12/05/2026
🏙️ PLOT 300 – THE NEXT ICONIC ADDRESS IN DAR ES SALAAM IS COMING SOON!
Dar es Salaam inaenda kushuhudia ujio wa maendeleo ya kisasa yenye hadhi ya kimataifa!
Katika makutano maarufu ya Bagamoyo Road na Kairuki Road, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linakuja na mradi mkubwa wa kisasa — PLOT 300, jengo la kifahari la ghorofa 13 litakalobadilisha taswira ya makazi na uwekezaji jijini.
✨ Project Details
📌 Project Name: Plot 300
📌 Status: Coming Soon
📌 Construction Start Date: From September 2026
📌 Price Details: Coming Soon
🏡 House Type Mix
✔️ 2BHK Apartments
✔️ 3BHK Apartments
✔️ Luxury Penthouses
📌 Full specifications coming soon
PLOT 300 imebuniwa kwa ajili ya wale wanaotafuta:
✔️ Modern lifestyle
✔️ Prime location
✔️ Smart investment opportunity
✔️ Luxury living with convenience
Ndani ya mradi kutakuwa na:
☕ Café & Restaurant
🛍️ Retail Shops
🔐 24/7 Security
🏢 Premium Apartments
🌆 Elegant modern design
📍 Eneo hili lina thamani kubwa ya uwekezaji kutokana na ukuaji wa biashara, accessibility na mazingira ya kisasa yanayoendelea kuimarika kila siku.
🔥 Huu siyo tu mradi wa nyumba… ni nafasi ya kuwa sehemu ya future ya maisha ya mjini Dar es Salaam.
📞 Endelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu bei, specifications na booking process zitakazotangazwa hivi karibuni.
DarEsSalaam
PrimeLocation
BuildingOurNation
10/05/2026
🏗️ IRINGA COMMERCIAL COMPLEX UPDATE
Ujenzi unaendelea kwa kasi kubwa 👇
✔️ Steel fixing ya lift pit base imefikia 99%
✔️ De-shuttering ya slab Wing C imeanza (30%)
✔️ Plastering ya kuta Wing A imefikia 50%
✔️ Electrical works (conduits & wall chasing) Wing A imefikia 85%
✔️ Usafi wa eneo la mradi unaendelea
✔️ Curing works zinaendelea kuhakikisha uimara wa jengo
📍 Mradi unaendelea kuwa kitovu kipya cha biashara Iringa!
RealEstateTanzania
10/05/2026
🏗️✨ MRADI WA NYUMBA ZA SAMIA (SHS) – MEDELI PHASE III, DODOMA
Katika moyo wa Jiji la Dodoma, Medeli, unaendelea kwa kasi kubwa ujenzi wa Mradi wa Nyumba za Samia (SHS) Phase III, unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Mradi huu unahusisha jumla ya nyumba 160 za kisasa za ghorofa, zilizogawanyika katika majengo matano (blocks), zenye ubunifu wa kisasa na mazingira rafiki ya makazi.
Huu ni sehemu ya juhudi za Serikali kuhakikisha wananchi wanapata makazi bora, ya kisasa na yenye hadhi katika Mji Mkuu, huku Dodoma ikiendelea kukua k**a kitovu cha maendeleo ya taifa.
🏡 SHS Medeli Phase III – Kujenga kesho bora, leo.
09/05/2026
Picha ya anga ya majengo ya Meru Plaza Arusha inaonesha kwa uzuri kasi na ukubwa wa maendeleo ya mradi huu wa kisasa unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ukiendelea kubadilisha taswira ya biashara na uwekezaji jijini Arusha.
Shirika linaendelea na utekelezaji wa mradi wa kisasa wa Meru Plaza Arusha kwa kasi kubwa, huku shughuli mbalimbali za ujenzi zikiendelea katika hatua muhimu za ukamilishaji wa jengo hilo la kibiashara linalotarajiwa kuwa kitovu kipya cha huduma na biashara jijini Arusha.
Kwa sasa kazi zinazoendelea ni pamoja na upigaji wa plaster, ufungaji wa mabomba ya maji, miundombinu ya umeme na maji pamoja na kazi za upauaji, hatua zinazoonesha maendeleo makubwa ya mradi huo unaotekelezwa kwa ustadi, weledi na umakini mkubwa.
