12/04/2018
HT Mashinani - Mbagala
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from HT Mashinani - Mbagala, Political organisation, Dar es Salaam.
12/04/2018
17/12/2017
21/10/2017
Huu ndio ujenzi wa mtanzania
Mwisho wasiku anakuja mjomba kubomoa
Demokrasia wizimtupu
28/08/2017
17/08/2017
Mbunge wakike Mwenye chuki na Uislamu nchini Australia kwa jina Pauline Hanson , aliamua kuingia na Ninja (Burqa) bungeni hapo jana, ili kushindikiza wabunge wenzake wapitishe sheria ya kuharamisha kuvaa ninja (Burqa) nchini humo.
13/08/2017
Je waijua Masjid Aqsa?
Baada ya kugundua wengi wetu hatuijui Masjid Aqsa vizuri ambao ndio msikiti watatu bora duniani, ndio nikaamua kuandika kuhusu msikiti huu mtukufu na Qibla cha kwanza cha Usilamu.
Katika hiyo picha ya Masjid Aqsa nimeweka nambari katika kila jengo ili nipate kueleza vizuri kila jengo hapo umuhimu wake.
1. Masjid Aqsa (Asqa Precinct/Sanctuary).
Masjid Aqsa ni yote hiyo iliyozungukwa na hilo boma lililochorwa kwa rangi ya Blue, kawaida tumezowea kusika masjid aqsa na kuona ni jengo flani, lakini laa masjid aqsa ni hilo boma lote liliotukufu kwa mujibu wa Quran. Ambalo ndani yake kuna majengo takriban 44 pamoja na Masjid Qibly (Masallah Aqsa) na Qubbat al-Sakhra (Dome of Rock).
Wenyeji wa huko huita sahemu hii Haaram Al-Shareef, kwa ule utukufu wake. Inaaminika masjid aqsa kuwa na ukubwa wa ekari 35 na kokote utakaposwali katika hilo boma utapata fadhila ya swala moja ya hapo kuwa sawa na swala 500 za Misikiti mengine isipokuwa Masjid Haraam na masjid Nabawi.
Masjid Aqsa iko katika Mji wa Quds (Jerusalem) katika ardhi ya shaam ambao kwa sasa ni nchi inayoitwa Palestine na wala haiko Israel kwani duniani hakuna nchi inayoitwa Israel, bali ni wao mayahudi baada ya kuvamiya palestina ndio wakaanza kuita israel na kusema katika mitandao kuwa masjid Aqsa iko Israel.
2. Qubbat Al-Sakhara (Dome of The Rock).
Hili jengo lenye mnara wa rangi ya dhahabu katika hiyo picha, hili ndio jengo linalowachanganya sana waislamu. Na kila mmoja kuwa na fikra tafauti kuhusu hili jengo. Wengine husema ni kanisa, hekalu la mayahudi, ndio masjid aqsa au mnara wake wote ni wa dhahabu.
Lakini yote si kweli ila ukweli ni kuwa, hili ni jengo ambalo lipo ndani ya masjid Aqsa. Inaaminika kuwa zamani sehemu liliopo jengo hili kulikuwa na mlima wenye jiwe juu yake, jiwe ambalo lina aminika ndilo aliposimama Mtume SAW na Jibril AS na kupaa mbinguni kuelekea safari ya miraj. (Jiwe lenyewe nitaweka picha yake kwa comment).
Kwa sababu ya utukufu wa mlima huu na jiwe lake ndio kukajengwa juu yake Jengo hili (Qubat Al-Sakhara/Dome of the Rock) na Khalifa AbdulMalik ibn Marwa (RA) mwaka 691-692 miladiya. Alijenga jengo hili kwa urembo mzuri sana kwa sababu waislamu wakati huo walikuwa wameendelea katika fani ya Ujenzi na mapambo, ndio maana hadi leo unaona jengo hili linafutia na kila mtu kupiga picha la hili jengo.
Pia ndani ya jengo hili waislamu huswali kwa kueleka qibla cha makkah na sana sehemu hii hutumiwa na wanawake katika kuswali. Kwa hivyo hili si kanisa wala hekalu ( temple mountain) k**a vile mayahudi hudai katika mitandao.
3. Masjid Qibly (Masallah Al-Aqsa).
Hili ni jengo lenye mnara mweusi au kijivu juu yake. Jengo hili baadhi ya waislamu bila ya kujua wao husema ndio Masjid Aqsa. Lakini hili pia ni jengo liliopo ndani ya masjid aqsa.
Sehemu hii la hili Jengo ilianzwa kujengwa na Saydna Omar (RA) alipoifatih jerusalem kutoka kwa warumi na kuamrisha kujengwa sehemu itakayokuwa na kivuli watu wapate kuswali. Kukajengwa jengo la mbao sehemu hiyo na kuja baadae kujengwa jengo hilo kwa matofali na kulifanya jengo hilo kuwa madhubuti wakati wa Khalifa Abdul Malik mtoto wa walid (RA) mwaka 705-715 miladiya.
Ndio maana hadi leo jengo hili lina simama imara kwa ujenzi wa wakati huo, na hutumiwa k**a sehemu ya kuswalia wanaume katika masjid Aqsa.
Hivyo basi masjid Aqsa sio jengo bali ni kiwanja chote mukionacho katika hiyo picha na majengo yote humo ndani yake yana daraja na utukufu sawa hadi miti na michanga yake. Kwa kauli yake Allah SWT Aliposema:
"SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Harram mpaka Msikiti Aqswa, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka," (Surah Al- Isra':1)
Kwa hivyo twafaa kuelewa k**a waislamu matukufu yetu na vizuri tufunge safari za kuzuru sehemu hiyo k**a vile alivyotunasihi Mtume SAW. Leo hii waislamu tumechanganywa akili na makafiri kuhusu matukufu yetu huku wakituandikia na kutuonyesha vitu vya urongo kuhusu msikiti huu mtukufu katika mitandao na vyombo vyao vya habari.
Ndio vizuri mtu akitaka kujua zaidi kuhusu masjid aqsa asitegeme yaliyomo mitandaoni bali afanye juhudi kufika masjid Aqsa au awaulize wanaoishi huko wamueleze ukweli wake kwani dunia ya sasa kuna mawasiliano yanayotuezesha kuzungumza na waliyoko mbali k**a vile mimi nilivyofanya.
Imeandikwa na SAAD ABUBAKAR
Tafadhali Ujumbe Huu Jaza yako iko Kwa Allah SWT.
16/07/2017
Bajeti ya Tanzania 2017-2018 Bajeti ya Tanzania 2017-2018
13/08/2016
Jana ijumaa mashabab wa hizb ut tahrir waligawa vipeperushi Mbele ya masjid zawiya iliyopo mbagala zakhiem Anuani yake ni
SIKU YA VIJANA NA NDOTO ZA MCHANA
01/07/2016
ijumaa ya leo mnamo tarehe 1 julai kulikuwa na mhadharfa mara baada ya sala ya ijumaa masjid rahim tuangoma. mtoa mada alikuwa ni Kaema Juma. mada aliyowasilisha ni kufeli kwa nidhamu ya kibepari katika kuwahudumia wanadamu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
