Nabii Prophet

Nabii Prophet

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nabii Prophet, Public Service, dar es salaam, .

22/03/2023

SIFA ZA MWANAUME AU MWANAMKE ALIE FUNGWA KICHAWI👹 KWENYE NDOA NA MAHUSIANO♥

1.💥 Hapendi kutulia nyumbani yani hajisikii amani kuwa nyumbani kwake hata akifika nyumbani anakuwa mtu wa hasira na visa visa ili amani ipote tu kwenye nyumba😪

2.💥 Hamfurahii mume wake mke wake au mchumba wake, anapokuwa karibu na mke wake au mchumba wake anajisikia hasira bila sababu, anaweza kujikuta anamtamkia maneno mabaya tu makusudi

Mnaweza kuongea vizuri mkiwa mbali lakini mkiwa karibu tu hamjui ugomvi umetokea wapi mnakorofishana kwa kitu kidogo ugomvi unakuwa mkubwa unachukua mda mrefu kuisha kusameheana inakuwa vigumu mpaka mnataka kuachana, hivyo ni vifungo kwenye eneo la ndoa na mahusiano yenu.

3.💥 Kila mnapo waza future au maendeleo yakujenga familia au yanayo wafanya muwe pamoja lazima mtamaliza kwa ugomvi au kutokuelewana, matokeo yake mnaona bora muache tu kuongea hiyo mipango ya maendeleo ya familia au ndoa,
Mnaamua kila mtu afanye analoona linafaa, mnakosa mwafaka na mapatano ya pamoja kwa jambo linalowafanya muwe k**a mke na mume au k**a mtu na mchumba wake.

4.💥 Mda mwingi mahusiano yenu yametawaliwa na visasi na kuhesabiana makosa kifupi hayana msamaha makosa ndiyo nguvu ya mahusiano ukifanya jambo dogo unakumbushwa makosa ya nyuma ambayo ulihisi yameisha ukiona hivo ujue kuna mmoja kati yenu anavifungo au wote mumefungwa mnatakiwa maombi ya ukombozi wa ndoa na sadaka

5.💥 Mnaishi kwa kulinganishwa na watu wa inje au ma ex waliopita. Mfano utaambiwa wanaume wenzako hawako hivo au wanawake wenzako hawako hivo, au tangu nimeanza kuwa namahusiano sijawahi kuwa na mwanaume asie jitambua k**a wewe au sijawahi kuwa na mwanamke mjinga k**a wewe,

Ukiona hivi jua kuna shida ipo kati yenu kuna vifungo vime wafunga kwenye eneo la mahusiano na ndoa ukiwa na tabia hizi hakuna siku utaona amani kwenye ndoa au mahusiano yako.

6.💥 Hakuna malidhiano kwenye jambo lolote hasa kwenye tendo la ndoa utakuta malalamiko ya kutokutoshelezana na migogoro ya kila mmoja anataka mwenzake afanye anachota yeye na siyo anachotaka mwenzake kifupi kila mtu ni mbinafsi ameshikilia misimamo yake, Hilo nalo ni kifungo.

7.💥 Mikinzano ya kiimani na chaguo, mmoja anaamini hivi katika hili na mwingine anaamini vingine katika hilo. Ukichagua hiki anakwambia umekosea ungechagua kile baba ana chaguo lake na mama anachaguo lake, baba ana vitu vyake na mama ana vitu vyake baba ana watoto wake anao wapenda na mama ana mtoto wake anaempenda, mmoja akirudi saa 4 usiku mwingine anarudi saa 6 usiku.

Ukiona hivo kwenye ndoa au mahusiano hamuwezi kwenda mbali mwisho wasiku mtasaritiana na inaweza kwenda mbali mpaka mkawekeana sumu kabisa mkauwana, hii hali nikifungo cha adui kibaya kinacholenga kuleta hatari kwa watoto na mauti ya ndoa.🙏

Ukiona unapitia hii hali kwenye ndoa na mahusiano usichukulie ni kawaida hii hali inaweza kugarim maisha yako mpendwa ukapoteza uhai wako,

Njoo niombe na wewe yupo Yesu anae rejesha mahusiano na ndoa zilizoshindikana na kugeuza mioyo ya wana ndoa au wachumba walio chukiana na kurejesha upendo ndani yao wakasahau maumivu ya ndoa na mahusiano 💓

SEMA BWANA YESU NAKUKABIDHI MAHUSIANO NA NDOA YANGU PIA NAKUKABIDHI MUME WANGU MKE WANGU UMTAWALE WEWE NAKATAA SHETANI KUINGILIA NDOA YANGU KWA MLANGO WOWOTE ULE NIFANYE KUWA BORA KWA MWENZANGU NIWE CHANZO CHA FURAHA NA AMANI KWENYE NDOA YANGU KWA JINA LA YESU AMEE🙏

By Mtumishi Fahim Whatsapp 0716822126

Mungu akubariki🙌

07/02/2023

AGANO HARISI LA KUMILIKI MUME/MKE💯
NDOA💓 NA MAHUSIANO ❣

AGANO NI NINI ?
(AGANO ni makubaliano au mkataba unao husisha
Kiapo, kifungo, Sheria, na Sadaka💥)

Mahusiano au Ndoa nyingi zina vunjika kwasababu hazina MAAGANO harisi ya umiliki wa hizo ndoa au hayo mahusiano💘.

