23/03/2026
KUMCHA MUNGU NDIYO MWANZO WA HEKIMA.
Matendo makuu ni ya Mungu, lakini maneno matupu ni ya shetani,
Kwa maana, imani bila matendo ni bure, hivyohivyo ukitaka kupokea uponyaji, baraka, kibali, Ushindi, Mafanikio nk kuwa mtu wa matendo, utakuwa unamuqakilisha Mungu katika kila eneo la Maisha yako.
Naye, hatakuacha, maana yeye ni Mungu wa haki na kweli, anasimamia Neno Lake na Agano Lake milele.
Haleluya! Amen.
Alfa & Omega Ministry Kepha Chapel
Local business
01/01/2024
UJUMBE WA MWAKA MPYA 2024,
NAKUOMBEA KWA MUNGU UBADILIKE TUSAIDIE WATOTO WA MITAANI TUWE WAZAZI WAO.
Utafiti wa kitaalamu unaonesha jumla ya watoto wanaozaliwa duniani 3/4 ni wakike wakati 1/4 ni wa kiume
Lakini je? Unajua SHETANI ndiye chanzo cha watoto wa mitaani dunia nzima?
HII IKOJE?
Kusudi la Mungu siyo kuwa na watoto wa mitaani kusudi lake ni hili
"Enendeni mkazaliane na kuzidisha mkaijaze nchi na kuitiisha" Mwanz 1:28
MIFANO HALISI YA UUMBAJI
Kuna wanyama inaonyesha Mungu Aliwapa uwezo jinsia ya kiume kuishi na wakike wengi. Mfano jogoo 1 mitamba 50,Beberu 1 mbuzi jike 50, Dume la ngombe 1 ngombe jike 50
VIPI KUHUSU BINADAMU?
Neno la Mungu linathibitsha mwanaume 1 kuwa na uwezo wa kumiliki wanawake 50-100000 na kuwazalisha soma 1 Wafalme 11:3 (Suleman), Mwnz 35:22-26 (Yakobo)
Shetani ameweza kupenya kwenye ndoa na kusababisha watoto wa mitaani (Ameirejesha Sodoma na Gomora kwa namna nyingine)
Anatumiamia mbinu zifuatazo,
1.Ndoa ya mke mmoja inazalisha watoto wa mitaani
2.Ndoa za jinsia moja (Ushoga na kusagana) na ubakaji.
3.Vifo vya mapema kwa wanaume na kuacha wanawake wajane kila kona na watoto yatima
SULIHISHO NI NINI?
Tumwamini Mungu na tutii neno lake!Wanaume wenye uwezo waoe wake wengi Isaya 4: 1-4,Luk 1:25/Mwz 30:23/Kumb 6:4-9/Kumb 21:I5-17 , na wasio na Uwezo, waoe Mke mmoja, Mwzo 24:52-60.
KWA PAMOJA TUNAWEZA KUUBADILI ULIMWENGU
NA Mtishbi Q Mbukwa(Mbukwa Eagle Trust Fund /Alpha and Omega ministry Kefa Chapel).
0768621260/0788138393
30/12/2023
MWANAUME, UNAIJUA DAWA YA KUKUTENGA MBALI NA MAOVU YAKO? AU MARADHI YA KURITHI? AU VIFUNGO VYA NGUVU ZA GIZA AU UCHAWI? Exodus 22:18.
* Huna amani kabisa Moyoni, unahisi ufahamu wako umek**atwa mahali.
* Unafanya mapenzi usiku Mara kwa Mara na mwanamke usiyemjua.
* Unaroho ya Kukataliwa, hakuna boss anaeikubali kazi yako, kila MTU anakuchukia na kukulaani tu bila kosa.
* Mipango yako yote imekwama kabisa hadi umechanganyikiwa.
* Huna maamuzi, kwani unahisi unatumikishwa kichawi mahali.
* Unajihisi Huna thamani kabisa, wewe NI sasa tu na marehemu anaetembea.
