15/10/2016
OFA OFA OFA OFA
Leo tutauza asali ya nyuki wadogo kwa shilingi elfu 26,000/= tu kwa lita moja.
(elfu ishirini na sita tu)
Asali itakayouzwa leo ni GRADE ONE tu tena nyuki wadogo.
NB: MSAMBAZAJI ATAKUWEPO KARIAKOO KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI MPKA SAA SITA NANUSU MCHANA BAADA YA HAPO ATARUDI KIBAHA.
mwisho wa ofa ni leo saa 12 jioni
TAFADHALI LIKE/SHARE HABARI HII NA WENGINE WAFAIDIKE NA PUNGUZO.
Namna ya kutambua ni ORIJINO asali hiyo ya nyuki wadogo..
1. chovya njiti ya kibiriti kwa asali kisha uwashe.
2. Dondosha kwenye mchanga ukijikusanya ujue iko safi.
3. Dondoshea kwenye maji ikishuka chini ujue safi.
WASILIANI NA MSAMBAZAJI KUPITIA
0689 55 44 38.
0755 077940
16/06/2016
Je unakaribia kujifungua? au mke wako anataria kujifungua ? njoo ujipatie vifaa vyako mapema vya kujifungulia. au wasiliana nasi kupitia.... 0766604552 upate huduma safi na salama. East Africa Television (EATV) Mwananchi MwanaSpoti Edo Kumwembe Bin Zubeiry Shaffih Dauda
05/06/2016
KARIBUNI.....wasiliana nasi kupitia 0766604552.
05/06/2016
Hellooooo wateja wetu wa Grants Car Tanzania LTD
unafahamu baadhi ya vifaa vinavyopatikana kwetu? chukua muda wa dakika tatu kufahamu MIKASI IFUATAYO AMBAYO HUTOIPATA TANZANIA NZIMA ZAIDIYA KWETU.....
1. knife handle
2. Backhaus towel clamp (penetrating)
3.Crile forceps/clamps, curved or straight
4. halstead mosquito forceps/clamps
5. Allis intestinal forceps
6. Babcock intestinal forcep
7. Schnidt tonsil forceps/clamps
8. Foerster sponge forcep
9. Mayo-Hegar needle holder
10. DeBakey tissue forceps
11. Russian tissue forceps
12. plain Adson tissue forceps
13. toothed Adson tissue forceps
14. straight Mayo scissors
15. curved Mayo scissors
16. curved Metzenbaum scissors
17. Yankauer suction tip
18. Poole suction tip
19. Weitlaner retractor
20. gelpi retractor
WASILIANA NA SISI KUPITIA..... 0766604552.
14/05/2016
Ofa Ofa ofa
Fika dukana kwetu sasa unapatia Ofa kabambe katika bidhaa zetu, kunapunguzo kubwa sana, njoo ujipatie vifaa
masikion kwa wasiosikia,
fimbo kwa watu wasioo
Yeboyebo za mahospitalini
Baiskel za walemavu
Mavazi ya manesi na mafunzo ya wanafunzi wanaojifunza unesi,
NB: tunakila kifaa unachokijua Wewe cha mahospitalini, Fika ujionee huduma yetu ilivyokuwa Bomba, na wafanyakazi wajanja na waukweli kabisa. Tunasafirisha Tanzania nzima Wewe tuma order yako upate vifaa kwa uhakika zaidi. Au wasiliana nasi kupitia 0766604552.
06/03/2016
Grants Care Tanzania Limited inawatakia wateja wake jumapili njema.
kesho kuna ofa wateja wetu watano wakwanza tutawapa zawadi kila mmoja wahisasa upate ofa zetu.
ukifika muone huyu mfanyakazi wetu bora mwaka 2014/2015 atakupa zawadi yako. Na kuna vifaa bora zimeshuka jana kutoka china. Njoo ujionee.
Haydah Kapigawasi Mohammed H Jivanjee Hawa Rajabu East Africa Television (EATV) Azam TV Alex Arbson Amina Nyangasa BBC Swahili Buy n Sell in Tz Bongo dealers Baisar Abdallah BizHuru Hamisa Yassin Khadija Hamisi Yasin Amaru Juma Yassin Bakwel Salum Pwacha Richard Baptist Ndunguru Bihaga Yogwa City DEALERS Coca-Cola Cloudsfm Radio Celebrity Swaggz Tanzania Diamond Platnumz Quick Deals Tanzania Shaffih Dauda
03/03/2016
Ofa Ofa ofa
Fika dukana kwetu sasa unapatia Ofa kabambe katika bidhaa zetu, kunapunguzo kubwa sana, njoo ujipatie vifaa
masikion kwa wasiosikia,
fimbo kwa watu wasioo
Yeboyebo za mahospitalini
Baiskel za walemavu
Mavazi ya manesi na mafunzo ya wanafunzi wanaojifunza unesi,
NB: tunakila kifaa unachokijua Wewe cha mahospitalini, Fika ujionee huduma yetu ilivyokuwa Bomba, na wafanyakazi wajanja na waukweli kabisa. Tunasafirisha Tanzania nzima Wewe tuma order yako upate vifaa kwa uhakika zaidi. Au wasiliana nasi kupitia 0766604552.
28/01/2016
Bado naendelea kusisitiza na kuwa kumbusha usiibiwe na kuuziwa vitu feki ikiwa original na imara vina patikana Grants Care Tanzania Limited, haswa mama wajawazito vifaa vya kujiandaa na kujifungulia vilivyo bora njoo ofisini kwetu, wasilaiana na sisi kwa urahisi zaidi 0766 60 45 52
26/01/2016
Je unaduka la dawa?
Je una hospitali?
Je mke wako ni mjamzito?
Je choo chako ni kichafu?
Je unamatatizo ya presha?
sasa fika Grants care Tanzania LTD ni mkombozi wako, utapata vifaa vyote kwa bei rahisi, vifaa vyote vya maandalizi ya kujifungua na dawa za chooni zenye quality ya juu mashine za presha za kisasa kwa bei poa. k**a uko mbali tutakutumia tupigie simu namba 0766 60 45 52...../ 0784 60 45 62