01/05/2021
EPZA wishes you Happy Workers Day 2021
The Export Processing Zones Authority (EPZA) Tanzania gives you the greatest opportunity to realise your entrepreneurial ambitions. We are an investment pr
01/05/2021
EPZA wishes you Happy Workers Day 2021
30/04/2021
Waziri wa Viwanda na Biashara alipotembelea kiwanda kilichopewa leseni na EPZA,mabibo Dsm
30/01/2021
Welcome to EPZA our New Director General Mr.Mathew Mnali,handing over ceremony at EPZA
12/01/2021
Team ya Wizara ya Viwanda ikiongozwa na Mh Waziri, Naibu Waziri na Naibu Katibu Mkuu watembelea EPZA
14/08/2020
EPZA ikiendelea kuhamasisha Uwekezaji Simiyu Nanenane 2020
OUR DIRECTOR GENERAL ( DG) JOSEPH SIMBAKARIA discussing about SADC
05/07/2019
Mamlaka ya maeneo maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje inakukaribisha kutembelea banda lake lililopo ndani ya SABA SABA barabara ya pili kutoka lango kuu.
02/07/2019
Mamlaka ya maeneo maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje inakukaribisha kutembelea banda lake lililopo ndani ya SABA SABA barabara ya pili kutoka langu kuu. @ SabaSaba Grounds
Tanzania TOOKU Garments Ltd watengenezaji wa jeans aina za na wapo ndani ya Benjamin William Mkapa Mabibo External
Pia ni kiwanda pekee kinachozalisha nguo 1000 kwa siku na kusafilishwa nje za nchi kwa ajili ya kuuzwa.
Mkurugenzi Mkuu wa (EPZA) Kanali Mstaafu JOSEPH SIMBAKALIA akitoa stori fupi ya mfumo wa uchumi wa viwanda na historia yake.
09/05/2019
Mkurugenzi wa Uwezeshaji Uwekezaji wa EPZA JAMES MAZIKU akishiriki kikamilifu katika kongamano la biashara la Tanganyika Business Forum mkoani KIGOMA.
Lengo la kongamano ni kuhamasisha ukuaji wa biashara kati ya mkoa wa kigoma na nchi jirani zinazopakana kupitia ziwa tanganyika,kama vile Congo,Burundi,Rwanda na Zambia.
03/05/2019
EPZA Leo iliwaalika waandishi wa habari wa kituo cha Chanel 10 wanaotangaza Baragumu kujua zaidi nini haswa maana ya uchumi wa viwanda.