehakikiwa (Verified).
Kupitia Snippe, unaweza kutumia huduma zetu k**a:
• Mfanyabiashara Binafsi (Sole Proprietor)
• Kampuni au Biashara
• NGO / Taasisi
Kufanya verification kunaongeza uaminifu wa biashara yako, kunarahisisha kupokea malipo, na kuhakikisha akaunti yako inalindwa kwa usalama zaidi.
Je, tayari ume-verify biashara yako kwenye Snippe? 👀
Tembelea www.snippe.me ujisajili na ukamilishe verification yako leo.
Kwa msaada zaidi, tupigie:
📞 +255 699 920 009
NeuroTech
We are a tech company that focuses on helping businesses thrive in customer care using AI-driven conversational chatbots
Kupitia App ya Snippe , unaweza kuona mchanganuo wa mauzo ya bidha zako kupitia Feature ya Analytics .
Hii inakusaidia kujua namna biashara yako inavyofanya enda !
27/05/2026
Eid Mubarak! Wishing you and your loved ones a joyful and blessed Eid. Thank you for your continued trust and support, it means the world to us. !
Una kipaji cha kupika na watu wanapenda sana chakula chako? 👨🏽🍳🔥
Inawezekana kabisa hicho kipaji kikawa chanzo chako cha kipato.
Badala ya kuishia kupost picha na videos za mapishi pekee, unaweza pia kuanza kuuza recipes zako kidigitali kwa watu wanaotaka kujifunza kutoka kwako. 📖✨
Kupitia Snippe, unaweza kuuza:
• Recipes za mapishi
• Cooking guides
• PDF za hatua za mapishi
• Meal plans
• Video tutorials
na digital products nyingine kirahisi.
Mteja akishalipa, anapokea content yake moja kwa moja bila wewe kutuma manual kila mara. 🚀
Geuza kipaji chako kuwa biashara ya kidigitali.
Jisajili leo kupitia:
🌐 www.snippe.me
26/05/2026
Kuna vitu ukiviona unauliza…
“kumbe ilikuwa simple hivi?” 😭
Kutengeneza payment link kwenye .me ni one of those things.
Unaset amount, unatengeneza link, unatuma kwa mteja. That’s it.
No long process.
No stress za malipo.
No “nitumie screenshot.”
Sasa imagine mteja akitaka kulipa right now…
unamtumia nini? 👀
We really need to talk ! If your business is still utilizing older ways to handle customer queries!
With (www.sarufi.io) your business can easily handle customer queries and requests without having an expensive customer support team !
Book a Sarufi Demo : [email protected]
Tunakuwezesha kufanya biashara bila hata kuwa mtaji mkubwa. Unachokihitaji ni Mfumo / App yetu ya Snippe ( www.snippe.me ) kuuza na kupokea malipo !
Baada ya kujisajili kulitia www.snippe.me , tengeneza Payment Profile , Kisha tengeneza payment link na kuweka bidhaa unazouza kisha sambaza hio link kwa wateja wako wanunue na kulipia bidha hio kwa urahisi zaidi !
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kunduchi Dar Es Salaam TZ, 32485
Dar Es Salaam