Yani hakuna AGANO mkataba katika ulimwengu wa roho unao kutambua kuwa wewe ndie mmiliki harisi wa huyo Mwanaume au huyo Mwanamke ulie nae.🤔

Mpendwa Kuwa na mwanaume au mwanamke ambae huna AGANO/MKATABA nae harisi nisawa na kujenga nyumba kwenye kiwanja au eneo ambalo siyo la kwako, au nik**a kununua au kuendesha gari ambalo card yake haija andikwa jina lako. ✍

Mtu Yeyote ikitokea aka kuwahi akafata taratibu za hati Kisheria hiyo nyumba au hiyo gari inakuwa ya kwake. Yani anakuwa ndiye mmiliki harisi wa hiyo nyumba au hiyo gari. Yani anakuwa ndiye mmiliki halali wa huyo Mwanaume au huyo Mwanamke ulie nae wewe k**a mume /mke au mchumba 😪

Inawezekana katika taratibu za kijamii kidini hata kimapenzi una uhalali wakuwa nae,
lakini ulimwengu wa roho hau kutambui k**a wewe ndiye mmiliki harisi wa huyo Mwanamke au huyo Mwanaume ulie nae, k**a mkeo au mumeo
Japo watu wote wanatambua ndoa yako au mahusiano yako kidini kifamilia hata kijamii🙏.

Usisahau Mungu ndie mwanzilishi wa (Ndoa) na ndie ali waumba wana ndoa yani Mwanaume na Mwanamke
📕MWANZO 1: 27💥

Nikuulize swali kidogo mpendwa. Ni nini kina kuaminisha kuwa wewe ndiye mmiliki harisi wa huyo Mwanaume au huyo Mwanamke ulie nae kwenye Ndoa au mahusiano ?❣

Jibu utasema umefunga nae ndoa, au umemtolea mahari hivo ni mchumba wako💞.
Mpendwa usidanganyike na mahari au cheti cha ndoa uliyofunga, k**a huna agano harisi la hiyo ndoa au huyo mume au mke mda wowote mnaweza kutenganishwa.

📕MARKO 10: 9💥
Biblia inasema alicho kiunganisha Mungu Mwanadamu au mtu yeyote asikitenganishe🤝
Kwa maana hiyo kilicho unganishwa na watu serikali jamii dini wazazi mila na taratibu zozote, kinaweza kutenganishwa tu kirahisi maana siyo cha Mungu

Wengi ndoa zimevunjia bila kujua walikosea wapi je K**a ulifunga ndoa kuna sadaka yoyote ulitoa kwa Mungu? kwa ajili ya Umiliki wa mumeo au mkeo? Hakuna AGANO lolote katika ulimwengu wa roho linalo kosa (Sadaka) maana sadaka ni alama ya ibada katika ulimwengu wa roho🙏.

Inawezekana umetoa kila kinacho kupasa kukitoa katika utalatibu wa ndoa au uchumba, lakini hukutoa Sadaka mbele za Mungu kwa ajili ya Umiliki wa mume au mke, ulie nae, uli kumbuka kutoa mahali kwa wazazi wake kwakuwa walikuzalia mke au mume mzuri lakini uli sahau kutoa Sadaka Kwa Mungu alie muumba na kuwapa hao wazazi huyo mke au huyo mumeo.😢

Mpendwa haijalishi una Mume halali au Mke halali k**a huna AGANO nae katika ulimwengu wa roho hata Kahaba💄 ikitokea aka kutana na mumeo au mke bahati mbaya akafunga nae AGANO kwa Sadaka, tayari ana kuwa ni wa kwake halali. 📕1.WAKORINTHO 6: 16💥

Hujawahi kuona wanawake wanaenda kwa waganga kuwafunga wanaume? Hata wengine siyo waume zao, ni waume wa wanawake wengine wa baba wa familia, lakini anamfunga mpaka anaacha familia na ndoa ina vunjika kabisa💔

Pia k**a huna AGANO na huyo mwanaume au huyo mwanamke, kuna tabia huta ziepuka kwenye Ndoa💘 k**a Usariti, Kupigana, kumgombania mwanaume mwanamke wako na watu wengine,
Maana kiwanja au nyumba isiyo kuwa na mmiliki rasimi haikosi migogoro, hivo utajikuta ndoa yako haikosi migogoro kumbe katika ulimwengu wa roho wengi wana pambana kumchukua mumeo au mkeo wa mmiliki awe wakwao🥲

Maana anae weza kumtuliza na kumlinda mumeo au mkeo ni Mungu tu! maana yeye ndiye anamjua kuliko wazazi wake hata kabula haja mweka tumboni kwao yeye ana mjua, pia ana muona kila sehem alipo.

