26/10/2015
Kuna ulazima gani kwa mwanamke au msichana kuvaa nguo fupi.ikiwa akivaa nguo za heshima anapendeza tuu.
KURASA YA KIJAMII INAYOHUSU MASUALA YOTE YA BURUDANI MITINDO, FILAMU, SANAA PAMOJA NA MASUALA YANAYOHUSU JAMII KWA UJUMLA.
KURASA YA KIJAMII INAYOHUSU MASUALA YOTE YA BURUDANI MITINDO, FILAMU,MICHEZO, NA SANAA KWA UJUMLA
26/10/2015
Kuna ulazima gani kwa mwanamke au msichana kuvaa nguo fupi.ikiwa akivaa nguo za heshima anapendeza tuu.
25/10/2015
Watanzania tuuweke utanzania kwanza,vyama baadae
29/06/2015
Leo unatakiwa kujua na kujifunza ujasilia mali.huyu ni kijana anaetokea mkoa wa tabora,amekuja dar kuuza asali rejareja.vijana tusibwete tuwe K**a kijana huyu kutoka Kigwa mkoani Tabora
Ramadhani kareem kwa waislamu wote
01/10/2014
Comedian wanajua nini wanachofanya kwenye sana yao,hapa Tin white na Jengea
Kila mzazi anawajibu wakukemea ndo za umri mdogo,ni jambo letu sote tulifanye kwa pamoja.
18/08/2014
Food lover
18/08/2014
New tv program chini ya D.O.P kezzy baliyanga
Wanadamu wengi huwa wanasifa pindi tuu wanapokufa tajaa marehemu hata wawili,waliopata sifa baada yakutoweka kwenye uso huu wadunia.
12/02/2014
MNYAMA TID AKIWA NA FELLY KANO kwenye ukumbi wa FULL STOP KINO akitoa suport kwa jembe lake la songwe music band,ambayo hutumbuiza kila ijumaaaaaaaaaa.
12/02/2014
12/02/2014
KILINGE CHA NADHALIA/TAMADUNIMUZIK