APOC Africa

APOC Africa

Share

31/01/2024

Our main objective is to invite local communities towards to end poaching activities, and to preserve our natural habitant for the future generations tu









01/01/2024

Happy new year 🎊🎈🎆 have a blessed year

Photos from APOC Africa's post 31/12/2023

Here we go 🇹🇿

Photos from APOC Africa's post 30/04/2023

APOC Africa Tukiwa katika ndani ya Saadani National Park Na team nzima pamoja na wadau mbalimbali tukiliendeleza gurudumu la kuhakikisha jamii inapata elimu juu ya kutunza mazingira na kuhakikisha usalama wa wanyama pori

Amani Duma
Tanzania National Parks (TANAPA)

25/04/2023

Tujikite Katika kuyatunza mazingira , mazingira bora yanaanzia Kwangu na kwako sote tuyapende na kuyatunza Kwa afya zetu binafsi Asante








25/04/2023

Wadau mbali mbali kutoka wilaya Ya Kinondoni na Temeke Dsm tukiwa Katika tukio la KIJANA KIJANI liluoandaliwa na taitanzania 🇹🇿 likiwa na lengo la kujadili athari za mabadiliko ya tabia ya nchi Dunian




25/04/2023

Wadau mbali mbali kutoka wilaya Ya Kinondoni na Temeke Dsm tukiwa Katika tukio la KIJANA KIJANI liluoandaliwa na 🇹🇿 likiwa na lengo la kujadili athari za mabadiliko ya tabia ya nchi Dunian




Azam TV

Send a message to learn more

25/04/2023

Ni faraja k**a wadau WA mazingira tunapokutana kujadili mabadiliko ya tabia nchi ASante Kwa mualiko wa kushiriki

22/04/2023

Thank you Taitanzania 🇹🇿

17/04/2023

inapenda kutoa pongezi kwa uongozi na serikali kwa ujumla kwa kuendelea kuingia ubia na kampuni mbali mbali za nje kwa kuendeleza kujenga viwanja Katika Hifadhi za Taifa za Mikumi, Ruaha, Nyerere na Udzungwa hii ni kuongeza chachu Katika sekta ya utalii Nchini pia serikali imejikita juu ya kuendeleza mapambano ya Ujangili na Uvunaji haramu wa misitu nchini lengo likuwa ni kutunza Rasilimali zilizopo nchini kwa faida ya Taifa kwa ujumla, Kitaifa
Serikali ya Tanzania yataja sababu ujangili kupungua kwa asilimia 90
Ijumaa, Juni 04, 2021
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania, aliwahi kusema matukio ya ujangili yamepungua kwa asilimia 90 nchini kutokana na jitihada zilizofanywa na Serikali.
Kupitia wizara chini ya Mheshimiwa
tuna Imani na jopo lake wanaendelea kuimarisha ulinzi wa Rasilimali za Maliasili kwa kudhibiti Ujangili, biashara Haramu ya nyara, uvunaji haramu wa mazao ya misitu na uvamizi wa maeneo yaliyohifadhiwa kwa shughuli za kilimo, ufugaji na makazi.

Pongezi kwa serikali kwa kuboresha miundombinu ya barabara na mawasiliano kwa kujenga minara Katika hifadhi za Taifa na kuongeza Village game scouts
(VGS)

Go Go Go













13/04/2023

Tunapenda kumpngeza Mkuu Wa wilaya Ya Monduli, Mkoani Arusha, Mheshimiwa kwa jitihada zake zote za kupambana na ujangili Katika baadhi ya maeneo ambayo ni open area na Mengine maeneo ya Hifadhi Ya Taifa ni Imani yetu kuwa hili litakua somo Kw wawindaji haramu wengine wanaohatarisha maisha ya wanyama pori wetu. Tupambane na ujangili kwa manufaa yetu na serikali kwa ujumla









mwanafa


Clouds TV

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Dar Es Salaam