Tiba bora

Tiba bora

Share

Tiba bora ni lazima ianze na Kuondoa chanzo cha tatizo.

23/04/2026

"JILINDE NA UPOFU WA KIMYAKIMYA (GLAUCOMA)! - TAMBUA NA TIBU MAPEMA GLAUCOMAπŸ‘οΈβš οΈ

​Je, unajua kuwa Presha ya Macho haina dalili za wazi mpaka hatua za hatari?

- Usisubiri kuona "ukungu" au kupoteza uwezo wa kuona pembeni ndipo uchukue hatua.
- ​K**a una umri wa miaka 40+, una kisukari, au kuna historia ya ugonjwa huu kwenye familia yako, uko hatarini zaidi!

β€’ Glaucoma ni adui wa kimyakimya anayeshambulia mishipa ya fahamu ya jicho (Optic Nerve). Isipodhibitiwa, huleta upofu wa kudumu.

​Dalili za Mapema:

- ​Maumivu ya macho na macho kuwa mekundu.
- ​Kuona ukungu au mawingu.
- ​Kichefuchefu na kutapika (kwa presha ya ghafla).
- Macho Kuwasha na kutoka macho.
- Kutoona mbali au karibu.
- Kupungua uwezo wa kuona. n.k.

√ ​Usikubali Nuru Yako Ififie! Tunakuletea virutubisho asilia vyenye teknolojia ya hali ya juu. Bidhaa zetu zimeondolewa sumu na kemikali zote, zikiwa na lengo la kusaidia kurekebisha mifumo ya jicho kwa usalama zaidi.

​Wasiliana Nasi Leo:

πŸ“ Ofisi zetu zipo Makumbusho, DSM.
πŸ“ž Simu: 0769 600 821
πŸ“± WhatsApp: 0655 562 181
β€‹πŸ“ Tupate: Kinondoni Manyanya na Makumbusho, Dar es Salaam.
🚚 Mikoani: Tunatuma popote.

√ ​Wahi matibabu leo, linda uwezo wako wa kuona kesho!
√ Afya ya macho yako ndiyo nuru ya maisha yako.

11/04/2026

πŸ“’ SURA MPYA YA KUDHIBITI TEZI DUME NA KISUKARI!β€‹πŸ“’

​Je, unajua kuwa afya ya tezi dume na kisukari huenda sambamba? Usisubiri dalili ziwe mbaya, chukua hatua sasa kulinda afya yako na kuishi kwa amani.

​GOOD HOPE HEALTH CARE tuko hapa kukupa suluhisho la uhakika kwa kutumia utaalamu wa kisasa na huduma zenye upendo.

β€‹πŸ›‘οΈ KWANINI UCHAGUE HUDUMA ZETU?

√ ​Utaalamu wa Hali ya Juu:
√ Tunadhibiti Tezi Dume (BPH) bila hofu.
√ ​Usimamizi wa Kisukari:
√ Tunakusaidia kurekebisha sukari yako na kuzuia madhara ya muda mrefu.
√ ​Ushauri wa Kitaalamu:
√ Utapata muongozo wa lishe na mfumo wa maisha unaofaa.

​"Your Health is our Concern" – Afya yako ndiyo kipaumbele chetu kikuu.

β€‹πŸ“ WASILIANA NASI LEO:

​Usikae na maumivu au hofu moyoni. Piga simu sasa au tufuate kwenye mitandao ya kijamii kwa elimu zaidi:
β€‹πŸ“ž Simu: +255 655 562 181 | +255 769 600 821
🌐 Tovuti: www.afyabora.com
πŸ“Έ Instagram: .co.tz
πŸ”΅ Facebook:
​Wahi mapema, Afya yako ni Mtaji wako!

08/04/2026

⚠️ JE ACID REFLUX INAWEZA KUSABABISHA SARATANI?

Ndiyo β€” acid reflux ya muda mrefu inaweza kusababisha mabadiliko kwenye seli za umio (Barrett’s Esophagus) na kuongeza hatari ya kupata saratani ya umio k**a haitatibiwa mapema.

πŸ”Ž Dalili za kuangalia:

β€’ Kiungulia cha mara kwa mara.
β€’ Asidi kupanda kooni.
β€’ Maumivu ya tumbo au kifua.
β€’ Kikohozi cha muda mrefu.
β€’ Ugumu wa kumeza.

πŸ’‘ Suluhisho kutoka Good Hope Health Care.

Tunatoa huduma bora za matibabu ya matatizo ya tumbo.
🌿 Gastria Kit yetu imesaidia wengi kumaliza kabisa βœ”οΈ Acid reflux na kufanya wafurahie kula chochote bila hofu ya maumivu.

Huondoa -
βœ”οΈ Vidonda vya tumbo.
βœ”οΈ Kiungulia na gesi tumboni.

(Inatumika kwa ushauri sahihi wa kitaalamu ili kupata matokeo mazuri zaidi).

πŸ“Œ Kumbuka: Usipuuzie dalili β€” chukua hatua mapema kulinda afya yako.

πŸ“ Good Hope Health Care
πŸ“ž +255 769 600 821 | +255 655 562 181
πŸ“² (SMS, WhatsApp & Call).

Afya yako ni jukumu letu.

04/04/2026

🌿 ACID REFLUX NA VIDONDA VYA TUMBO VINAKUNYIMA AMANI?

Unasumbuliwa na:
❌ Maumivu ya tumbo mara kwa mara?
❌ Kiungulia kisichoisha?
❌ Kichefuchefu na kujaa gesi?
❌ Usingizi kukatika kwa sababu ya maumivu?
❌ Maumivu yanayoongezeka ukiwa na njaa?
❌ Kupaliwa na kukosa pumzi ukiwa usingizini?
❌ Kuhisi kitu au chakula kimekwama kooni?
❌ Kichefuchefu cha mara kwa mara?
❌ Kikohozi kikavu kisichokwisha?
❌ Vichomi kwenye mbavu?
❌ Utelezi ama uteute mwingi kooni usiokwisha?
❌ Kuvimba Tonsils au Lymph nodes mara kwa mara?
❌ Ukavu kooni?
❌ Kuwa na mate machachu k**a ndimu au limao?
❌ Maumivu ya mwili au viungo na uchovu usiokwisha?

Pole sana na ondoa shaka, Usikubali kuishi na maumivu kila siku πŸ˜”
Package yetu ya asili ya GASTRIA KIT Itakuondole shida zote hizo mara moja.

Watu wengi wamepata nafuu na kuanza kula chochote bila hofu ya maumivu. Sasa ni zamu yako kuchukua hatua.

πŸ“ž Wasiliana nasi leo: +255769600821 | +255655562181 kwa TIBA na Ushauri.

⚠️ Tunatoa ushauri binafsi kabla ya kuanza matumizi ili kuhakikisha unapata mwongozo sahihi.

01/04/2026

EARLY DETECTION SAVES LIVES – PROSTATE HEALTH MATTERS.

Prostate enlargement (Benign Prostatic Hyperplasia - BPH) ni hali inayowapata wanaume wengi kadri umri unavyoongezeka. Kugundua mapema kunaweza kusaidia kupata matibabu sahihi na kuepuka madhara makubwa.

Sababu Zinazoweza Kuchangia:
β€’ Kuongezeka kwa umri (hasa kuanzia miaka 40+).
β€’ Historia ya familia (genetics)
β€’ Uzito uliopitiliza (obesity).
β€’ Mabadiliko ya homoni mwilini.

Dalili za Tahadhari:
β€’ Mkojo kutoka kwa nguvu ndogo au kukatika-katika
β€’ Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku
β€’ Ugumu wa kuanza kukojoa
β€’ Kujikamua wakati wa kukojoa
β€’ Maumivu wakati wa kukojoa
β€’ Maambukizi ya njia ya mkojo (UTIs)

Chukua hatua mapema – pata ushauri wa daktari kwa uchunguzi sahihi.

Kwa maelezo zaidi: πŸ“ž WhatsApp: +255655562181 & +255769600821

Njoo moja kwa moja Whatssap πŸ‘‰ https://whatsapp.com/dl/code=oTikS2hhN2?mode=tac

25/11/2025

JE UNAJUWA NI KWA NINI WATU WENGI HAWAPONI ACID REFLUX ( GERD)?

