GOGO TV3

GOGO TV3

Share

HABARI ZA KIMICHEZO NA MATU KIO MBALI MBALI KUWA WA KWANZA KUHABARIKA KUPITIA UKURASA HUU WA MCHEZA KWAO ⚽️

12/02/2025

Uzuri wa Vini hatakagi unyonge na mashabiki, mtamkera ila yy huwa anakera mnooo

Photos from GOGO TV3's post 10/02/2025

Kwani Hakuna kazi nyingine za kufanya jamani?

10/02/2025

Mimi pamoja na Zahoro Matelephone tunawatakia usiku mwema usio na bughudha

10/02/2025

Kwani kuna shida

09/02/2025

FERGUSON ALIMUULIZA RYAN GIGGS, NANI KAMLETA MESSI DUNIANI?!

Tulipocheza fainal ya UEFA champions league "Wimbley stadium" dhidi ya Barcelona May 2011. Hiki ndicho kipindi ambacho ubora ulichagua kuishi kwenye ulimwengu wa Lionel Messi.

Ferguson alipomkabidhi "Park Ji sung" kazi ya kumkaba Messi. Moyoni niliona Park Ji sung amepewa kazi ngumu ambayo hajawahi kuifanya katika maisha yake. Hii ilikuwa kazi nzito anayoweza kuishinda kwa msaada wa imani na sio mbinu za "Sir Alex Ferguson."

Sababu wakati huo duniani kote swali la mabeki kwa walimu wao lilikuwa hili. Hivi Messi anazuilika vipi?!

Tulipoanza mchezo Messi alioonekana akicheza huru. K**a ulivyo utaratibu wa maisha yake ndani ya uwanja. Hakuna mtu atayeusahau mchango wa Messi kwenye zile goal 3-1 walizotufunga Barcelona.

Nakumbuka vema, nyakati ziliulazimisha uso wa Ferguson uridhie ndoa na simanzi. Akashindwa kuyaamuru macho yamsaidie kuficha huzuni kila tulipotazamana. Dalili za kushinda kombe zilionekana kuwa mbali na dunia yake. Hii siku mpira ulimuumiza sana Sir Alex.

Ferguson kwa kinywa chake aliniambia maneno haya: Giggs, katika career yangu nimeweza kuwazuia washambuliaji hatari baada ya kuwasoma kimbinu.

Lakini nani kamleta Messi juu ya huu uso wa dunia?! Kabla ya leo nilimtazama sana nikitaka asilete maumivu. Lakini amenipa shule ya vitendo kuwa, hazuiliki. Huyu sio mtu wa kawaida."

Ile fainal Messi alifanya kila kitu kwa ufasaha. Ni k**a kuna mtu alikuwa anamchezesha kwa remote control sehemu. Nafikiri ndiye mchezaji aliyekuwa anafikiri haraka na kufanya maamuzi sahihi kuliko wachezaji wote uwanjani. "Anasema "Ryan Giggs."

Kila Messi alipogusa mpira nilimtazama sana. Ningefanya nini?! Sikuwa na chaguo lingine zaidi ya kufurahia anachokifanya.

Unapoona "Alex Ferguson" anamvisha utukufu kijana aliyekuwa na umri wa miaka 20. Wakati huo huo ameshashinda mataji na kipaji kimempa zawadi ya ballon d'or. Kinachokujia kichwani ni hiki.

"Huyu mtu ni zaidi ya kipaji." Mbele ya safari ataleta msiba wa kuvunja records tofauti za magwiji. Na hiki ndicho kilichotokea.

Messi amesambaratisha karibu records zote za manguli. Na kwa sasa mchezo wa soka amemfanya kuwa mfalme asiyepingika." Anahitimisha hivyo Ryan Giggs.

09/02/2025

Dodoma Jiji leo wakipata hata sare basi nik**atwe nihojiwe na vyombo vya habari.

09/02/2025

*_MACKINFOZONE_*

*BREAKING:*
_Fabrice Ngoma to Al-Ittihad✍️_

Kiungo wa Simba Fabrice Ngoma amefikia makubaliano binafsi na klabu ya Al-Ittihad Tripoli ya Libya.

