20/04/2024
Kwa miongo kadhaa, Israel ilipanga kushambulia maeneo nyeti ya Iran, lakini imeshindikana.
Ukurasa rasmi wa jumuiya ya vijana ya chama cha wananchu (CUF)
20/04/2024
Kwa miongo kadhaa, Israel ilipanga kushambulia maeneo nyeti ya Iran, lakini imeshindikana.
11/02/2024
Pumzika kwa amani
27/11/2023
Mwenyekiti wa uhamasishaji mkoa wa mtwara Mhe. Mkwawa amegawa kadi za jumuiya ya vijana cuf 250 leo wilayani newala baada ya mkutano wa hadhara ulio andaliwa na jumuiya ya vijana ya chama cha wananchi cuf mkoa wa mtwara.
26/11/2023
Tawi limezinduliwa na mwenyekiti wa uhamasishaji wa mkoa wa mtwara katika siku ya uzinduzi wa k**ati ya uhamasishaji katika kata ya makonga newala mkoani mtwara.
26/11/2023
MWANYEKITI WA CHAMA PROF. LIPUMBA ALAANI KITENDO CHA POLISI KUVAMIA NA KUZUIA MKUTANO JIJINI DARA ES SALAAM.
Mwenyekiti wa chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akifafanua katika mkutano wake na waandshi wa habari kuhusu kitendo cha jeshi la polisi buguruni kuvamia na kusitisha mkutano wao wa hadhara siku ya tarehe 24 November 2023 makao makuu ya chama hicho Buguruni jijini Dar es salaam.
Alisema jeshi la polisi lisiturudishe kwenye siasa ya mapambano basi sisi tunataka siasa za kujenga hoja na maridhiano ambazo hata Rais Samia mwenyewe anatangaza siasa za maridhiano, kufatia tumio hili inaonyesha kuwa bado falsafa ya mhe rais juu ya maridhiano bado aijaeleweka kwa baadhi hivyo nishauri serikali iandae utaratibu wa kutoa mafunzo kuelezea siasa za maridhiano ni nini.
Kwa upande wake mwenyekiti wa chama cha CUF ilala, bwana Hamis Chambuso amemtaka waziri wa mambo ya ndani kuomba rai mara moja kufatia kitendo kilichofanywa na OCD wa Buguruni licha ya chama kufuata taratibu zote wakati maandalizi siku ya mkutano Polisi wakavamia na kuvunja mkutano huo.
“Kitendo hiki ni cha kukemewa kwa Tunajipanga kwenda kwenye uchaguzi hivyo vitendo k**a hivi havikubaliki ukizingatia tupo Dar es Salaam palipofanyika maridhiano sasa sijui huko mikoani kutakuwaje?”Alisema Chambuso.
25/11/2023
Katibu wa Uhamasishaji wilaya ya mtwara mjini Mhe. Ramadhani Kalinda Atakuwepo Pia siku ya Kesho ndani ya wilaya ya newala Mjini Kata ya Makonga. ✊
25/11/2023
Vijana wa JUVICUF wilaya ya newala kata ya makonga wakimamalizia ujenzi wa kijiwe kuelekea uzinduzi wa k**ati ya uhamasishaji hapo 26 Nov 2023
25/11/2023
Maandalizi yanaendelea wilaya ya newala Mjini kata ya makonga kuelekea Uzinduzi wa k**ati ya uhamasishaji Nov 26,2023
15/11/2023
happy birthday
15/11/2023
heri ya mfanano wa siku ya kuzaliwa Mh.
happy birthday
13/11/2023