1. Kutafuta dawa za kupunguza maumivu tu, sio chanzo cha tatizo :- Watu wengi hutumia antacids mara kwa mara, lakini hazitibu chanzo β€” zinapunguza dalili tu kwa muda.

2. Kula vyakula vinavyochochea acid bila kujua
Kahawa, chai, pilipili, mafuta mengi, soda, tangawizi nyingi, limao β€” watu huendelea kula bila kujua vinaongeza reflux.

3. Kula usiku sana au kulala mara baada ya kula :- Hii ndiyo sababu kubwa watu hawaponi, tumbo halijamaliza kumeng’enya.

4. Bacteria H. pylori kutotibiwa _ Watu wengi wana reflux inayoendeshwa na H. pylori, lakini hawajawahi kupima wala kutibu na hawajui hilo.

5. Kupata stress na anxiety mara kwa mara
Stress huongeza ute wa acid na kuathiri mmeng’enyo β€” wengi hawajui kabisa.

6. Uzito mkubwa kupuuzwa _ Kitambi husukuma juu tumbo na kusababisha acid kurudi juu β€” bila kupunguza uzito, dalili hurudi kwa haraka.

7. Kula chakula kingi kwa mara moja
Over eating hufanya acid reflux kuongezeka.

8. Kutokunywa maji ya kutosha
Maji husaidia kupunguza ukali wa acid, watu wengi hunywa chini ya lita 1 kwa siku.

9. Tatizo la Hiatal Hernia halijajulikana
Wengine wanateseka kwa miaka bila kujua wana ngili ya juu (hiatal hernia).

10. Wanatumia matibabu ya kizamani sana - Kutotumia tiba ya mimea sahihi kwa muda sahihi _ Wengi huanza dozi, wanapona kidogo, wanakata β€” acid hurudi.

Angalizo _ Dawa za kawaida k**a antacids, PPIs (omeprazole, esomeprazole) hufanya kazi kwa:

β€’ Kupunguza acid muda mfupi
β€’ Kuzuia uzalishaji wa acid siku chache

Lakini hazitibu chanzo, ndiyo maana ukiacha tu dalili hurudi kwa haraka. .

β€’ Tatizo la Acid / Tindikali Ya Tumbo Linatibika na Kupona Kabisa.

-πŸ“ž"Wasiliana nasi kuhusu afya - Kupitia Simu Namba 0655562181 / 0769600821

Β°Au Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡
http://.wa.me/255655562181

- Pia Waweza Jiunga na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

, & Usaidie na Wengine

14/11/2025

FAHAMU UNDANI KUHUSU UGONJWA WA ACID REFLUX/TINDIKALI YA TUMBO

(GERD-GastroEsophagaelRefluxDesease)

+255655562181 , +255769600821

β€’ Ni tatizo linalotokea katika mfumo wa mmeng'enyo na kusababisha hitilafu ya chakula au maji kurudi katika koo la chakula (*Umio*) mara baada ya kuwa chakula Hiko kimeshamezwa au Ni kitendo cha kupanda kwa acid ( *tindikali* ) ya tumbo hadi kwenye Koo /Umio la chakula kwa muda mrefu na kusababisha kiungulia ( *HEARTBURN* ).

β€’ Kiungulia hiki huanza muda mfupi baada kumaliza kula na kuisha baada ya masaa mawili.
β€’ Pia dalili za tatizo hili kwa watoto hujionesha pale m tototo anapotapika kupita kiasi au kupaliwa mara kwa mara wakati wa kula chakula.

_*Dalili zingine ni k**a*_

β€’ Tumbo kuunguruma na Kukosa hamu ya kula chakula na kuhisi kichefuchefu.
β€’ Mdomo kunuka kutokana na kurudi juu kwa chakula cha tumboni chenye tindikali.
β€’ Kupata hali ya kuunguza kwenye kifua karibu na moyo, hali inayotokea Muda Mfupi baada tu ya kula na kupata shida wakati wa kumeza chakula.
β€’ Kucheuwa Maji Maji Yenye Tindikali Ukiwa Usingizini Hasa Baada Ya Kulala Muda Mfupi Baada Ya Kula.
β€’ Kukohoa au kupaliwa mara kwa mara ikiambatana na kuweweseka Kwa Kukosa Pumzi.
β€’ Mdomo kuwa mchachu muda mwingi.
β€’Kuvimba Kwa Tezi za Shingoni K**a Vile Tonses na Goita.
β€’ Mdomo kukauka.
β€’ Meno kupoteza uimara na kuanza kumomonyoka kutokana na uwepo wa tindikali.
β€’ Tumbo kujaa Gesi , Kupata Choo K**a Tope Kunakoambatana kujamba sana.
β€’ Tumbo Kuunguruma Hasa Muda Mfupi Baaada Ya Kula.

β€’ Tatizo la Acid / Tindikali Ya Tumbo Linatibika na Kupona Kabisa.

-πŸ“ž"Wasiliana nasi kuhusu afya - Kupitia Simu Namba 0655562181 / 0769600821

Β°Au Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡
http://.wa.me/255655562181

- Pia Waweza Jiunga na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

, & Usaidie na Wengine

08/11/2025

π™Žπ˜Όπ˜½π˜Όπ˜½π™ 𝙆𝙐𝙐 ( π™‘π™”π˜Όπ™‰π™•π™Š ) π™•π™„π™‰π˜Όπ™•π™Š π™Žπ˜Όπ˜½π˜Όπ˜½π™„π™Žπ™ƒπ˜Ό π˜Όπ˜Ύπ™„π˜Ώ 𝙍𝙀𝙁𝙇𝙐𝙓 / π™‚π™€π™π˜Ώ.

Call & WhatsApp +255655 562 181 , +255769600821

1. Vyakula na vinywaji fulani
Vyakula vyenye mafuta mengi

β€’ Chokoleti
β€’ Kahawa, chai kali, soda
β€’ Vitunguu na pilipili
β€’ Nyanya na vyakula vyenye asidi nyingi
β€’ Pombe
β€’ ladha za kuongeza kwenye mboga na baadhi ya vyakula zinazo tokana na kemikali.

2. Tabia za kula.

β€’ Kula chakula kingi kwa mara moja
β€’ Kulala au kuinama muda mfupi baada ya kula
β€’ Kula usiku sana
β€’ Kutokula kwa ratiba maalum

3. Shinikizo tumboni (abdominal pressure)
Unene/uzito kupita kiasi

β€’ Mimba
β€’ Nguo zinazobana sana kiunoni

4. Sababu za kitabibu Kulegea kwa LES (valve ya umio wa chini)

β€’ Hiatal hernia (sehemu ya tumbo inapanda juu ya diaphragm)
β€’ Maambukizi ya H. pylori au vidonda vya tumbo
β€’ Matumizi ya dawa k**a aspirin, ibuprofen, au dawa za arthritis

5. Mtindo wa maisha.

β€’ Uvutaji wa sigara (husababisha valve kulegea)
β€’ Msongo wa mawazo (stress)
β€’ Kukosa usingizi au kuchoka kupita kiasi

β€’ Tatizo la Acid / Tindikali Ya Tumbo Linatibika na Kupona Kabisa.

Je umehangaika sana na madawa mbali mbali ya kutibu ACID REFLUX Bila matanikio? Usihofu tunalo suluhisho la uhakika sana ndani ya wiki moja tu utasahau kuhusu Acid reflux.

-πŸ“ž"Wasiliana nasi kuhusu afya - Kupitia Simu Namba 0655562181 / 0769600821

Β°Au Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡
http://.wa.me/255655562181

- Pia Waweza Jiunga na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

, & Usaidie na Wengine

24/10/2025

π—”π—œπ—‘π—” 𝗭𝗔 π— π—”π—šπ—’π—‘π—π—ͺ𝗔 𝗬𝗔 π—™π—œπ—šπ—’

1. Figo kushindwa kufanya kazi ghafla (Acute Kidney Failure) – hutokea ghafla kutokana na maambukizi, upungufu wa damu au dawa.

