Online Bunge la Katiba la Wananachi
Bunge hili la Online ni Bunge la watanzania wote bila kujali itikadi za kidini au kisiasa.
Bunge hili linatoa fursa ya kila mtanzania kuchangia na kujadili mambo ya msingi kama mbunge huru asiefungamana na upande wowote. Lengo ni kutoa fursa mmbadala kwa yale amabayo wabunge watu wanapaswa kufanya lakini hawafanyi. Bunge hili la online linatoa pia forum ya wanachi kujadili mwenendo wa Bunge lao.
Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