* Umevunjika Moyo unaona bora kufa kuliko kuishi
* Unahisi Wewe ni MTU wa kuumizwa tu katika mahusiano au ndoa,
* Wanawake hwadumu na wewe katika mahusiano au ndoa, wahahisi una mkosi au Laana
* Hadi sasa hakuna unachomiliki, k**a ndoa, ardhi, Biashara au kazi, upoupo tu k**a Zombi
DAWA HIYO INAITWA SETH, ni dawa ya kuwaponya Mataifa, inaokoa maisha ya wanaume kutoka kwenye vifo vya mapema vinavyosababishwa na Wanawake waovu, na kuacha nyumba za wajane kila kona duniani, Rev 22:2/Ezek 47:12
Mwonaji NA Tabibu Mtishbi Q Mbukwa, Act 3:23
CEO wa Mbukwa Eagle Trust Fund ( WAHITAJI NA MASIKINI) Hata wewe, changia, k**a " HUTAKI, BASI USIWAUMIZE"
PIA NINA HUDUMA YA MWAMBA WA KEPHA ALFA NA OMEGA ( UPONYAJI NA UKOMBOZI WA NAFSI KUTOKA KWENYE MAOVUNI, MARADHI YA KURITHI, VIFUNGO VYA NGUVU ZA GIZA AU UCHAWI)
Omba Rehema, Luka 23:34, Coloss 1:13, Dan 9:3-23
NAKUOMBEA kwa Mungu ukombolewe, kheri ya mwaka mpya 2024
0768621260
30/12/2023
JE, UNAIJUA ZAWADI NONO YA KUMPA UMPENDAE MWISHO WA MWAKA HUU? MUNGU ANA KUSUDI NA NINYI.
* Baada ya Eva Kuumbwa katika bustani ya Edeni, Shetani akiwa Nje ya Ukuta wa bustani ya Edeni, akairusha ndoana ya kichawi kwa Eva nayo Ikamnasa Eva katika Uke wake (nafsi), Gen 2:27
* Kiisha akaanza kumburuza Eva k**a Samaki hadi kwenye Mti wa Ujuzi wa Mema na Mabaya, Shetani akamlazimisha Eva kulichuma tunda like la katika na kulila, halafu lingine na kumpelekea Mmewe Adamu, naye akalila, (Wanandoa), huo ndiyo ukawa mwanzo wa anguko la dunia Maovuni, Math 13:24-27
* Na Wanaume Waovu, Wanaendelea kuwawinda Wanawake wenye Karama kubwa (nyota) ya Mungu, wanawapakia kwa Siri kwenye Uume, Uchawi wa NSAMBA na kuwaingilia kwa gharama yoyote ile, na kufaulu kuwamata Uchi wao na kuwaingizia uchawi huo wa kuwatesa, hatimaye, huzifyonza hazina zao zote za utajiri uliowekezwa na Mungu ndani yao, huku Wanawake hao wakibakia watupu tu k**a BOYA tu, Rev 5:12, na kuishi kwa mateso, halafu, huingiziwa roho ya Mauti na kuwatumikisha, huwatoa kafara ya damu kwa Shetani ili waliwe nyama zao na damu zao, Ezek 16:20-21
DAWA YA NACHUJA NDIYO SULUHISHO KWA WANAWAKE WOTE DUNIANI.
Ukitawazia, inakukomboa nafsi na kuua Uchawi wote ulionasa katika lango la Uke wako, na ukiinywa, inaua milele Uchawi wote unaokutesa ndani yako, na kukutakasa, sawasawa na kusudi la Mungu, Gen 1:28.
Mwonaji na Tabibu Mtishbi Mbukwa, Act 3:23.
"Mungu utusaidie"
0768621260
30/12/2023
2. DAWA YA MTI WA SETH.
Divine secret, 1King 4:29.
Ni Dawa ya kuwaponya Mataifa na kuokoa nafsi zao kutoka kwenye vifungo vya nguvu za Giza, au Uchawi au Maradhi ya Kurithi, au Ndoa chungu au Mahusiano bandia, Rev 22:2/ Ezekiel 47:12.
KAZI YAKE:
1. Kuwakomboa nafsi wana wa Mungu na Kuwaweka huru kutoka kwenye magereza ya ukoo k**a Mizimu, roho ya Mauti (Mke wa kurithi au Mme), Jinimahaba, na sumu za DAWA k**a P2, Uzazi wa mpango na Maradhi ya kurithi k**a Pressure, Kisukari, Kuziba mkojo (Prostate) na Kansa
2. Hurefusha maisha kwa wanaume na kuzuia vifo vya mapema vinavyotokana na kulishwa uchawi au dawa za mapenzi K**a Limbwata, Nsamba unayopakiwa Ukeni au Uumeni, nyongo ya mamba, mnayolishwa na kuwaua wanaume na kuwaacha wake zao wajane pekee yao kote duniani (detoxification) Lawi 20:27.
