Kisutu Primary School

Kisutu Primary School

Share

THIS PAGE CONTAINS NEWS ABOUT VARIOUS EVENTS DONE BY DIFFERENT FORMER KISUTU PRIMARY SCHOOL WORKERS AND STUDENTS

03/08/2017

Habari za leo, mwenzetu Focus Katama amefiwa na mdogo wake Saimon Simon Katama...tuungane nao kwenye kipindi hiki kigumu

26/10/2016

*TAARIFA ZA MSIBA*

Tunasikitika kutangaza kifo cha baba yetu na Mzee wetu *_Wilneza Mrema_* (Baba yake Eng Goodie Mrema, Lucy Mrema na Dennis Mrema) siku ya leo tarehe 26/10/2016.

Tutazidi kuwahabarisha kwa lolote litaloendelea na mipango yote toka familia ya Mrema.

26/02/2015

Jumapili hii, tutakutana Kebbys Hotel, Mwenge, kuanzia saa 11 jioni, Karibuni

06/11/2014

Aisha Makame Sandra Nassor Ipyana Mwakyusa, Lusekelo Thompson, Emmanuel N.M.Manase, El Fredito , Riyaz Ahmed, Hawa MkambaMjomba Ukindo Ukindo, Eng Goodie Mrema Chiku Haidari, Rukia H Penza, Bilhuda Chamshama, Shushu Grace mbona mkanitosa tena....

28/09/2014

Habari zenu

10/03/2014

Mwanafunzi mwenzetu El Fredito Fred Manase Laizer amefiwa na baba yake Mzazi Mzee Manase Laizer, Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu,
Amen

15/08/2013

SIKU KUMI ZIMEBAKI KABLA YA SIKU YA KISUTU...UMETOA MCHANGO WAKO? UNAPENDEKEZA KUWA NA VITU GANI SIKU HIYO

Photos 07/05/2013
04/05/2013

JUMAPILI, JULAI 7, 2013 TAMASHA KUBWA LA WANAFUNZI WALIOSOMA SHULE YA MSINGI KISUTU TANGU KUANZISHWA KWAKE MWAKA 1971. WALIMU NA WANAFUNZI WOTE WALIOWAHI KUPITA HAPA WATAKUTANA PAMOJA SHULENI, KWA MICHEZO, MUZIKI, ELIMU.
KAMATI YA MAANDALIZI, MWENYEKITI PETTER DAVID MWENDAPOLE, MAKAMU MWENYEKITI, AISHA MAKAME, KATIBU, SANDRA NASSOR, MWEKA HAZINA CHIKU HAIDARY, WAJUMBE, VANESSA BAHATI RAHIM, EMMANUEL M.N MANASE, GOODIE MREMA, LUSEKELO THOMPSON, MJOMBA UKINDO UKINDO.
MAADHIMIO YA KIKAO KILICHOFANYIKA LEO JUMAMOSI MEI 4, NI KUKARABATI MAJENGO YA MADARASA AMBAYO YAKO KWENYE HALI MBAYA, TUMEKUBALINA MCHANGO NI SH 50,000, TAFADHALI WASILISHA MCHANGO WAKO KWA MWEKA HAZINA KWA AJILI YA MAENDELEO YA SHULE YETU

04/05/2013

Mahudhurio hafifu

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam