Nabii Wakweli

Nabii Wakweli

Share

Yesu anajibu la matatizo yako yote��

24/03/2024

DALILI (7) ZA KUJUA MAISHA YAKO YAMEFUNGWA NA ADUI.

1. Huoni mambo mapya ya kufurahisha na kutia moyo ya kitokea kwenye maisha yako.

Huoni ukipiga hatua chanya kwenye maisha

MFANO
Huoni ukiongezeka. Kuongezeka kimaendeleo.
Kuongezeka kiuchumi, kipato ulichokuwa nacho mwaka juzi ndiyo hicho hicho mpaka leo japo matumizi yameongezeka.

Matokeo yake kuna mambo mengi ya kuondoa pesa kuliko kuingiza ukipata pesa gafla kunatokea tatizo linalodai hiyo pesa itoke,
mtu wamhim anaumwa au kunatokea msiba au tatizo lingine la lazima.

2. Mawasiliano yako yanafungwa, hakuna anae kuletea taarifa njema unaletewa tarifa mbaya tu. AYUBU 1: 16 💥

Hata ikitokea ukapigiwa simu nyingi ni zamatatizo kuliko za Habari njema

MFANO
Unaweza pigiwa cm za kuachishwa kazi.

Kuachwa na mtu umpendae,
au simu za kulaumiwa na alie takiwa kukufariji.

Kupigiwa simu na wanaokudai kuliko unaowadai.

3. Hakuna ongezeko la watu wapya wenye msaada au faida kwenye maisha yako.

Zaidi wakiongezeka niwatu ambao inabidi wewe uwasaidie.

Watu wengi wanao kutafuta ni wale wazamani ambao na wao hawajapiga hatua yoyote kimaisha,

na story mnazopiga nikukumbushana historia za nyuma za mambo dhaifu mliyo pitia ambayo hayajengi chochote kwenye maisha yako.

Marafiki walio fanikiwa hata ukiwatafuta huoni wakijali sana kuhusu wewe,
hata k**a ulikuwa wa maana sana kwao
wanakuwa k**a hawana kumbu kumbu yoyote ya maana na wewe.

4. Kila kitu chako unakipata kwa kutumia nguvu nyingi na usumbufu isivyo kawaida.

Hata ikitokea umepata mtaji unataka kufanya biashara yoyote unapata hasara,

au unaambiwa umechelewa ungeifanya mwaka jana ilikuwa inalipa sana.

5. Unakosa kibali na heshima unapingwa na mazingira yako mwenyewe,

MFANO
Waliotakiwa kukuheshim wanakudharau,
hata ukiongea wanakuonyesha mapungufu yako,

Hata mke mume au watoto uliowazaa wanakosa kukuheshim,
Hata ukitoa maagizo hakuna anae tekeleza.

6. Ahadi za mambo mazuri kwako hazitimii

MFANO
Mtu anaweza kuku ahidi pesa ikifika ile siku ukimpigia cm anakuambia nilikuwa nayo pesa lakini kunajambo nimeifanyia,

au akasema nilisahau kabisa k**a nilitakiwa kukupa nimeitumia jana subili wakati mwingine.

Unaweza ukaahidiwa kupewa kazi na CV yako ninzuri hata kuliko hiyo kazi lakini ukashangaa anachukuliwa mtu unae mzidi kwa kila kitu.

Unaweza uka ahidiwa kuolewa au kuoana na mtu, lakini ukashangaa amebadili mawazo mwishoni na kumuoa mtu mwingine ambae hakuwa amemkusudia kabisa
MWANZO 29: 25 💥

7. Hali ya kukata tamaa na kuona kila jambo haliwezekani.

Uwezo ndani yako unafunga kila kitu kwako kinakuwa ni kigumu hata mambo uliyo kuwa unayaweza kirahisi yanageuka mzigo.

Kuna kuwa na vita ya ndani inayokuwa inakuambia usijaribu utashindwa utaanguka uta aibika,
Maana wewe huwezi, k**a alishindwa yule mwenye uwezo kuliko wewe wewe huwezi.