3.Hubalance mfumo mkubwa wa hormone ya Uume na kukufanya kuwa lijali mkuu
4. Huzui mfadhaiko wa mawazo na kutibu,(Ants trees, Malaria, Fangas, bacteria, virus, & stress solution).
5. Hulinda kipawa chako (nyota) isichukuliwe na adui, kukuua na kukitumia kichawi 2King 4:38-40.
MATUMIZI:
Kunywa robo Grass X2 kutwa na kutawazia sehemu za siri mara kwa Mara.
Noted: Wanawake, wanunulie waume zenu dawa hii, ili kuwaepusha na vifo vya mapema, maana wanawindwa na Majezibel nje ya ndoa kwa gharama yoyote ile ili tu wawak**ate na kuwaweka ndani ya chupa na kuwatumikisha kwa masilahi yao binafsi huku wewe uitwe mjane na kuteseka na watoto wako.
"Kinga ni bora zaidi kuliko kutIbu".
30/12/2023
MWANAUME, UNAIJUA DAWA YA KUKUTENGA MBALI NA MAOVU YAKO? AU MARADHI YA KURITHI? AU VIFUNGO VYA NGUVU ZA GIZA AU UCHAWI? Exodus 22:18.
* Huna amani kabisa Moyoni, unahisi ufahamu wako umek**atwa mahali.
* Unafanya mapenzi usiku Mara kwa Mara na mwanamke usiyemjua.
* Unaroho ya Kukataliwa, hakuna boss anaeikubali kazi yako, kila MTU anakuchukia na kukulaani tu bila kosa.
* Mipango yako yote imekwama kabisa hadi umechanganyikiwa.
* Huna maamuzi, kwani unahisi unatumikishwa kichawi mahali.
* Unajihisi Huna thamani kabisa, wewe NI sasa tu na marehemu anaetembea.
* Umevunjika Moyo unaona bora kufa kuliko kuishi
* Unahisi Wewe ni MTU wa kuumizwa tu katika mahusiano au ndoa,
* Wanawake hwadumu na wewe katika mahusiano au ndoa, wahahisi una mkosi au Laana
* Hadi sasa hakuna unachomiliki, k**a ndoa, ardhi, Biashara au kazi, upoupo tu k**a Zombi
DAWA HIYO INAITWA SETH, ni dawa ya kuwaponya Mataifa, inaokoa maisha ya wanaume kutoka kwenye vifo vya mapema vinavyosababishwa na Wanawake waovu, na kuacha nyumba za wajane kila kona duniani, Rev 22:2/Ezek 47:12
Mwonaji NA Tabibu Mtishbi Q Mbukwa, Act 3:23
CEO wa Mbukwa Eagle Trust Fund ( WAHITAJI NA MASIKINI) Hata wewe, changia, k**a " HUTAKI, BASI USIWAUMIZE"
PIA NINA HUDUMA YA MWAMBA WA KEPHA ALFA NA OMEGA ( UPONYAJI NA UKOMBOZI WA NAFSI KUTOKA KWENYE MAOVUNI, MARADHI YA KURITHI, VIFUNGO VYA NGUVU ZA GIZA AU UCHAWI)
Omba Rehema, Luka 23:34, Coloss 1:13, Dan 9:3-23
NAKUOMBEA kwa Mungu ukombolewe, kheri ya mwaka mpya 2024
0768621260
30/12/2023
MWANAMKE, UNAIJUA DAWA ILIYO NA UWEZO WA KUNG'OA MAOVU YA UKOO YALIYO NDANI YAKO? AU MARADHI YA KURITHI K**A JINIMAHABA? AU VIFUNGO VYA NGUVU ZA GIZA AU UCHAWI? Lawi 20:27.
* Huna amani kabisa Moyoni, unahisi tunda lako limek**atwa mahali
* Una roho ya Kukataliwa hakuna mwanaume anaekuhitaji
* Umekata tamaa, unaona bora kufa kuliko kuishi
* Mahusiano au ndoa, imekuumiza, sasa Moyo wako unavuja damu
* Huwezi tena kusamehe, kuachilia, na kusahau, Bali kulipa tu kisasi
* Huna maamuzi tena upoupo tu k**a Msukule
Dawa hiyo inaitwa NACHUJA
Imetengenezwa na Miti mitakatifu ifuatayo:
1.Mzeituni, Math,26;30/Exodus 27:20, Isay 10:27
2 .Asali na Maziwa, Numb 13:27, Duetr 6:3.