Mradi huu umejengwa katika eneo la kimkakati jirani na roundabout inayoelekea Hospitali ya Selian, eneo lenye mtiririko mkubwa wa watu na magari pamoja na ufikiaji rahisi kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha. Ukaribu huo unaifanya Meru Plaza kuwa eneo lenye mvuto mkubwa kwa biashara, huduma na uwekezaji.
Kupitia ubora wa ujenzi, eneo bora na usimamizi makini wa NHC, Meru Plaza Arusha inaendelea kujidhihirisha k**a alama mpya ya maendeleo ya biashara na miundombinu ya kisasa nchini.
MaendeleoMakubwa TunaijengaTanzania
09/05/2026
MERU PLAZA ARUSHA YAENDELEA KUPIGA HATUA KUBWA
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linaendelea na utekelezaji wa mradi wa kisasa wa Meru Plaza Arusha kwa kasi kubwa, huku shughuli mbalimbali za ujenzi zikiendelea katika hatua muhimu za ukamilishaji wa jengo hilo la kibiashara linalotarajiwa kuwa kitovu kipya cha huduma na biashara jijini Arusha.
Kwa sasa kazi zinazoendelea ni pamoja na upigaji wa plaster, ufungaji wa mabomba ya maji, miundombinu ya umeme na maji pamoja na kazi za upauaji, hatua zinazoonesha maendeleo makubwa ya mradi huo unaotekelezwa kwa ustadi, weledi na umakini mkubwa.
Mradi huu umejengwa katika eneo la kimkakati jirani na roundabout inayoelekea Hospitali ya Selian, eneo lenye mtiririko mkubwa wa watu na magari pamoja na ufikiaji rahisi kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha. Ukaribu huo unaifanya Meru Plaza kuwa eneo lenye mvuto mkubwa kwa biashara, huduma na uwekezaji.
Kupitia ubora wa ujenzi, eneo bora na usimamizi makini wa NHC, Meru Plaza Arusha inaendelea kujidhihirisha k**a alama mpya ya maendeleo ya biashara na miundombinu ya kisasa nchini.
MaendeleoMakubwa TunaijengaTanzania
09/05/2026
Dodoma, Tanzania – Samia Housing Scheme Iyumbu Urban Apartments jijini Dodoma inaendelea kupiga hatua kubwa za ujenzi ambapo kwa sasa mradi umefikia hatua ya Ground Floor, ukiendelea kuleta taswira mpya ya makazi ya kisasa katika mji mkuu wa nchi.
Mradi huu unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) unalenga kutoa makazi bora yenye viwango vya kisasa, yakichanganya ubora, ustaarabu na mazingira rafiki kwa maisha ya kisasa ya mjini. Kasi ya maendeleo ya mradi inaendelea kuonesha dhamira ya NHC katika kuendeleza makazi yenye thamani na yanayokidhi mahitaji ya sasa na ya baadaye.
Iyumbu Urban Apartments ni zaidi ya makazi — ni uwekezaji wa maisha katika moyo wa Jiji la Dodoma.
08/05/2026
Ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Tabora Commercial Complex unaendelea katika mradi mkubwa wa kibiashara unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wenye thamani ya mabilioni ya shilingi, ukiwa sehemu ya juhudi za kuchochea ukuaji wa biashara na huduma za kisasa Mkoa wa Tabora. Mradi huo mkubwa umebeba nafasi mbalimbali za biashara na huduma, ukitarajiwa kuwa kitovu kipya cha shughuli za kiuchumi katika eneo hilo.
08/05/2026
Mkwakwani Plaza, Tanga — alama mpya ya uwekezaji wa kisasa inayojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa ajili ya biashara, huduma na kukuza uchumi wa jiji la Tanga. Makazi ya ubora, biashara za kisasa na mazingira yenye hadhi vinakutana sehemu moja.
08/05/2026
Samia Housing Kijichi mambo ni moto sana.
08/05/2026
Tabora ya leo siyo ya jana — maendeleo yanaonekana na fursa zinazidi kufunguka. 🏙️✨
Mradi wa Tabora Commercial Complex umefikia hatua za advanced kuelekea kukamilika kwake.
✔️ Skimming inaendelea
✔️ Formwork ya slab – Wing A inaendelea
✔️ Tiling eneo la benki inaendelea
✔️ Usafi na curing vinaendelea kuhakikisha ubora wa mradi
Tabora Commercial Complex inaleta mazingira mapya ya biashara na uwekezaji katikati ya Tabora.
Wasiliana nasi leo ujihakikishie nafasi yako.