Jana Ngoma amepokea ofa nono ya Mshahara na Sign-on fee kutoka Al-Ittihad na tayari amesema ndio✅

Kilichobaki ni makubaliano kati ya Simba na Al-Ittihad,na muda wowote kuanzia sasa klabu hiyo tajiri ya Libya itatuma ofa Msimbazi.

Mkataba wa Ngoma na Simba umebakiza miezi mitano hivyo kisheria anaruhusiwa kuongea na timu yeyote.

Dirisha la usajili la Libya litafungwa mwishoni mwa mwezi huu na Al-Ittihad wanamuhitaji Ngoma ASAP!

K**a Simba watakubaliana na ofa ya Al-Ittihad basi nyota huyo ataondoka haraka sana.

Baada ya kukamilisha usajili wa Mahmoud Kahraba kutoka Al Ahly,saaa Ittihad wamemgeukia Ngoma.

08/02/2025

Nasikia huyu jamaa amerudi tena Jangwani..

08/02/2025

Top score

08/02/2025

Hii Hapa Listi ya Wachezaji wa Afrika Wanao Vuta Mkwanja Mrefu Katika Kazi Yao ya Mpira Nje na Ndani ya Afrika.

AZIZ KI 🇧🇫 ⚽
1. Riyad Mahrez 🇩🇿 - £840,000

2. Sadio Mane 🇸🇳 - £644,000

3. Kalidou Koulibaly 🇸🇳 - £559,000

4. Mohamed Salah 🇪🇬 - £350,000

5. Achraf Hakimi 🇲🇦 - £234,000

6. Franck Kessie 🇨🇮 - £225,000

7. Thomas Partey 🇬🇭 - £200,000

8. Inaki Williams 🇬🇭 - £184,000

9. Edouard Mendy 🇸🇳 - £177,000

10. Victor Osimhen 🇳🇬 - £161,000

Yassine Bounou 🇲🇦 - £161,000

12. Pierre-Emerick Aubameyang 🇬🇦 - £160,000

13. Noussair Mazraoui 🇲🇦 - £135,000

14. Abdoulaye Doucouré 🇲🇱 - £130,000

15. Amad Diallo 🇨🇮 - £120,000

Andre Onana 🇨🇲 - £120,000

Idrissa Gueye 🇸🇳 - £120,000

18. Brahim Diaz 🇲🇦 - £117,000

19. Ismaël Bennacer 🇩🇿 - £113,446

20. Eric Maxim Choupo-Moting 🇨🇲 - £112,769

08/02/2025

*FA Cup 4th Round Fixtures*🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

*Saturday 08 February 2025*

Leyton Orient *15:15* Man City

Leeds United *15:15* Millwall

Coventry *18:00* Ipswich Town

Preston *18:00* Wycombe

Stoke City *18:00* Cardiff City

Southampton *18:00* Burnley

Everton *18:00* Bournemouth

Wigan *18:00* Fulham

Birmingham *20:45* Newcastle

Brighton *23:00* Chelsea

*Sunday 09 February 2025*

Blackburn *15:00* Wolves

Plymouth Argyle *18:00* Liverpool

Aston Villa *20:35* Tottenham

*Monday 10 February 2025*

Doncaster *22:45* Crystal Palace

*Tuesday 11 February 2025*

Exeter City *23:00* Nottingham Forest

08/02/2025

... 🚨 KOLO MUANI MAKES HISTORY

Randal Kolo Muani 🇨🇵 ndiye mchezaji wa kwanza katika karne hii kufunga mabao tano katika michezo yake mitatu ya kwanza ya Serie A ... ✍️

◉ Mashuti yaliyolenga lango (5)
◉ Mabao (5)
◉ Michezo (3)

ℹ️ Ndiye mchezaji wa kwanza wa Juventus kufunga katika kila moja ya mechi zake tatu za kwanza za Serie A tangu 1994|95 .

Dhidi ya Napoli ⚽
Dhidi ya Empoli ⚽⚽
Dhidi ya Como ⚽⚽

Kolo Muani sasa ndiye mchezaji wa pili wa Juventus mwenye mabao mengi zaidi ya Serie A , licha ya kuwa na siku 10 pekee tangu ajiunge na timu hiyo .

⚽ 8 🎮 19 -- Dusan Vlahovic
⚽ 5 🎮 03 -- Kolo Muani
⚽ 5 🎮 16 -- Timothy Weah

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Sangaibrahim71@gmail. Com
Dar Es Salaam