Bakari Salum Tanzania

Bakari Salum Tanzania

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bakari Salum Tanzania, Public & Government Service, Dar es Salam.

Photos 08/11/2016
Photos from Bakari Salum Tanzania's post 19/06/2016

Navumilia kua mtanzania

11/04/2016

Cheo kisikufanye uwe mpumbavu # kitumie pamoja na akili na maalifa # cheo bila akili ni bure.

Photos 15/02/2016

.

Photos from Bakari Salum Tanzania's post 12/02/2016
12/02/2016

Siongezi chochote maana haya ndiyo malezi tunaowapa watoto wetu.

Photos from Bakari Salum Tanzania's post 12/02/2016

Hata mkipendana sana kila mtu atazikwa peke yake ( tujiandae na kfo )

12/02/2016

Usijute kuzaliwa maana haujui kusudio la mungu kwako.

11/02/2016

Unaweza ukaipenda siasa na wakati huo huo ukawachukia wanasiasa #

11/02/2016

Kila kitu kina nafasi yake na kila kitu kinawakati wake. Je wajua nini ninachomaanisha?

11/02/2016

K**a wewe ni kijana tambua kukata tamaa ni adui wa mafanikio kubali kujifunza kwa waliofanikia ,usifikirie kwamba mwanasiasa yupo kwa ajili ya kukukomboa wewe kiuchumi la hasha pambana wewe k**a wewe nibora jamii ikudharau kwa kazi isiyokua na hadhi unayoifanya lakini wewe mbele yako unauona mwanga # maisha ni k**a kioo ukiyachekea nayo yanacheka.

Want your business to be the top-listed Government Service in Dar es Salam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Dar Es Salam