2. Figo kushindwa kufanya kazi sugu (Chronic Kidney Disease) – huchukua muda mrefu na huendelea polepole.

3. Maambukizi ya figo (Pyelonephritis) – bakteria hushambulia figo.

4. Mawe kwenye figo (Kidney Stones) – madini hukusanyika na kuunda mawe.

5. Kisukari cha figo (Diabetic Nephropathy) – kisukari huharibu mishipa ya damu ya figo.

6. Shinikizo la damu la figo (Hypertensive Nephropathy) – BP kubwa huharibu figo.

7. Kuvuja damu kwenye figo (Glomerulonephritis) – figo hushambuliwa na kinga ya mwili.

8. Figo zenye uvimbe wa maji (Polycystic Kidney Disease) – uvimbe unaokua ndani ya figo.

9. Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) – yakifika figoni husababisha matatizo makubwa.

10. Kansa ya figo (Kidney Cancer) – chembe za figo hukua vibaya na kuunda uvimbe mbaya.

π——π—”π—Ÿπ—œπ—Ÿπ—œ 𝗭𝗔 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—Ÿπ—” π—™π—œπ—šπ—’

1. Kuchoka kupita kiasi – kutokana na damu chache au sumu mwilini.

2. Uvimbaji wa mwili – hasa usoni, mikononi na miguuni.

3. Mkojo kubadilika – rangi, harufu au kuwa na povu.

4. Kukojoa mara chache – au kuacha kabisa kukojoa.

5. Maumivu ya mgongo – chini ya mbavu, hasa upande mmoja.

6. Kichefuchefu na kutapika – kutokana na sumu mwilini.

7. Kupoteza hamu ya kula – mwili ukiwa umechoka.

8. Kuwashwa kwa ngozi – au ngozi kuwa kavu sana.

9. Kupumua kwa shida – maji yakijikusanya kwenye mapafu.

10. Kizunguzungu na maumivu ya kichwa – shinikizo la damu likipanda.

11. Kupungua uzito – au kukonda bila sababu.

12. Kuchanganyikiwa – kutokana na sumu nyingi mwilini.

Rekenisha figo zako na kufanya figo zirudi katika hali yake ya kawaida ya kutoa mkojo kwa ufanisi.

πŠπ€π‘πˆππ” ππˆπŠπ”π’Aπƒπˆπ„ ππˆπ†π€ & 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏

Callβž–text&smsβž–whatsappπŸ‘‡

βž– Ili Kupata Ushauri na Msaada Zaidi Kuhusu Matatizo Mbali Mbali Kiafya - Mawasiliano - +255655562181 au +255769600821

βž– Jiunge na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

βž– SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA πŸ™πŸ™πŸ™ kisha tuandikie maoni yako au ushauri hapo chini

πŠπ€π‘πˆππ” 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄.

19/10/2025

π™Žπ˜Όπ˜½π˜Όπ˜½π™ 𝙆𝙐𝙐 ( π™‘π™”π˜Όπ™‰π™•π™Š ) π™•π™„π™‰π˜Όπ™•π™Š π™Žπ˜Όπ˜½π˜Όπ˜½π™„π™Žπ™ƒπ˜Ό π˜Όπ˜Ύπ™„π˜Ώ 𝙍𝙀𝙁𝙇𝙐𝙓 / π™‚π™€π™π˜Ώ.

Call & WhatsApp +255655 562 181 , +255769600821

1. Vyakula na vinywaji fulani
Vyakula vyenye mafuta mengi

β€’ Chokoleti
β€’ Kahawa, chai kali, soda
β€’ Vitunguu na pilipili
β€’ Nyanya na vyakula vyenye asidi nyingi
β€’ Pombe
β€’ ladha za kuongeza kwenye mboga na baadhi ya vyakula zinazo tokana na kemikali.

2. Tabia za kula.

β€’ Kula chakula kingi kwa mara moja
β€’ Kulala au kuinama muda mfupi baada ya kula
β€’ Kula usiku sana
β€’ Kutokula kwa ratiba maalum

3. Shinikizo tumboni (abdominal pressure)
Unene/uzito kupita kiasi

β€’ Mimba
β€’ Nguo zinazobana sana kiunoni

4. Sababu za kitabibu Kulegea kwa LES (valve ya umio wa chini)

β€’ Hiatal hernia (sehemu ya tumbo inapanda juu ya diaphragm)
β€’ Maambukizi ya H. pylori au vidonda vya tumbo
β€’ Matumizi ya dawa k**a aspirin, ibuprofen, au dawa za arthritis

5. Mtindo wa maisha.

β€’ Uvutaji wa sigara (husababisha valve kulegea)
β€’ Msongo wa mawazo (stress)
β€’ Kukosa usingizi au kuchoka kupita kiasi

β€’ Tatizo la Acid / Tindikali Ya Tumbo Linatibika na Kupona Kabisa.