3 Mlozi, Gen 30:37.
4. Mzabibu, Yoh 6:56-58, Math 26:26-28.
5 . Maji Matakatifu, Rev 11:6, John 13:3-10, Exodus30:19-21.
MATUMIZI:
Nzuri sana kwa Kunywa 1/4x2 kutwa na Kutawazia Sehemu za Siri
Tabibu na Mwonaji Mtishbi Q Mbukwa, Act 3:23
Mkurugenzi wa Mbukwa Eagle Trust Fund
(Inayoshughulika na kuwasaidia Wana wa Mungu, Wahitaji na Masikini) na hata Wewe unakaribishwa kuchangia gharama, na " k**a hutaki, basi Usiwaumize"
Pia nina Huduma ya Mwamba wa Kepha Alfa & Omega (Kepha Chapel) Inayoshughulika na Ukombozi wa Nafsi kwa Wana wa Mungu, kutoka kwenye VIFUNGO vya NGUVU za Giza au UCHAWI, MAOVU ya Koo zetu, pamoja na Maradhi ya KURITHI)
Omba Rehema, Luka 23:34, Coloss 1:13, Dan 9:3-23.
+255768621260
[email protected].
NAKUOMBEA KWA MUNGU UKOMBOLEWE, KHERI YA MWAKA MPYA 2024.
26/12/2023
VIFUNGO VYA NGUVU ZA GIZA AU UCHAWI, MAOVU YA KOO ZETU AU MAGONJWA YA KURITHI.
Hizo ndizo Sllaha kuu za Shetani zinazoongoza kusababisha Vifo vingi zaidi kote ulimwenguni.
Ndiyo maana Mwenyezi Mungu kupitia neno lake kutoka katika Kitabu cha Waefeso 6;12 anasema, " Kushindana kwetu sisi si kwa Mwili na Nyama, Bali ni kati ya Falme na Mamlaka ya Wakuu wa Giza hili na Majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho"
Maana yake ninini?
Maana yake tunashambuliwa na Mizimu ya Ukoo, Mashetani, Majini, Mizuka ( roho ya Mauti au Mme/Mke wa kurithi), Mapepo, Makafara, Manuizo, Viapo, Laana, Uchawwi, Ushirikina, Maagano, Matambiko, Mikataba ya Kuzimu na roho zote chafu kutoka kwa shetani na Mawakala wake wa malango ya kuzimu.
Hapo sasa, kuna Vita vinapiganwa shetani ana silaha nzito ndiyo maana Mungu anatupa silaha nzito zaidi ya zile za shetani
Muonaji na tabibu Mtishbi Q Mbukwa, kupitia neno la Mungu atakupa silaha zinazotokana na Efeso 6:13-17
"Vaeni silaha zote za Mungu ..."
Utapata silaha zifuatazo ikitegemeana na vita take
1.Mawe 12 Josh4:20-24
mawe 5 1Sam 17:4051
2.Sethi(Ufun 11:6,Yoh 13:3-10
3.Mafuta matakatifu Isay 10:27/Yak 5:14
4.Damu ya Yesu Yoh 6:56-58,Math 26:26-28
KUMBUKA:Silaha zote hizi zinakamilishwa na maombi, Nabii Eliya aliomba na kusujudu x7 hadi wingu dogo likatokea baharini na mvua ikanyesha sana baada ya kukauka miaka 31/2. 1Waf 18:42/E
feso 6:18.
Silaha hizi zinaweza kukupa ushindi na Utakua Huru Daima.
Wasiluana nasi
0768621260/ 0788138393
25/12/2023
Mbukwa Eagle Trust na Alpha and Omega ministry tunawatakia kheri ya sikukuu ya kristmass, azaliwe na kwako pia.
Of ya Huduma na dawa zetu bado inaendelea hadi tarehe 10 January 2024
Wakati tunasheherekea tukumbuke pia kuna WAHITAJI NA MASIKINI nao wafurahi.Lakini pia k**a uko karibu na mgonjwa msaidie kwa kumuunganisha na sisi ili apate matibabu au akombolewe.
Tunaendelea kuhudumia wagonjwa kupitia dawa zetu za
Sethi-Dawa ya wanaume inayomkomboa mwanaume dhidi ya wanawake waovu na wachawi.Pia inabalance mfumo wa homoni za mwanaume.