📕ZABURI 127: 1-2💥 biblia inasema Bwana asipo ulinda mji yani (ndoa ) nyumba mume/mke yeye alindae anakesha bure.
Kwa maana hii huwezi kumchunga mumeo au mkeo ila Mungu peke ana weza kumchunga👏

Acha nikupe (Siri ya ushindi💪) mpendwa una weza kutoa Sadaka ya agano la umiliki wa mumeo au mkeo mbele za Mungu🙏 Unapoitoa hiyo Sadaka kuna maombi mtumishi wa Mungu anabidi akuongoze na kukuombea kuvunja maagano yoyote juu ya mumeo au mkeo. hivo unatakiwa utoe kwa mtumishi wa Mungu au kwenye madhabahu inayo elewa hiyo sadaka na Siri hii💥 ya ufunuo waki Mungu🙏

Haijalishi kuna sadaka ngapi zingine zimetolewa kwa kwa waganga wachawi zinazo uhalali wa Mumeo, Mkeo, Mchumba, au Mpenzi wako, zitavunjika hapo hapo na kukosa uhalali juu ya ndoa yako au mahusiano yako, na utaona ndoa itakuwa na Amani mahusiano yako yata tulia kabisa utasahau shida zote🙏
MUNGU ABARIKI NDOA YAKO NA MAHUSIANO YAKO KWA JINA LA YESU👏

✍by Mtumishi Fahim 💥Whatsapp+255716822126

Maombezi 💚Whatsapp 📲+255716822126🙏

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee upokee muujiza wako kwa jina la Yesu

01/01/2023

MWAKA 2023💥 NI MWAKA WA KUPENDELEWA
NA KUTIMIZIWA MAHITAJI YETU NA MUNGU 💯
UNATAKA MUNGU AKUTENDEE NINI 2023✍ANDIKA
Je Unataka upate Mume au mke❣
Je Unataka upate watoto💥
Je Unataka upate mchumba sahihi💕
Je Unataka upendwe na mwenzi wako💞
Je Unataka amani kwenye ndoa yako🤝
Je Unataka upate kazi nzuri ✍
Je Unataka ukue kiuchumi📲
Je Unataka upate pesa nyingi💵
Je Unataka upandishwe cheo👨‍🎓
Je Unataka upone magonjwa sugu 🤦‍♀️
Je Unataka ujenge nyumba yako🏘
K**a una amini Pokea haki yako kwa jina la Yesu🙌

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee🙏🙏

20/12/2022

Naiona roho ya mauti na kukata tamaa ndani ya huyu binti. Anaemfaham amfikishie ujumbe huu asome kitabu cha 📕(MATHAYO 11: 28-30) Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.🙏

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee upokee muujiza wako kwajina la Yesu 👏

14/12/2022

Mithali 8:18,20-21
[18]Utajiri💸 na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia.) 🙏🙏

Nakutabilia kabla ya mwaka kuisha utapokea pesa💸 nyingi zitakazo anza hatua yako ya kuelekea kwenye utajiri wako hiyo pesa itafungua milango yote iliyo fungwa kwenye uchumi wako lakini usisahau kutoa sada kwenye hiyo pesa maana huta rudi kwenye kukosa pesa tena kwa jina la Yesu 🙌

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

Unahitaji Maombi Au Uponyaji? Wasiliana Nasi Kwa Namba Hizi;
+255744083576 Vodacom

13/12/2022

MAOMBI MAALUM KWA YEYOTE AMBAE NYOTA💥 YAKE IMETIWA GIZA, KILA ANALOLIFANYA HALIFANIKIWI YESU🙏AMESIKIA KILIO CHAKO ANAKUFUNGUA SASA KWAJINA LA YESU

Dalili 6 za nyota kutiwa giza💥

👉1 Pesa inakukataa😰 unakosa kibali, kila unalofanya halifanikiwi unakuwa wakukataliwa tu

👉2.unakataliwa na mume mke kazi na mahusiano.

👉3.unapoteza mwelekeo wa maisha yako.

👉4.unaandamwa na roho za magonjwa na mauti

👉5 mateso hayaishi kwenye maisha yako.

👉6unakuwa mtu wa hofu mda wote hujiamini kila unachofanya unaona unakosea.😪

Tuandikie messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee 👏

06/12/2022
Want your business to be the top-listed Government Service?

Culinary Team

Attire

Telephone

Website