Una kuwa na mifano mingi ya watu walio shindwa, wenye uwezo kuliko wewe,

pia inakukumbusha ulipo anguka zaidi kuliko ulipo simama.🙏

Dalili hizi nimbaya sana kuna watu zimekaa kwenye maisha yao mpaka wame amini ndiyo hali yao na maisha waliyo pangiwa na Mungu,

Mpendwa hayo siyo maisha yako bali nishetani amevamia maisha yako,
na akitoka hapo nikukuua kabisa maana hana huruma.

UKIONA UNA HIZI DALILI KWENYE MAISHA YAKO CHUKUA HATUA YA KUINGIA KWENYE MAOMBI YA TOBA NA KUITIA DAMU YA YESU YA UKOMBOZI NA UPATANISHO,

ILI UKOMBOLEWE KUTOKA KWENYE MIKONO YA ADUI NA NGUVU ZA GIZA.

✍️By Mtumishi Fahim 0716 822126 💥

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee 👏

29/12/2023

NYOTA💥 YA MAHUSIANO💕 NA NDOA💞

WENGI SIYO KUWA HAWAOLEWI/HAWAOI KWA SABABU HAWANA SIFA ZAKUWA WAKE ZA WATU AU WAUME ZA WATU. BALI WENGI WAME IBIWA NYOTA AU KIBALI CHA NDOA,

NDIYO MAANA UNAWEZA KUWA KWENYE MAHUSIANO NA MTU MUDA MUREFU
LAKINI SIKU AKIONYESHA NIA YA KUKUOA TU HUJUI SHIDA INATOKA WAPI NA MNAJIKUTA MMEACHANA KATIKA HALI ISIYO KUWA NA SABABU YA MSINGI AU INATOKEA TU HAKUTAFUTI TENA UKIONA HII HALI KWAKO JUA UMEIBIWA KIBALI CHA NDOA

MWINGINE UNAKUTA PALE UNAPOMPATA MTU SAHIHI TU NDIYO HAMDUMU KWENYE MAHUSIANO LAKINI AKIJA MTU AMBAE HANA MPANGO NA WEWE MNAKAA SANA HII NAYO NI SHIDA

MWINGINE ULIKUWA NA AMANI NA FURAHA KWENYE NDOA YAKO GAFLA MWENZIO AKABADILIKA BILA SABABU INAYOELEWEKA JUA KUNA MTU ALIKUIBIA NYOTA YA NDOA YAKO KATIKA ULIMWENGU WA KICHAWI ILI NDOA YAKO IVUNJIKE

UKIONA HIZI DALILI UNAZO KWENYE MAHUSIANO YAKO JUA UMEIBIWA NYOTA YA MAHUSIANO NA USIPO ANGALIA UNAWEZA USIOLEWE AU USIDUMU KWENYE NDOA HIVYO UNAHITAJI MAOMBI YA UREJESHO WA NYOTA NA KIBALI CHAKO CHA NDOA

By Mtumishi Fahim 0716 822126 Whatsapp

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee upokee muujiza wako 🙏

Ushauri na maombi 0716 822126 Whatsapp 💚

27/12/2023

KILA NGUVU ILIYOFUNGA MAHUSIANO YAKO USIOLEWE USIZAE USIDUMU KWENYE NDOA IKUACHIE KUANZIA SASA KWA JINA LA YESU

Kila maneno ya laana uliyo tamkiwa na maadui zako kuwa hutaoa hutaolewa, hutazaa, hutadumu kwenye ndoa, nayafuta kuanzia sasa kwa jina la Yesu

Nakutangazia kwa jina la Yesu Utaolewa Utazaa Utadumu kwenye mahusiano mpaka Ndoa, na utapata Watoto na furaha kwenye ndoa kwa jina la Yesu 💟

Kila giza lililofunika nyota yako na uzuri wako ili usionekane na watu sahihi wa kukuoa naliondoa kwenye maisha yako kwa jina la Yesu.

