25/12/2021
*MTOTO WA JICHO (CATALACT)*
Mtoto Wa Jicho (Cataract) Ni Nini?
K**a una miaka zaidi ya 50 na unaona ukungu unapovitazama vitu mbele yako, unaweza kuwa na tatizo la mtoto wa jicho (cataract). Ni tatizo linalowasumbua watu wengi wenye umri mkubwa.
Cataract ni kufunikwa kwa lensi ya jicho na tabaka la protini lililojijenga kuizunguka lensi. Mtu mwenye mtoto wa jicho huviona vizuri cataract kwa kawaida hujijenga taratibu na haisumbui katika kuona kwenye hatua zake za mwanzo. Lakini, taratibu mtoto wa jicho ataanza kuvuruga uonaji wako.
Mwanzoni, mwanga mkali au kuvaa miwani ya jua kutaweza kukusaidia. Ikifika hatua ya kushindwa kufanya kazi zako vizuri, unaweza kuhitaji upasuaji. Kwa bahati nzuri, upasuaji wa mtoto wa jicho au ukatumia dawa za kuyeyusha za asili na zinamsaidia mgonjwa kurudia kwenye hali yake ya awali.
*DALILI ZA MTOTO WA JICHO*
* Dalili za mtoto wa jicho zaweza kuwa:
✓. Kuona ukungu au mwanga kupungua
✓. Kupata matatizo zaidi ya kuona usiku
✓. Kutopenda mwanga mkali
✓. Kuhitaji mwanga zaidi wakati wa kusoma na kufanya shughuli nyingine
✓. Kuona mwanga wa mviringo kuzunguka vyanzo vya mwanga (halos)
✓. Kuhitaji kubadili miwani mara kwa mara
✓. Kupungua kukolea kwa rangi
✓. Kuona vitu mara mbili kwenye jicho moja
Unataka kuondoa mtoto wa jicho bila upasuaji? Inaonekana k**a ni kitu kisichowezekana, lakini waweza kuondoa mtoto wa jicho bila kisu.
Ikiwa unatatizo hili tafadhali tupigie simu au fika ofisin tutakusaidia.Ahsante.
📞/WhatSapp 0685959591
Tunapatika Mbezi Luisi karibu na stand mpya ya Magufuli (Dar-es- salaam)
19/05/2021
KITUO CHA AFYA - Eternal international
Ni taasisi inayomilikiwa na Wachina ambapo ina madktari waliobobea na vifaa vya kisasa wanatoa huduma ya vipimo kwa gharama nafuu sana.
Pia wanatibu magonjwa yafuatayo:
✅Matatizo ya hedhi kwa wanawake
✅Kutoshika mimba
✅Mimba kuharibika
✅Chango la uzazi
✅Vimbe aina zote
✅PID & UTI
✅Vidonda vya tumbo
✅Tezi dume
✅Bawasiri
✅Matatizo ya moyo
✅Matatizo ya mifupa
✅Ngiri
✅Matatizo ya kibofu cha mkojo
✅Aleji
✅Bandama
✅Homa ya Ini
✅Kiharusi
✅Pumu
✅Uzito mkubwa
Pia tuna dawa maalum kwa wagonjwa wa
✅Presha
✅Sukari
✅VVU
Tupo Mbezi Luisi-Dar es salaam.👇
📞/WhatSapp 0685959591
10/05/2021
🔊 ASALI YA NYUKI WADOGO
📞📲 0685959591
KWAUCHACHE UTOFAUTI WA ASALI YA NYUKI WADOGO NA WAKUBWA?
Na je! Utazitofautishaje asali hizi kabla ya kununua na kutumia?
ASALI YA NYUKI WADOGO
1. Ina ladha ya uchachu kwa mbali mfano wa limao au ndimu
2. Ina harufu kali kidogo na mara nyingi harufu haitofautiani (it has strong smell).
3. Rangi yake mara nyingi ni kuanzia KAHAWIA hadi NYEUSI( haina rangi nyingi nyingi k**a ya nyuki wakubwa)
4. Ni bora zaidi kwa matumizi ya DAWA maana ina mchanganyiko wa maua mengi zaidi na pia kutoka katika miti ambayo inatumika zaidi k**a dawa.
