MWANAMKE WAMAREKANI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA KANSA,MWANAMKE WA URUSI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA MARALIA NA MWANAMKE WA CHINA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA MAFUA *_MWANAMKE WA TANZANIA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE HUNA HELA_*
Obed machela
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Obed machela, Landmark & historical place, Dar es Salaam.
Utofauti wa mitazamo,bidii,nidhamu(pesa+muda) ndivyo vitu vinavyotofautisha watu ktk jamii wengne wanakuwa matajir na wengne maskini jitahd uwenye na mtazamo chanya ck zote,fanya bidii zaid ya wengine,tumia pesa yako kwny mambo ya maendeleo na epuka anasa+ tumia mda wako vzr leo ww ni kijana ipo ck utakuwa mzee jipange mapema usije ukajuta baadae na kuwa mzigo kwny familia,umri wa miaka 50 siyo muda wa kuanza kustruggle ni mda wa kupumzika na kufanya hela zako kujiendesha ,THANKS.
*Neno la kuzingatia*
Najua unatamani sana siku moja ukione kisima cha maji, hapa neno kisima cha maji linawakilisha jambo lolote zuri unalotamani ulipate. Lakini nakutahadharisha kwamba huwezi kukipata kisima cha maji kwa mawazo bila vitendo. Unatakiwa uchukue hatua ya kutafuta kisima cha maji. Nenda hapa na pale zunguka huku na kule ukitafuta kisima cha maji, na ukifanya hivyo saa usiyoijua na mahali usipopajua utashangaa macho yako yanafumbuliwa na unakiona kisima cha maji. Ikiwa kisima chako cha maji unachokitafuta ni mafanikio ya kiuchumi ni lazima uchukue hatua leo ya kuanzisha miradi ya kukuingizia pesa. Huwezi kusingizia eti huna mtaji wakati kuna fursa maelfu unazoweza kufanya na ukapata kipato kizuri bila hata kuwa na mtaji mkubwa. Ndiyo fursa zipo nyingi tu, kwani si umesoma? Huwezi kutumia kalamu yako kutengeneza pesa? Huwezi kutumia mdomo wako kutengeneza pesa? Unasubiri mpaka upate mtaji mkubwa, lini utapata mtaji mkubwa?. Ok, hilo naliachia hapo lakini ujumbe wangu kwako ni kwamba kisima cha maji kipo unachotakiwa kufanya ni wewe kukitafuta na Mungu wako atakufumbua macho yako ukione.
Karibu page ya DIARY OF WINNER ujifunze mengi yatakayobadili maisha yako.
Kujitambua ni nini? Asili ya neno hili
linatokana na nene tambua ikiwa na maana
ya kujua ukweli wa kitu fulani kwa kina,
kujitambua ni kujijua ulivyo kwa kina! Watu
wengi wanaishi bila kujitambua kwa kina na
kwa hivyo hawafanikiwi ipasavyo. Ifahamike
ya kuwa asilimia kubwa ya wanaomiliki
uchumi wa dunia ni wajasiliamali tena
wajasiliamali walio jitambua. Nguzo kubwa ya
wajasiliamali ni kumwamini Mungu lakini pia
kujitambua kwao ndiko kunakowaletea
mafanikio zaidi. Kumjua Mungu+kujitambua=
Mafanikio
Kujitambua ninayo maanisha hapa ni ile
yenye tafsiri pana zaidi ya uliyozoea, hapa
namaanisha k**a kwanini ulizaliwa? Umekuja
duniani kufanya nini? Umetoka wapi na
unaenda wapi? Je kabla hujazaliwa ulikuwa
wapi na ulifananaje? Kwanini upo hapa
duniani? Unakusudi gani na uwepo wako? Je
wajua thamani ya uwepo wako? Kwanini
ulizaliwa Afrika? Nk. Haya ni maswali ambayo
majibu yake unapaswa ujitafakali kwa kina na
ukipata majibu sahihi basi itakuwa hatua
moja kubwa kuelekea mafanikio yako!! Na
haya ni maswali ya msingi kabisa ya kujiuliza
hata kabla hujamua kufanya ujasiliamali wa
aina yeyote ile kwani itakupa picha nzima ya
wapi ulipo, unakoelekea na utafikaje lakini cha
zaidi ni kujua njia upitayo itakufikisha
uendako!
WAZO LA MILELE.
*"Kumwabudu Mungu siyo PART TIME. Na siyo SOMETIME. Wala usiseme SINA TIME. Ibada inatakiwa FULL TIME. Tena ON TIME. Ukiweza OVER TIME. Please, manage YOUR TIME. Kifo ni ANY TIME. Don't waste YOUR TIME. Have a GOOD TIME. Wakumbushe uwapendao THIS TIME! Kwamba ''TIME THE TIME BEFORE TIME TIMES YOU.''*_
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
