21/03/2025
KJI Security System Solution
The Leading Security Systems Service Provider
21/03/2025
I got 30 reactions and comments on one of my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉
18/03/2025
KUTANA NA MTAALAMU WA SECURITY SYSTEM
INTERCOM
Acha kuhatarisha maisha yako wewe na Familia yako, au kuharibu gate lako kwa kogongwa na mawe MTU anapopiga hodi kwako,
Njoo tukufungie INTERCOM ya Video na Audio ,itakusaidia wewe kumtambua ni nani na anashida gani kabla hujamruhusu kuingia ndani kwako ,utaongea naye na kumuona kwenye video ukiwa ndani.
GATE MOTOR
Kwanini uhatarishe maisha yako kwa kukaa nje muda mrefu ukisubiri kufunguliwa gate au kupiga honi sana ukiwasumbua majirani na familia yako kwa kuchelewa kurudi nyumbani,
Kwanini upige honi sana majirani na madui zako wajue umerudi
Karibu tukufungie Gate motor, utafungua na kufunga gate kwa remote ukiwa ndani ya gari bila kushuka, Remote inafanya kazi Mpaka umbali wa zaidi ya meter 50, au aliyepo ndani atakufungulia gate bila kutoka nje kwa remote.
ELECTRIC FENCE
Hii ni Fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya Compound kupitia eidha juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence,
Kuna aina mbili za fence k**a zinavyonekana kwenye picha;
1.Wall Top Electric Fence( Juu Ya Ukuta)
2.Free Stand Electric Fence(Juu Ya Ardhi)
WALL TOP ELECTRIC FENCE hizi zinafungwa juu ya ukuta wa Fence.
FREE STAND ELECTRIC FENCE hizi mara nyingi zinafungwa mashambani, Migodini au Viwanda vilivyopo nje ya Mji.
CCTV-CAMERA
Njoo ufungiwe CCTV-Camera kwa bei nafuu sana…..
Utafungiwa Camera zenye uwezo wa kurekodo sauti, Lakini pia Camera hizi zinaonyesha rangi hata usiku wa manane.
INTRUDER ALARM & PERIMMITER BEAM SENSOR.
Hii ni Automatic Alarm System ambayo unaweza kufunga Majumbani, Ofisini, Ware House au sehemu yoyoteya Biashara.
Pamoja na vitu vingine hii hufungwa Motion Detector (Sensor) Pamoja na Door Contact. Hizi ni detector ambazo hu’detect aina yoyote ya movement au k**a mtu anaweza kufungua mlango na kuingia sehemu husika bila ya ku’deactivate System……. Basi inapotokea hivyo Alarm hu’triger na kutuma Signal au sms sehemu ambayo imeelekezwa Kwenda Signal hiyo.
PIA TUNAFANYA SYSTEM ZINGINE NI:-
 FIRE ALARM
 ACCESS CONTROL
 TIME & ATTENDANCE SYSTEM
 PANIC ALARM
 ELECTRICAL BACK-UP SYSTEM
 ELECTRICAL INSTALLATION
 TRAKING SYSTEM
Contact:-
KJI SECURITY SYSTEM SOLUTION
[email protected]
+255 627 937 525
+255 754 957 525 - WhatsApp
+255 655 957 525
KWA MAHITAJI YA MAFUNDI MAHIRI WENYE UZOEFU NA UJUZI WA KUFUNGA MITAMBO YA KIULINZI K**A:-
- ELECTRIC FENCE
- CCTV-CAMERA
- AUTOMATION GATE
- INTRUDER ALARM & BEAM SENSOR
- ACCESS CONTROL
- FIRE ALARM
- DOOR BELL - VIDEO/AUDIO (INTERCOM)
- TIME & ATTENDANCE SYSTEM
- BIOMETRIC SYSTEM
- ELECTRICAL INSTALLATION
- BACK-UP SYSTEM (DC & AC)
- SOLAR SYSTEM
- MOBILE & WEB APPLICATION DEVELOPMENT.
KWA MAWASILIANO
TUPIGIE SIMU
+255 754 957 525
+255 627 937 525
+255 655 957 525
E-mail [email protected]
12/03/2025
KWA MAHITAJI YA MAFUNDI MAHIRI WENYE UZOEFU NA UJUZI WA KUFUNGA MITAMBO YA KIULINZI K**A:-
- ELECTRIC FENCE
- CCTV-CAMERA
- AUTOMATION GATE
- INTRUDER ALARM & BEAM SENSOR
- ACCESS CONTROL
- FIRE ALARM
- DOOR BELL - VIDEO/AUDIO (INTERCOM)
- TIME & ATTENDANCE SYSTEM
- BIOMETRIC SYSTEM
- ELECTRICAL INSTALLATION
- BACK-UP SYSTEM (DC & AC)
- SOLAR SYSTEM
- MOBILE & WEB APPLICATION DEVELOPMENT.
KWA MAWASILIANO
TUPIGIE SIMU
+255 754 957 525
+255 627 937 525
+255 655 957 525
E-mail [email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Address
Dar Es Salaam
00000