Ina mchanganyiko wa maua mengi kwasababu kutokana na udogo wa umbo lao unawawezesha kuingia hadi kwenye maua madogo kabisa.
ASALI YA NYUKI WAKUBWA
1. Ina ladha nyingi tofauti tofauti lakini haina uchachu wa mfano wa limao au ndimu
2. Ina harufu nyingi zaidi lakini ni harufu nyepesi( kwa kiingereza tunasema "sweet smell"
3. Ina rangi nyingi zaidi kuanzia NYEUPE hadi NYEUSI( inaweza kua nyeupe,njano,kahawia,nyeusi nk)
4. Ubora wake k**a dawa ni mdogo maana mara nyingi ina mchanganyiko wa maua machache zaidi.
TUNAUZA KWA JUMLA NAPIA REJAREJA...
WAWEZA PIA KUPIGA SIMU/KUTUMA UJUMBE WHATSAPP...
📞0685959591
NYUKI WADOGO
T/Segerea,Dar-es-salaam
18/04/2021
ETERNAL INTERNATIONAL
*©ENZYME PLUM'S/MATUNDA YA (PRUNES).©*
*🍒PRUNES ni matunda* yanayolimwa kwa wingi bara la Asia na Ulaya. Tunda hili lina virutubisho vingi kwa afya.
Virutubishi hivi muhimu,hususani katika mmeng'enyo wa chakula +kutibu tatizo la kukosa choo + mfumo bora wa mwili(kuondoa sumu,kulinda).
*🍒Prune* ni nzuri kwa watu wote na zaidi wenye matatizo ya mmeng'enyo mbovu wa chakula,kisukari,kinga dhaifu,maradhi ya moyo,unene,n.k.
🍒Matunda haya yana kiwango kikubwa cha potassium inayofaa kwa afya ya moyo; Pia,ni muhimu katika kujenga misuli,kuyeyusha wanga(SUKARI)kwa haraka na kutunza maji katika mwili.
*©FAIDA ZAKE©*
*°Kwanini uchague Enzyme plum's/Prune?*
🍒1.Ni rahisi mno kutumia,unaweza kula k**a *🍒tunda* au ukachanganya na maji moto ukanywa k**a chai.
🍒2.Hutatua/hutibu tatizo la mmeng'enyo mbovu wa chakula hasa kwa watu wote wenye MATATIZO YA KUKOSA CHOO +TUMBO KUJAA GESI. Hutoa matokeo kwa siku moja na kuendelea.
🍒3.HUPUNGUZA UZITO wa MWILI/Hupunguza tumbo/kitambi kwa maana ya kupunguza mafuta mabaya(lehemu) kwenye mwili kwa haraka zaidi na salama zaidi
🍒4.Husaidia kuondoa sumu mwilini kutokana na mfumo mbaya wa ulaji/Husafisha mwili(hasa kwenye INI, Figo, Damu,n.k)
🍒5.Husaidia kuweka sawa kiwango cha sukari kwenye damu kwa haraka.
🍒6.Huimarisha mifupa kutokana na madini mengi ya chuma na vitamin K.
🍒7.Ina madini ya potassium ambayo Husaidia matatizo ya moyo k**a *"SHINIKIZO LA DAMU" na "KUPOOZA VIUNGO".*
🍒8.Huimarisha KINGA YA MWILI kutokana na vitamin C nyingi.
🍒9.Hurekebisha kiwango cha alkaline mwilini.
*®WATUMIAJI®*
🍒1.Hutumiwa na MTU yeyote.
🍒2.Tumia tunda moja kwa siku kwa afya na matokeo bora zaidi.
🍒3.Wenye maradhi ya KUKOSA CHOO.
🍒4.Wenye maradhi ya UNENE/UZITO MKUBWA/VITAMBI/TUMBO KUBWA.
🍒5.Wenye maradhi ya INI, MOYO,KISUKARI.