Nuru ya uzuri wako na nyota yako ionekane kwa watu sahihi kwa jina la Yesu 💥

Kila uganga na uchawi uliotumwa kuharibu hatima yako ili thamani yako isionekane na uteketeza kwa moto wa Mungu kuanzia sasa ukuachie kwa jina la Yesu.

Nakuvua kila vazi baya ulilovalishwa linalofanya ukataliwe na watu sahihi kwa jina la Yesu nalichana hilo vazi la giza likuachie

Kila mizimu ya kwenu inayopinga wewe kuolewa na mtu sahihi inayotaka uolewe na watu watakao endeleza uchawi na mira zakwenu ili udidimie kimaisha naivunja hiyo mazabahu ya mizimu kwenye maisha yako kwa jina la Yesu, kuanzia sasa uko huru
🙌

Kila mizimu ya kwenu iliyofunga tumbo ulipo olewa na mtu asiye wakwenu ili uachike na uteseke kwenye ndoa, naiteteketeza kwa moto wa Mungu ikuachie wewe siyo fungu lao kwa jina la Yesu

Kuanzia sasa utapata mimba utazaa, na uzao watumbo lako umefunguliwa kwa jina kuu la Yesu 💯

Kila majini mahaba yanayokutesa yakizuia watu sahihi na mafanikio kwenye maisha yako, nayakemea kwenye kila eneo la mwili wako na maisha yako kwa jina la Yesu yakuachie, hayana nafasi kwenye maisha yako, wewe ni mali ya Mungu hutamilikiwa na majini na mizimu kwa jina la Yesu

Sema mimi ni mali ya Mungu sitamilikiwa na mashetani kwa jina la Yesu 🙏

Kila mapepo yaliyo kuingia kwa njia ya tendo la ndoa ulilofanya na watu wasio sahihi, au kwa ndoto za wachawi usiku, yanayo sababisha wewe kupoteza nuru yako mume mke hana furaha na wewe. Nayaondoa ndani yako kwa jina la Yesu

Nakutakasa kwa damu ya Yesu kuanzia sasa wewe ni kiumbe kipya kwa damu ya Yesu, mumeo atakufurahia mkeo atakufurahia kwa jina la Yesu.

Nafuta roho ya taraka na kuachika inayosumbua ukoo wenu na kabila lenu. Wewe hutaachika kwa jina la Yesu.

NAKUTANGAZIA KUWA KUANZIA SASA UMEKUWA HURU VIFUNGO VIMEKUACHIA KWA JINA LA YESU. NAKUANZIA SASA UTAONA MABADILIKO KWENYE MAHUSIANO, NDOA, UCHUMI, NA MAISHA YAKO.

✍by Mtumishi Fahim 0716 822126 Whatsapp

Maombi na ushauri 0716 822126 Mtumishi Fahim.

25/12/2023

NAWAOMBEA WANAWAKE AMBAO HAWAJAOLEWA MUNGU AWAPE WANAUME WENYE DINI WANAOJUA KUBEMBELEZA🙏💯

Niandikie ujumbe messenger majina yako mahali unaishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee 🙏

Maombi na ushauri 0716 822 126 WHATSAP

30/05/2023

MAOMBI KWA MWANAMKE ANAETAKA MUME NA AMANI YA NDOA❤️

By Mtumishi Fahim Whatsapp 0716822126💥

📍 Bwana Yesu, nakuomba unikutanishe na mume sahihi ulie muandaa kwa ajili yangu ili ufute aibu yangu ya kuto kuolewa kwa jina la Yesu.🙏

📍 Achilia nguvu zako ziniweke huru mbali na kila nguvu za giza zinazo zuia mimi nisiolewe kwa jina la Yesu 🙏

📍 Biblia inasema, sivema mtu huyu aishi pekeyake, namimi nimechoka kuishi pekeyangu Mungu, naomba unikutanishe na yule uliye muuandaa kwa ajili yangu ili tuishi pamoja baba naomba katika jina la Yesu 🙏

