09/06/2015
MWANANCHI JITOKEZE KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA, ILI UIPIGIE KURA KATIBA PENDEKEZWA NA UCHAGUE VIONGOZI BORA KWA MAENDELEO ENDELEVU BAADA YA 2015
ALAT is an association of 168 District,Town,Municipal and City Councils in Tanzania Mainland.
It is the Voice of local government which advocates on behalf of Local Authorities. (Disclaimer: The views expressed here do not necessarily reflect the views of Association of Local Authorities of Tanzania.)
09/06/2015
MWANANCHI JITOKEZE KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA, ILI UIPIGIE KURA KATIBA PENDEKEZWA NA UCHAGUE VIONGOZI BORA KWA MAENDELEO ENDELEVU BAADA YA 2015
25/05/2015
Habari Njema Kwa wajasiria mali wa Manispaa Lindi mjini...
------Chanzo: HabariLeo Mei 25------
21/05/2015
Hatua Hii ya Wilaya ya Kisarawe ni Mfano wa Kuigwa.
*Yaanza kupima na kuuza Viwanja Kwa ajili ya Viwanda
*Viwanja kwa ajili ya Makazi vinakuja
*Wananchi wameshirikishwa Hatua zote kuepuka Migogoro
----------Kwa Hisani ya Gazeti la UHURU May 21/2015-------
13/05/2015
Positive discussions bring Sustainable Development / Mijadala chanya huleta Maendeleo Endelevu
Habari! Wengi wetu hatufahamu Idadi, Majina, wala Mahali zilipo wilaya nyiiingi nchini, Hasa zile mpya. Bonyeza Hapa kuzipata wilaya zote zilizopo ndani ya Tanzania...
https://www.dropbox.com/s/8sx3xa7fdpiznbp/Mikoa.pdf?dl=0
04/05/2015
KINONDONI YASHINDA TUZO YA HALMASHAURI BORA KATIKA BARA LA AFRIKA. Katibu mkuu wa ALAT taifa anapenda kuushukuru uongozi wa kisiasa chini ya Meya Mwenda na Watendaji chini ya Mkurugenzi Natty kwa kushiriki na kutuwaKilisha. Pichani katikati ni muwakilishi wa Kinondoni, Rais wa UCCLA kutoka cape verde Sarah Kyessi, akiwa ameshika tuzo hiyo. Hongereni sana.
30/04/2015
Miongoni mwa Mambo mazuri yaliyotokea kipindi cha Mkutano mkuu wa 31 wa ALAT uliofanyika Jijini Dar Es Salaam tarehe 8-11 mwezi wanne 2015, ni tukio la maandamano ya Amani ya Maadhimisho ya Miaka 30 ya kuanzishwa Serikali za Mitaa na ALAT. Maandamano yaliyoanzia ukumbi wa Karim Jee hadi ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere na kupokelewa na Waziri wa Nchi-OWM TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia na Manaibu wake Mh. Agrey Mwanri, na Mh. Kassim Majaliwa Pamoja na Viongozi wa juu wa ALAT. Tizama, ilikuwa Asubuhi ya tarehe 9 april 2015.
29/04/2015
Katika Tuzo za Mameya Mwaka 2015 (Tanzania Mayors Award2015) Zawadi ya mshindi wa Jumla ilikwenda kwa Mayor wa Kinondoni Mh. Yusuph Mwenda, Aliyepata zawadi ya Tractor lenye Thamani ya Tsh. Mil.50, zawadi hii ilitolewa na Benki ya NMB.
Association of Local Authorities of Tanzania is NOW on facebook. Please LIKE US...
ALAT Tanzania ALAT is an association of 168 District,Town,Municipal and City Councils in Tanzania Mainland. It is the Voice of local government which advocates on behalf of Local Authorities. (Disclaimer: The views expressed here do not necessarily reflect the views of Association of Local Authorities of Tanzania.)