-πŸ“ž"Wasiliana nasi kuhusu afya - Kupitia Simu Namba 0655562181 / 0769600821

Β°Au Kuchart Nasi Moja Kwa Moja Watssapp Bofya link hapo chini πŸ‘‡πŸ‘‡
http://.wa.me/255655562181

- Pia Waweza Jiunga na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

, & Usaidie na Wengine

17/10/2025

π™†π™’π˜Ό 𝙉𝙄𝙉𝙄 π™ˆπ™’π˜Όπ™‰π˜Όπ™ˆπ™†π™€ π™ƒπ™π™π™Šπ™†π˜Ό π˜Ώπ˜Όπ™ˆπ™ 𝙐𝙆𝙀𝙉𝙄 π™’π˜Όπ™†π˜Όπ™π™„ π™’π˜Ό π™π™€π™‰π˜Ώπ™Š π™‡π˜Ό π™‰π™€π™π˜Ό?

Hizi hapa ndiyo Sababu kuu za Postcoital Bleeding-

Kwa kawaida mtu mwenye hormonal imbalance anaweza kutokwa damu wakati wa tendo la ndoa (s*x) kwa sababu kadhaa zinazohusiana na mabadiliko ya homoni, hasa estrogen na progesterone.

Hapa kuna maelezo ya kina:

🧠 1. Upungufu wa homoni ya estrogen
Estrogen husaidia kuweka kuta za uke zikiwa nene, zenye unyevu na zenye elastic.

Wakati kiwango chake kimeshuka (k**a kwenye hormonal imbalance, stress, au baada ya uzazi), ukuta wa uke hukauka na kuwa mwembamba.

Hivyo, wakati wa s*x ukuta huu mwembamba huweza kupasuka kirahisi na kusababisha damu kidogo au maumivu.

🩸 2. Mabadiliko ya homoni kwenye mzunguko wa hedhi.

Wakati mwingine mwili unapata mabadiliko ya ghafla ya homoni kabla au baada ya hedhi.

Hali hii inaweza kufanya mfuko wa mimba (uterus) kutoa damu kidogo wakati wa tendo la ndoa.

Kwa wanawake wenye hormonal imbalance, hii hutokea mara kwa mara bila ratiba maalum.

🌿 3. Uchochezi au uvimbe kwenye shingo ya kizazi (cervix).

Homonal imbalance inaweza kufanya tishu za shingo ya kizazi kuwa nyeti na kuvimba (cervical erosion).

Shingo ya kizazi ikiguswa wakati wa s*x, damu hutoka kwa urahisi.

⚠️ 4. Sababu nyingine zinazochangia ni
Maambukizi ya uke au shingo ya kizazi (yeast, PID, trichomonas, n.k.)

Fibroids au polyps kwenye kizazi.

Matumizi ya vidonge vya kupanga mimba visivyo na uwiano wa homoni.

Stress na usingizi duni, ambavyo pia huharibu uwiano wa homoni.

πŠπ€π‘πˆππ” ππˆπŠπ”π’Aπƒπˆπ„ ππˆπ†π€ & 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏

Callβž–text&smsβž–whatsappπŸ‘‡

βž– Ili Kupata Ushauri na Msaada Zaidi Kuhusu Matatizo Mbali Mbali Kiafya - Mawasiliano - +255655562181 au +255769600821

βž– Jiunge na Group letu la Afya la WhatsApp Kwa Kubonyeza Link Hii hapa πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰ https://chat.whatsapp.com/C4qdsFaTDTB7tUPplBak8Q

βž– SHARE kwenye MA GROUP NA WATU MBALI MBALI UWASAIDIE WENGI WANAO TESEKA πŸ™πŸ™πŸ™ kisha tuandikie maoni yako au ushauri hapo chini

πŠπ€π‘πˆππ” 𝐀𝐒𝐀𝐍𝐓𝐄.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Ilala Boma
Dar Es Salaam