📍 Kulingana na neno la Mungu, kwenye Mathayo 7: 7💥 ulisema ombeni nanyi mtapewa tena ukasema ombeni lolote kwa jina langu nitawapa, nami naomba unipe mume wangu baba na mimi niolewe na kuitwa mama na mke, kwa jina la Yesu nimeomba🙏

📍 Ni matarajio yangu kwa Mungu wangu. Kupokea mume sahihi na ndoa bora yenye furaha na Amani, kutoka kwa Mungu wangu kwa jina la Yesu 🙏

📍 Moto wa Roho Mtakatifu uka unguze kila madhabahu za giza zilizo mshikilia mume wangu popote alipo zika mwachie kwa jina la Yesu🙏

📍 Kila nguvu za kichawi na mizimu inayonipiga vita nisiolewe navunja kwenye maisha yangu kwa jina la Yesu🙏

📍 Baba, kuna uovu kila mahali, hasa kutoka kwa maadui wa ndoa yangu. Lakini leo, ninatiisha nguvu zao chini ya uweza wa Mungu kwa jina la Yesu 🙏

📍 Kila mwanaume au mwanamke mwovu anaeshikilia nyota yangu ya ndoa nampiga kwa jina la Yesu🙌

📍 Nakataa kila shauri la maadui walilo niamlia kwa uchawi na uganga kuwa sitaolewa nina futa hayo maneno kwa damu ya Yesu🙌

📍 Nafuta kila maneno mabaya niliyo tamkiwa na watu wabaya na mimi mwenyewe kwa kuto kujua kuwa sita olewa, nafuta kwa damu ya Yesu 🙌

📍 Ee Bwana, nipiganie na uwaaibishe wale wote ambao hawataki niolewe, na mimi k**a wanawake wengine kwa jina la Yesu Kristo 🙏

📍 Biblia inasema, utayakamilisha yote yanayonihusu. Baba yangu, nisaidie, nisiachike kwenye ndoa yangu kwa jina la Yesu 🙌

MAOMBI NA USHAURI WHATSAPP 0716822126

SADAKA
VODA MPESA : 0758 601212
TIGO PESA : 0716 822126
JINA FAHIM MAKAME

By Mtumishi Fahim Whatsapp 0716822126💥

27/02/2023

USIOGOPE KUHUSU MAISHA YAKO YUPO MUNGU BABA YETU ANAE WALISHA NDEGE WA ANGANI BILA KUFANYA KAZI YOYOTE WEWE NI ZAIDI YANDEGE KWA MUNGU POKEA MAJIBU YA MAHITAJI YAKO KWA JINA LA YESU 🙌

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee 👏 upokee muujiza wako kwajina la Yesu

Maombezi Whatsapp 0716822126🙏

07/02/2023

NAMKOMBOA MUMEO MKEO MCHUMBA WAKO NDOA YAKO WATOTO WAKO POPOTE WALIPO SHIKILIWA NA NGUVU ZA KICHAWI ZIWA ACHIE SASA, MUME AKUTAFUTE MCHUMBA WAKO AKUTAFUTE UPATE WATOTO KWA JINA LA YESU🙌

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee 👏 upokee muujiza wako kwajina la Yesu

Namba ya maombezi Whatsapp 📲+255716822126

06/02/2023

POKEA MAPACHA WA 4 KWA JINA LA YESU 🙌

Niandikie ujumbe Messenger majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako nikuombee upokee muujiza wako kwajina la Yesu

Whatsapp 📲+255716822126 namba ya Mtumishi Fahim

01/01/2023

MWAKA 2023💥 NI MWAKA WA KUPENDELEWA
NA KUTIMIZIWA MAHITAJI YETU NA MUNGU 💯
UNATAKA MUNGU AKUTENDEE NINI 2023✍ANDIKA
Je Unataka upate Mume au mke❣
Je Unataka upate watoto💥
Je Unataka upate mchumba sahihi💕
Je Unataka upendwe na mwenzi wako💞
Je Unataka amani kwenye ndoa yako🤝
Je Unataka upate kazi nzuri ✍
Je Unataka ukue kiuchumi📲
Je Unataka upate pesa nyingi💵
Je Unataka upandishwe cheo👨‍🎓
Je Unataka upone magonjwa sugu 🤦‍♀️
Je Unataka ujenge nyumba yako🏘
K**a una amini Pokea haki yako kwa jina la Yesu🙌

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee🙏🙏

20/12/2022

📕Kuna watu wengi sana wanapitia MAGUMU na MAZITO..😪💯.

