🔥VIWANJA KWA MKOPO USIO NA RIBA WALA DHAMANA🔥🔥
“CLIMAX PROPERTY LTD
TUNAZIDI KUWALETEA MIRADI MIZURI NA YA KUELEWEKA KIGAMBONI.
LEO TUNAWALETEA MRADI MPYA KUTOKA KIGAMBONI-MIKWAMBE.
ENEO LIPO MITA 100 KUTOKA BARABARA KUU NA LIPO KARIBU SANA NA NYUMBA ZA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)
NEIGHBOURHOOD YAKUELEWEKA(LOW DENSITY)
UMEME MAJII MPAKA SITE KWAKO NA BARARA SAFI KABISA.
BEI YAKE NI TSH 25,000/= KWA SQM.
TUPIGIE, WEKA APPOINTMENT SIKU YA KWENDA KUONA SITE.
CALL/WHATSUP 0744497849/0693093309
Climax
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Climax, Dar es Salaam.
Miradi yetu ya uakika na yakueleweka hiduma za kijamii mpaka kiwanjani kwako..
MIRADI iliyopo sokoni kwa sasa
💥Mradi wa KIBAHA PICHA YA NDEGE bei yake ni tsh 4M..umbali ni KM 1.5 tu kutoka Morogoro Road
💥Mradi wa Kibaha visiga umbali kutoka lami ya Morogoro road ni KM 3 tu..
💥 Mradi wa Kibaha Pangani (Nyuma ya stend Mpya ya Kibaha) Umbali ni Km 4 bei ya kiwanja ni tsh 3.2
💥Mradi wa KIGAMBONI SHANGWE, Umbali ni KM 10 kutoka ferry, Bei ni Tsh 32,000/= per sqm
Kwa mawasiliano zaidi 0744497849
Kesho ni siku yetu ya kwenda site tupigie kwenye namba zetu tupange safari.
Viwanja vimebaki vichache Wahi mapema usipitwe na offer zetu
Kwa mawasiliano tupigie 0744497849
07/01/2021
Jipatie kiwanja kibaha kwa bei poa kabisa..
Mradi wa kibaha PICHA YA NDEGE kwa tsh 4.5 kiwanja chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 25.
Eneo ni zuri lipo tambarale barabara, umeme,maji ya DAWASA mpaka kiwanjani kwako..
Malipo unaweza lipia cash au Mkopo usio na riba wala dhamana yoyote ile.
Kwa mawasiliano zaidi 0744497849
05/01/2021
Kwa mahitaji ya viwanja maeneo tofauti Dar es salaam k**a KIGAMBONI,GOBA,SALASALA,KIBAHA na MADALE unaweza wasiliana nasi
Viwanja vyetu huwa ni vizuri na vinaeleweka hatuna Kazi mbovu😋
No: Call/whatsapp 0744497849
04/01/2021
Miradi yetu unaweza lipia kwa cash au Installement ya muda wa miezi minne mpaka sita inategemea na site..
MIRADI iliyopo sokoni kwa sasa
💥Mradi wa KIBAHA PICHA YA NDEGE bei yake ni tsh 4.5M, mradi ni mzuri barabara safi kabisa mpaka kiwanjani kwako maji na umeme tayari yapo site kwako kabisa..umbali ni KM 2 tu kutoka Morogoro Road
💥Mradi wa Kibaha visiga umbali kutoka lami ya Morogoro road ni KM 3 tu..Barabara safi kabisa mpaka mlangoni kwako, Maji na umeme ni Mita 200 kutoka site
💥 Mradi wa Kibaha Pangani (upande wa a stend stend Mpya ya Kibaha) Umbali ni Km 4 bei ya kiwanja ni tsh 3.2
💥Mradi wa KIGAMBONI SHANGWE, Umbali ni KM 10 tu kutoka ferry(sio mbali na Mji Mwema ). Alaf mita 800 kutoka lami, Mradi ni mzuri upo tambarale na picha zake ndo izo nilizopost hapo juu, umeme na maji ushafika mpaka site , Sifa nyingine ya mradi upo ushuani😊(ukinunua site lazma ujipange kidogo kwenye ujenzi na ww😎) maana majirani zako sio mchezo. Bei ya Eneo ni Tsh 32,000/= kwa square meter
NOTE: Izo bei nilizokupa ni viwanja vya sqm 400(yani miguu 20 kwa 20) kwa site za kibaha
No. Call/whatsapp 0744497849
25/12/2020
We wish you a Merry Christmas..
K**a kawaida yetu Climax inakupa vitu vizuri tu.Leo hii inawaletea mradi mpya kabisa kutoka Kibaha Visiga eneo ni zuri na linafikika kirahisi mno..
Habari njema zaidi mradi huu tunauza tsh milion 2.5 kwa miguu 25 kwa 20(500 sqm)
Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0759955382
08/12/2020
22/11/2020
GOBA CENTER (goba)
MRADI WETU UPO GOBA CENTER (karibu na shule ya msingi Goba)
mita 100-KUTOKA BARABARA KUU YA LAMI
ENEO LIMEPIMWA KUANZIA UKUBWA WA SQM 400
KILA SQM INAUZWA TSH 40,000
KWA MAANA TSH MILION 16 KWA KILA PLOTS YA UKUBWA WA SQM 400
MTEJA ANARUHUSIWA KULIPA KWA CASH/MKOPO
KWA MKOPO MTEJA ATARUHUSIWA KULIPA KWA MDA WA MIEZI MINNE AKIANZA NA ASILIMIA 50% YA BEI YA KIWANJA
KATIKA MKOPO HAKUITAJIKI RIBA WALA DHAMANA KWA MTEJA(tunakuamini)
MTEJA ATAPEWA KIBALI CHA UJENZI NA KUPATIWA HATI YAKE YA ENEO ENDAPO TU ATAKAMILISHA MALIPO KWA ASILIMIA 100%
KWA MAELEZO ZAIDI FIKA KATIKA OFFICE ZETU ZILIZOPO
-Kijitonyama science,KARIBU NA kanisa la KKKT.
AU WASILIANA NASI KUPITIA
-0759955382 au
-0693784737
27/10/2020
Mradi wa Kigamboni Mwongozo. Bei ni Tsh 15,000/= kwa sqm. Eneo ni zuri limezungukwa na Maji , umeme , Hospital , Shule n.k ..
Pia eneo lipo karibu na barabara ya lami .. KM 1 kutoka kituo cha Mwongozo kibaoni
26/10/2020
Kwa mahitaji ya viwanja Climax property ltd ndio suluhisho.
Tupo wazi kila siku ya
Jumatatu - Ijumaa 8:30AM -4:30PM
Jumamosi 9AM - 1:00PM.
Karibuni sana tunapatikana Sayansi Kijitonyama karibu na kanisa la KKT.
Kwa mawasiliano zaidi 📞0759955382
Click here to claim your Sponsored Listing.