🍒6.Wenye kinga dhaifu
****** ****** ******
Kwa mahitaji ya matunda haya ya Prune kwa afya na matibabu yaliyotajwa hapo juu.
BEI TSH 35,400/=
Wasiliana kwa: 0685959591
Mbezi Luisi-Dsm_Tanzan
17/04/2021
Eternal White tea Much effect Toothpaste.
Hii ni dawa ya meno inayotokana na mimea ya tiba ya asili iliyochanganywa kwa pamoja na kuifanya kuwa ya meno yenye nguvu zaidi na bora kuliko zote.
1. Ni dawa nzuri ya kusafisha meno kwa ulinzi kamili wa meno yako na kinywa
2. Inasaidia kukuweka fresh na kuwa na harufu nzuri kinywani wakati wote
3. Inaua wadudu (bacteria) wanaoeneza maradhi ya kinywa na meno
4. Inasaidia kwa wale wenye ganzi ya meno na wenye meno mabovu
5. inatibu fizi na kuzuia meno yasiendelee kuharibika na kuliwa na wadudu. Hauhitaji kung'oa jino.
6. Hufanya meno kuwa meupe zaidi na yenye kung'ara
7. Mimea iliyoko kwenye dawa hii husaidia pia kutibu fangasi wa vidoleni au kwenye kucha k**a utaitumia kwa kupakaa.
Bei ni Shillingi 11,800/=
MAWASILIANO: 0685959591
13/04/2021
TIBA YA MATATIZO YA UZAZI KWA KUTUMIA SOYBEAN CAPSULE NA SOY ISOFLAVONES CAPSULE
Soybean capsule na Soy isoflavones capsule ni bidhaa tiba kutoka kampuni ya kimataifa ya Eternal ( Eternal International)
Bidhaa hizi ni tiba kwa W A N A W A K E wenye matatizo katika mfumo wa uzazi:-
1.Zinazibua mirija ya uzazi iliyoziba na kuuweka mji wa uzazi (Uteras) katika hali nzuri zaidi.
2.Wanaopata maumivu makali wakati wa hedhi.
3.Zinarekebisha mzunguko wa hedhi.Mfano hedhi isiyo na mpangilio maalumu (ndefu, fupi) au isiyotoka kabisa.
4.Wanaotokwa na Uchafu sehem za siri
5.Wanaopata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
6.Wenye tatizo la Mimba kuharibika Mara kwa Mara.
7.Hufanya ngozi ya mwanamke kuwa nyororo, laini na ya kuvutia wakati wote (Zinachelewesha uzee)
8.Husaidia kuweka sawa ukuaji wa viungo vya uzazi (via vya uzazi, mirija ya uzazi na matiti)
9.Zina uwezo wa kuzuia seli za mwili kutengeneza na kuchochea kansa katika mwili
10.Zinasaidia kuondoa madoa katika ngozi na kuipa ngozi rangi yake ya asili, huifanya ngozi ing'ae na kuwa yenye kuvutia zaidi
11.Ni nzuri kwa kutumiwa na wanawake ambao ngozi yao inaharibika kwa urahisi na kwa wale wenye allergy ya ngozi
12.Ni nzuri kwa wanawake wenye matatizo ya mfumo wa uzazi Mfano:-Hedhi isiyo na utaratibu mzuri, maumivu makali wakati wa hedhi na wale wanaokaribia/washaribia uzazi kufunga "Menopause"
13.Zinachangamsha mwili kwa wanaofanya kazi ngumu na kusababisha mwili kuchoka haraka (K**a:- kushinda jikoni au juani kwa kipindi kirefu)
14.Zinaweza kutumiwa ba madereva (k**e) na wafanyakazi wanaotumia vifaa vya umeme (K**a:Mashine, Kompyuta, Au Simu za mkononi) kwa muda mrefu kiasi cha kuweza kuathiri mfumo wa fahamu
15.Zinasaidia Viungo vingine (K**a:Ini, figo, mifuko ya mayai) kufanya kazi vizuri
16.Zina uwezo mkubwa wa kuondoa sumu zinazozalishwa na seli hai Mfano Seli za ngozi za mwili (ant-oxidant power is 30-50 times that of vitamin C and vitamin E) PIGA SIMU/TUTUMIE UJUMBE WHATSAPP 👉 0685959591
10/04/2021
HIVI UGONJWA WA PUMU UMEKUWA NI SHIDA KWAKO?
