JIFUNZE
Somo la pili
QURAN NA JAMII
Ukurasa huu Utakuwa ukirusha mambo yanayohusina na Qur'an.
K**a hukuwahi kusomeshwa Qur'an, umesahau au unataka kuishi na Qur'an katika Maisha yako huu ndio uwanja wako sahihi.
JIFUNZE QUR'ANI
Somo la kwanza
Qur'an ni tulizo la Moyo ,,,usipite bila kucomment , kulike na kushare
02/08/2021
Jifunze Qur'an kwa njia nyepesi
Darsa la kwanza bonyeza link hii kujifunza
https://youtu.be/ZsVTjzy2Ams
Hakuna Mungu asiekiwa Allah
23/07/2021
Japokuwa wengi wanaelekea uku kuliko kwenye Qur'an bado Mungu anawapenda amewaletea kitabu chale hukuhuku sasa je bado mtakikwepa?
Like page hii ili uwe karibu na Qur'an hata ukiwa huku
Huu ni mukhtasari wa kipindi cha Quran na Jamii... Ili upate kipindi kamili na mengi yanayohusiana na Quran tembelea youtube channel yetu LINK👇👇
https://youtu.be/5f0TYM2lGRQ
Kisha usisahau kusubscribe, Kushare, Kulike na kucoment ili uwe wa kwanza kupata video hizi.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Libya
Dar Es Salaam
