UVCCM Tawi la Idrisa

UVCCM Tawi la Idrisa

Share

Uongozi wa UVCCM
1. Mwenyekiti ni SAIDI KAZI
2. Katibu ni SHARIFU MORGAN
3. Hamasa ni BALOTELI
4.

08/08/2020

Mwangalie Kijana kutoka Tawi la Idrisa Kata ya Mzimuni Con. AZMINA AFFI AMIRI akiomba kura za NDIO kwa wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM.

Photos from UVCCM Tawi la Idrisa's post 24/07/2020

Siku ya Uzinduzi wa Shina la Idrisa Hujatupa Umeweka lililozinduliwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam Con. Simon Mwakifwamba.

24/07/2020

📸 2019. Baadhi ya viongozi wa Tawi la Idrisa wakati walipokutana kwenye ukumbi wa Tawi wakiwa wanaelekea kwenye uzinduzi wa Shina.

23/07/2020

Karibu sana katika ukarasa rasmi wa UVCCM na Chama Tawi la Idrisa.

📸 Siku ya uzinduzi wa Shina letu la Hujatupa Umeweka ambalo lilizinduliwa na Com. SIMON MWAKIFAMBA kwa kuongozwa na uenyeji na Com. Chief MORISON MOSSES JUMANNE MZEE.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Idrisa, Kata Ya Mzimuni
Dar Es Salaam
14102