📎PUMU NI NINI?
🔏Pumu NI ugonjwa usiokuwa wa kuambukiza ambao kwa kawaida ushambulia mfumo wa upumuaji .Hii humsababishia mgonjwa kupata shida katika upumuaji .
📎Dalili za ugonjwa wa pumu:-
Kwa kawaida ugonjwa wa pumu huonesha dalili kuu mbili:-
(1)Mgonjwa kupumua kwa shida
(2)Mapafu ya mgonjwa kubana wakati wa upumuaji.
Je, Una ndugu , jamaa au marafiki wanaoteswa na gonjwa hili?
✏️WASILIANA NASI KUPATA MATIBABU SAHIHI
KWA KUPIGA SIMU/WHATSAPP 👉 0685959591
09/04/2021
*MTOTO WA JICHO (CATARACT)*
Mtoto Wa Jicho (Cataract) Ni Nini?
K**a una miaka zaidi ya 50 na unaona ukungu unapovitazama vitu mbele yako, unaweza kuwa na tatizo la mtoto wa jicho (cataract). Ni tatizo linalowasumbua watu wengi wenye umri mkubwa.
Cataract ni kufunikwa kwa lensi ya jicho na tabaka la protini lililojijenga kuizunguka lensi. Mtu mwenye mtoto wa jicho huviona vizuri cataract kwa kawaida hujijenga taratibu na haisumbui katika kuona kwenye hatua zake za mwanzo. Lakini, taratibu mtoto wa jicho ataanza kuvuruga uonaji wako.
Mwanzoni, mwanga mkali au kuvaa miwani ya jua kutaweza kukusaidia. Ikifika hatua ya kushindwa kufanya kazi zako vizuri, unaweza kuhitaji upasuaji. Kwa bahati nzuri, upasuaji wa mtoto wa jicho au ukatumia dawa za kuyeyusha za asili na zinamsaidia mgonjwa kurudia kwenye hali yake ya awali.
*DALILI ZA MTOTO WA JICHO*
* Dalili za mtoto wa jicho zaweza kuwa:
✓. Kuona ukungu au mwanga kupungua
✓. Kupata matatizo zaidi ya kuona usiku
✓. Kutopenda mwanga mkali
✓. Kuhitaji mwanga zaidi wakati wa kusoma na kufanya shughuli nyingine
✓. Kuona mwanga wa mviringo kuzunguka vyanzo vya mwanga (halos)
✓. Kuhitaji kubadili miwani mara kwa mara
✓. Kupungua kukolea kwa rangi
✓. Kuona vitu mara mbili kwenye jicho moja
Unataka kuondoa mtoto wa jicho bila upasuaji? Inaonekana k**a ni kitu kisichowezekana, lakini waweza kuondoa mtoto wa jicho bila kisu.
Ikiwa unatatizo hili tafadhali tupigie simu au fika ofisin tutakusaidia.Ahsante.
📞0685959591
Tunapatika Mbezi Luisi karibu na stand mpya ya Magufuli (Dar-es- salaam)
08/04/2021
HABARI HABARI HABARI
Ndg: Tunatoa ujumbe huu,kwayeyote anayehitajia kujikwamua kiuchumi/njia itakayo kukuwezesha kujipatia pesa.Lengo nikuhakikisha tunapunguza wimbi laukosefu wa AJIRA.
UNAWEZA UKATUPIGIA SIMU/TUTUMIE UJUMBE WHATSAPP 👉0685959591
03/04/2021
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe.
CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷
👉KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE
👉KUHARISHA KWA MUDA MREFU
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali
Kwa msaada zaidi tucheki Whatsapp/call 0685959591