16/05/2022
Nguvu na Uhuru wa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) ni vizuri akalindwa na kuwekewa utaratibu wa kupatikana kwake na utekelezaji wa majukumu yake kwenye katiba.
We are active citizens and activists ,here to demand a new constitution in Tanzania| #KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi |
� [email protected]
16/05/2022
Nguvu na Uhuru wa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) ni vizuri akalindwa na kuwekewa utaratibu wa kupatikana kwake na utekelezaji wa majukumu yake kwenye katiba.
16/05/2022
Vyama vya siasa na Msajili wa vyama vya siasa ni taasisi za wananchi, hivyo lazima kutambulika kwenye katiba ya nchi na kuwekewa miiko. Upatikanaji wa Msajili vyama vya siasa na wajibu wake ni vyema ukawa kwenye katiba yetu ya nchi.
16/05/2022
Shughuli za Serikali zisichanganywe na Siasa. Watumishi wa umma sasa wanatumia rasilimali za umma kutekeleza kazi za vyama vya siasa mfano.Rais, Mawaziri, wakuu wa wilaya na mikoa.
26/06/2021