..ila hawawezi kukuambia au kuyaweka wazi.

Kuna wengi ambao kiwango cha MAUMIVU wanayoyapitia HAYAWEZI kuelezeka...

..ingawa kwa nje ukiwaona bado WAMEVAA vizuri.

Na wengine WANATABASAMU.

Kuna wengi ambao wewe unawaona ni tumaini lako...

..ila siku wakikuambia yanayowasibu utatamani UANZE kuwatia MOYO.

Kuna wengine WAMEBEBA MIZIGO mizito NDANI yao...

..ila bado ukiwaomba MSAADA na MUDA wao wanakusikiliza na wanakusaidia.

Kuna wengi ambao tangu waanze kupitia magumu, hawajawahi kutiwa moyo na mtu yeyote katika...

Familia...

Ofisi...

Au marafiki zao.

Ingawa wao wamekuwa mstari wa mbele KUSIMAMA kwa ajili ya wengine...

..ila wao HUWA WANAACHWA PEKE YAO.

Watu huamini kuwa hawakutani na matatizo...

Au wakikutana nayo basi wana uwezo wa KUYATATUA WENYEWE bila KUHITAJI MSAADA WA MTU.

Leo, ONGEZA TUMAINI kwa mtu.

Badala ya KUMLAUMU tu...

KULALAMIKA tu...

Au KUSEMA HAKUJALI.

Tumia njia tofauti.

Onesha kuwa UNAMJALI.

Muulize ANAENDELEAJE.

Mshukuru kwa BIDII anayofanya.

MTIE Moyo kwa Moyo wake wa UKARIMU n.k

Kuna mtu anasubiri NENO LAKO LEO ili AVUKE kwenye CHANGAMOTO inayokaribia KUMKATISHA TAMAA.

Mthibitishie kuwa HAYUKO PEKE YAKE.

KUMBUKA: Hata wanaoonekana wana NGUVU kuna wakati HUITAJI MSAADA PIA.

K**a uko serious unataka kupiga hatua kwa kasi nashauri jenga tabia ya kusoma vitabu.

K**a kuna changamoto unakutana nazo jizoeshe kusoma Biblia kuna majibu ya kukusaidia kuzitatua.

Au kuna ujuzi unataka kuongeza.

Au unataka kuwa bora zaidi soma Biblia itakusaidia.

✍By Pastor Lilian Kadodo🙏🙏🙏

17/12/2022

NAIONA SIKU YA NDOA YAKO💥 MUNGU AMEKUPA UPENDELEO👏 AMEONA HAJA YA MOYO WAKO💕
✍ANDIKA (MWAKA) NA (MWEZI) UNAOTAKA UOLEWE au UOE 🤝 NIZIBARIKI SIKU ZA NDOA YAKO. UTAPOKEA MUJIZA WAKO KWA JINA LA YESU 🙌HATA K**A HUNA MCHUMBA WEWE MWACHIE MUNGU🙏ANDIKA TU, UKAONE MATENDO MAKUU YA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO💯

Tuandikie sms inbox 📥 majina yako mahali unapoishi namba yako ya cm na mahitaji yako tukuombee upokee muujiza wako kwajina la Yesu👏

14/12/2022

Nafunga vifo vya ajari vifo vya magonjwa vifo vya uchawi na vifo vya aina yoyote kwenye maisha yako having nafasi kwa jina la Yesu 🙌
Hutazika mume mke mtoto ndugu rafiki wala kupoteza chochote kuanzia sasa kwa jina la Yesu🙌. Utasafiri salama na utarudi salama, Kila kilichopota kitarejeshwa kwajina la Yesu🙌
k**a unaamini amina napokea🤲

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Masaki
Dar Es Salaam