17/03/2015
Mimi nimeamka kifikra natunza mazingira , Je! wewe unasubiri nini?
Non Government Organisation with the aim of helping media coverage on Environment matters
17/03/2015
Mimi nimeamka kifikra natunza mazingira , Je! wewe unasubiri nini?
06/03/2015
BAADHI YA MADA ZILIZO FUNDISHWA KWA WADAU JUU YA UTAWALA BORA NA KUWAJIBIKA KWA VIONGOZI JUU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KATA YA KINONDONI.
06/03/2015
MMOJA KATI YA WACHANGIA MADA WAKATI WA MAFUNZO YA MRADI WA TAKA NGUMU WILAYA YA KINONDONI.
06/03/2015
WADAU WA MAZINGIRA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA,NJE YA UKUMBI WA URAFIKI HALL,SIKU YA MAFUNZO,TAR 19,02,2015
30/01/2015
t
T
TUKOMESHE UVUVI HARAMU NI JANGA LA TAIFA
25/11/2014
UVUVI HARAMU HAUFAI, WATANZANIA TUUPIGE VITA
20/11/2014
Waandishi wa habari wakiwa katika mafunzo juu ya utunzaji na utunzaji wa mazingira jijini dar es salaam.
14/11/2014
UTAMTAMBUAJE SAMAKI ALIYEVULIWA KWA BARUTI
12/11/2014
Local leaders are the main stakeholder in decision making for any social ,economic , political and cultural issues
The picture was taken during the training on solid waste managment at Kinondoni
Wadau mnaonaje tatizo la taka ngumu katika jiji la dar es salaam linapngua au linaongezeka na mnadhani tufanye nini ili tuondoka nalo? tuma maoni yako tafadhari katika page yetu!