Nachuja-Dawa ya wanawake inayokomboa ndoa kutoka kwenye vifungo vya nguvu za giza au uchawi,maovu ya ukoo au magonjwa ya kurithi.Pia inabalance mfumo mkuu wa homoni za wanawake.
Mitimingi -Kinga dhidi ya malaria,fangasi,virusi,baktea,mawazo na suluhisho la msongo wa mawazo.
Mwafi-Dawa ya kungarisha meno na kutibu
Mawe 12-Silaha za Mungu zinazovunja madhabahu ya kwanza ya ibilisi kwa mtu inayomnyima amani na kumjengea madhabahu ya Mungu inayomkomboa na kumpa amani ya milele.Ni ulinzi wa biashara na uchumi wako.
Families Nutrition gapes-Inajazia mapungufu ya lishe katika mwili wa binadamu
Family phytogeny ni kinga ya seli.Ni daraja kati ya Uzima na Mauti.
Nb:Dawa zetu ni Asili zilizo katika misingi ya kibiblia
Tunapatikana
Daresalaam-Ndani ya soko la makumbusho jengo la utawala chumba naomba 1.
Arusha-Ngusero mwisho wa hiace kwa Shabani nyumba naomba 16
MwazaNyakato NHC nyumba naomba 16 Mnadani.
Mawasiliano.
0768621260/0788138393
24/12/2023
Through hills and valleys struggling in the World then God through me made the establishment of Mbukwa Eagle trust fund and Alfa and Omega ministry.
I spend all of my time to support poor and needs,heal and deliver people from evils spirits,tough bonds,witch craft and heritage diseases.
I used to cure people through my natural medicine with biblical roots.
That's why today I thank God for his will of keeping me alive so as to fulfill the plan of helping,healing and deliverance of his people.
I spread all these services in Tanzania,Africa and soon will become the World's powerful healing and deliverance institution.
"Lord confirm your word,Jer:4:1-2,Confirm me Your servant Iss 44:26 and confirm that This ministry comes from you.Psal 90:17"
HAPPY BIRTHDAY TO ME
Let's celebrate together this important day in my life.
20/12/2023
MWANAMKE, UNAIJUA DAWA YA KUONDOA UCHUNGU MKALI SIKU YA KUZAA KWAKO MTOTO?
1. Inang'oa Vifungo vyote Vya Nguvu za Giza au Uchawi k**a unayo au Magonjwa ya kurithi, (Ni neno la Mungu).
2. Ina Cassium kwa wingi sana, hivyo hufungua njia ( Nyonga) saizi zaidi ya Kichwa cha Mwanao. Mtoto atazaliwa Salama Salimini, tena kwa haraka mno, (kwanini inatengeneza uteute mwingi kwenye utelezi wa kutosha.)
3. Inazuia Upasuaji wa aina yoyote ile, hata k**a umewahi Kuzaa mara 3 kwa njia ya Upasuaji, kwani njia inakuwa iko wazi siku 3 kabula ya kuzaa kwako.
4.Inazuia Kifafa cha Mimba na Vifo vya Mama na Mwana, Siku ya kujifungua (Ni kings na tiba).
5. Inabalance pressure ya juu na ya Chini kuwa kawaida siku ya kuzaa kwako, kwanini INA Bit E kwa wingi mno (Daktari bingwa wa Uzazi wa Wanawake)
Hata k**a ulipanga Mtoto apitie tumboni kwa kupasuliwa ili usiuone Uchungu, atalazimika kutoka kupitia Ukeni, na huo ndiyo Mpango wa Mungu juu yako, Gen 1:28
Baada ya kuitumia dawa hivyo kabla, Ukiona tu dalili ya Uchungu hats kwa mbali tu, kimbilia kwenye kituo cha Afya au Hosipitali ulipopangiwa kwenda kujifungulia, ukichelewa, itakuwa na hatari ya kuweza kujifungua njiani bila Msaada wa Waganga. Maana siku hiyohiyo utakayoiona hiyo dalili ya Uchungu, na ndiyo siku utakayozaa Mtoto wako na kumnyonyesha
Dawa hivyo inaitwa SETH, Ni dawa ya kuyaponya Mataifa, Rev 22:2/Ezek 47:12
Imeandaliwa na Tabibu ,& Mwonaji Mtishbi Mbukwa, Act 3:23
KWA PAMOJA TUNAWEZA KUIBADILISHA DUNIA,
" MUNGU ATUSAIDIE"