Christian Power in Jesus Ministyr of Dar Es Salaam

Christian Power in Jesus Ministyr of Dar Es Salaam

Share

Huma hii ya Christian Power Ministry imefanha kazi kibwa sana ua Uinjilisti Nchini Tanzania na Nje ya Tanzania. Amen

Na watu wengi wamempokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa Maisha yao.

02/01/2022

SOMO LA VYAKULA. UHALALI WA KULA NYAMA YA NGURUWE. JE NI KWA NINI WATU WANAODAI HAWALI NYAMA YA NGURUWE HUMBATIZA NGURUWE MAJINA MENGI?
1. Kitimoto
2. White Paper
3. Mkuu wa Meza
4. Noah
5. Mbuzi Katoliki
6. Six Bartan
7. Kumsalimia Ustaadhi
8. Mwendokasi
9. Kusafisha Nyota
10. Mtembea kwa Maringo

25/01/2021

SHEKHE RICO ASEMA HAYA NI MATOKEO YA VITABU VINAVYOANDIKWA NA WAISLAMU AMBAVYO WAKRISTO HUVINUNUA NA KUVISOMA!

24/07/2020

Watumishi wengi tunaamini kwamba kutembea sehemu nyingi Duniani, Kujulikana na watu wengi Duniani, Kuwa na Suti nyingi za gharama za kuvaa, Kuwa na Magari mengi ya Kifahari, Kuwa na Waumini wengi ndani ya Jengo la Kanisa NDIYO TIKETI YA KUKUBALIWA NA MUNGU!! Lahashaa!

Hivyo vyote si kigezo cha kukubaliwa na Mungu. Maana hata Shetani hivyo vitu huwa anavyo na pia ana uwezo mkubwa wa kukusanya watu wengi zaidi.

Bali tunapaswa kukaza mwendo katika utumishi wetu, kujinyenyekeza mbele za Mungu! Kuwa na huo Utakatifu ambao hakuna mtu atakayemwona Mungu asipokuwa nao. Kukiishi kiΔΊe tunachokihubiri na kuhakikisha tunakuwa na Mwisho mzuri wenye Ushuhuda, badala ya mwanzo mzuri.

Tuepuke kuwa na maneno ya kujikinai! Tuache kujimilikisha Kanisa na kulifanya MALI YETU. Kanisa siyo mali yetu. Kanisa siyo mali ya Wanadamu. Bali Kanisa ni mali ya Mungu mwenyewe na alilinunua kwa damu yake mwenyewe, tazamaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

"Matendo 20:28
28. Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe."

πŸ‘†πŸ‘†Hivi sisi tunayojimilikisha Kanisa na kulifanya Mali yetu, tunaposoma haya maandiko hayatupi hofu?? Je mimi na wewe tumeshamwaga damu kwa ajili ya Kanisa? Maana Mwenyewe alimwaga damu kwa ajili ya Kanisa lake. Halafu sisi tunajimilisha!!

Hivyo tuepuke sana na tuchunge sana midomo yetu watumishi. Hizi kauli tunazotamka kwambaπŸ‘‰ "Hili ni Kanisa langu" "Hapa ni Kanisani kwangu" "Njoo Kanisani kwangu" "Mimi naponya kanisani kwangu". Haya ni maneno mabaya sana na hayampi Mungu utukufu, bali yeye anakuondolea ile nguvu yake ya kiutendaji na unabaki kuwa mfu kiroho na kiutendaji.

Mungu awabariki sana.
N imimi mtumwa katika Kristo Yesu
Mmissionary Shadrack Mwasonya.
Kwa mahitaji ya maombi Karibu sana
0786074455/ 0767074455
0713074455/ 0622074455

29/04/2019

Maandiko Matakatifu yanasema Uzuri wa Wazee ni ni kichwa chenye Mvii. Mbarikiwe sana.

Photos from Christian Power in Jesus Ministyr of Dar Es Salaam's post 10/12/2018

1CORINTHIANS 9:26-27πŸ‘‡πŸ‘‡

26 I therefore so run, not as uncertainly; so fight I, not as one that beateth the air:

27 But I keep under my body, and bring it into subjection: lest that by any means, when I have preached to others, I myself should be castaway.

05/07/2018

Daaaaaaah!! Huu ni mtikhaani kweli kweli kutoka kwa huyu Shekhe. Hebu msikilizee tupatie mawaidha haya.

03/07/2018

Hapa ni Mkoa wa Kayanza Nchi Burundi. Ni Mdahalo Kati ya Mashekh na Wainjilisti.

29/06/2018

Yesu kwa Kiarabu anaitwa Yasu'a na wala siyo Isa k**a jinsi watu wa Njia zingine wanavyolitumia. Hakikisha hili kwa kuiangalia hii Vedeo ya SIFA na KUABUDU kutoka Uarabuni.

11/06/2018

SOMO LA UUNGU WA YESU KRISTO KATIKA UKUMBI WA KIMATAIFA WA DIAMOND JUBILEE 2008

05/06/2018

Wokovu au maisha ya utakatifu yana gharama kubwa.πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Waebrania 12:3-4
3 Maana mtafakarini sana yeye aliyeyastahimili mapingamizi makuu namna hii ya watendao dhambi juu ya nafsi zao, msije mkachoka, mkizimia mioyoni mwenu.

4 Hamjafanya vita hata kumwagika damu, mkishindana na dhambi.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Dar Es Salaam