Habari zenu..!! leo ningependa kutumia ukurasa huu ili kuweza kujumuika nanyi kimawazo, lengo ni kupeana faida katika maisha na kuujaza ubongo vitu chanya.
Leo ningependa kuzungumzia zaidi suala la mitandao ya kijamii katika fursa. Wavumbuzi wa mambo walipotuletea mitandao ya kijamii walikuwa na malengo yao kujitafutia tundu la kutokea kimaisha. Leo tumemuona Bw.Mark Zuckerberg mmiliki wa facebook akimpiku Bw. Elon Musk ambaye pia alikuwa mmiliki wa mtandao wa kijamii uliokuwa ukifahamika k**a Twitter mtandao ambao kwa sasa unafahamika k**a X baada ya kuuzwa.
Swala ni je, wewe mtumiaji wa hii mitandao umeshawahi nufaika nayo k**a alivyonufaikammiliki? Je, umeshawahi kujiuliza ni nini dhima ya hii mitandao? Je, umekuwa mtumiwaji tu na watu waliogundua fursa hii na wameshindwa kukupa mtazamo chanya kwa ubinafsi au nawe pia ni mtumiaji? Maswali ni mengi ya kujiuliza hata wewe binafsi jipe muda wa kutafakari katika hili.
Wengine wanahisi mitandao ya kijamii ipo wa ajili ya watu fulani, wengine wanajua ni kwa ajili ya akina Baba Levo na Mwijaku, wengine wanajua ni kwa ajili ya akina Harmonize na Diamond, kumbe wanajitenga wenyewe katika fursa hii ya mitandao ya kijamii. Hii inatokana ni kwa vile tu hajajua namna sahihi na yeye kula matunda ya huo mtandao anaoutumia.
Sasa mimi kijana wenu leo nitawapatia dhima moja wapo ya mitandao ya kijamii, ni kwamba dhima kuu ni kuunganisha watu. Mfano mimi hapa nikiwa nipo katika jiji la Dar es salaam nimeweza kuwafikishia ujumbe huu watu maeneo tofauti ndani na nje ya Tanzania ndani ya sekunde moja . Facebook imetuweka karibu ๐จ๐พโ๐ป๐ฉโ๐ป๐ฌ
Je, unawezaje kutumia fursa hii ya kuunganishwa pamoja na kwa haraka? Jibu ni kwamba fursa ni nyingi sana lakini wengi wao wanaitumia katika njia hasi na hawataki kujifunza katika matumizi chanya๐ก Unakuta mtu anahangaika kutafuta pesa ya bando la internet kwa njia ngumu ili aangalie video za ngono katika Facebook, Twitter au aombe link atumiwe ngono WhatsApp au umbea wa mitandaoni. Baada ya hapo analalamika maisha magumu na ameshindwa kuuza maharage yake kwa kuwa kila mtu ana maharage katika eneo linalo mzunguuka๐ค lakini amesahau video za ngono hajazipata kwa watu wanao mzunguuka na pia amepata umbea kwa watu hata asiowajua๐๐ huu ndio upuuzi tulionao wengi wetu... nikianza kuchanganua hapa kuhusu matumizi hasi tunayotumia sitoweza kumaliza kwa leo, acha tu nanyi mjiongeze wenyewe ๐ค๐ค
Baada ya kuyaeleza hayo machache ningependa kuwakaribisha katika group langu la WhatsApp najua group langu lingekuwa la ngono mgelipia na pesa kujiunga lakini ni kuhusu maisha ni bureโนโน jiunge sasa ili uwe mteja wangu nami niwe mteja wako tuifungue dunia๐๐ na tuuishi msemo wa dunia ni kijiji๐๐พ
Gusa link ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
KESSY
11/10/2021
Take your own ๐ฅ๐ฅ 2.1 millions only
23/07/2021
Sasa kinachomliza sasa nini?
03/01/2021
Mbuge wa zamani, Arusha mjini
02/01/2021
Amitabh Bachchan - Bollywood star ๐ฅ
02/01/2021
๐ญ๐ญ
02/01/2021
Tajiri kijana Africa ๐๐ฝ๐๐ฝ
Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
