Uvccmlscobe

Uvccmlscobe

Share

THE HOME OF INTELLECTUAL PATRIOTS οΏ½ οΏ½
Our Angle @ccmtanzania
Our Side @uvccm_tz
Branch @uvccmslcobe

Photos from Uvccmlscobe's post 02/06/2025

PICHA: Vijana makini wa UVCCM katika MKUTANO MKUU WA CCM uliofanyika 29-30/05/2025

02/06/2025

πŸ“MAFUNZO YA INTERNISHIP NA FURSA ZA DR. SAMIA SULUHU HASSAN

> UONGOZI WA UVCCM – SENETI YA VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DODOMA
πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°πŸ”°
Chini ya Mwenyekiti wake na Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa , Ndugu Jackson Muganyizi, unawataarifu wahitimu wa mwaka 2025 na wanavyuo wote wanaoendelea na masomo kuwa wamewaandalia fursa maalum ya Mafunzo ya Praktikali (Internship) kutoka kwa wataalamu wa serikali .

Lengo ni kuwajengea uelewa wa kiutendaji, kuwaandaa kwa huduma za kujitolea katika taasisi za umma, na kuwaweka karibu na fursa rasmi za ajira baada ya masomo.

πŸ‘‰ Jiandikishe kwa viongozi wa matawi (katibu) mapema ili usikose nafasi hii adhimu.
πŸ—“ Mwisho wa kujiorodhesha : 6 Juni 2025.

πŸ”” NAFASI NI CHACHE – WAHI SASA!





Imetolewa na Katibu Hamasa UVCCM seneti Mkoa wa Dodoma.

Photos from Uvccmlscobe's post 02/06/2025

PICHA: Mashindano ya Mezani kuendelea kutimua vumbi katika Viunga vya chini ya usimamizi wa Katibu wa UVCCM TAWI ndugu πŸ’šπŸ’šπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

30/05/2025

πŸŽ‰ SENETI MKOA WA DODOMA - UVCCM COBE & SOL UDOM inawaletea:
πŸ† MASHINDANO YA MABINGWA WA MICHEZO YA MEZANI! πŸ†

πŸ—“ Tarehe: 31 Mei 2025
πŸ“ Eneo: BP Cafeteria, UDOM
⏰ Kuanzia saa 12 jioni - Nakuendelea!

✨ Mambo makubwa yatakayokufurahisha:
βœ… Kuangalia Ligi ya Mabingwa Ulaya
βœ… Mashindano ya pool table
βœ… Mashindano ya bao
βœ… Mashindano ya kucheza karata
βœ… Usajili wa CCM kwa njia ya KIELEKTRONIKI

πŸ’₯ Burudani, Ushindani, Zawadi, Marafiki wapya na Furaha tele! πŸ’₯

πŸ‘‰USIKOSE! NAFASI YA KUJISAJILI KIELEKTRONIKI Chama Cha Mapinduzi
πŸ‘‰ USIKOSE! Hii ni nafasi ya kuonesha umahiri wako, kuungana na wenzako, na kufurahia jioni ya kipekee.
πŸ‘‰SIKILIZA DARASA KUHUSU Chama Cha Mapinduzi

✊🏽 Wote mnakaribishwa kwa mikono miwili!
Imetolewa na Idara ya Hamasa COBE na SOL UDOM.

Photos from Uvccmlscobe's post 24/05/2025

FIRST TIME VOTERS KUTOKEA TAWI KUBWA UDOM CoBE & SoL WASHIRIKI MATEMBEZI TAR 24/05/2025πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

24/05/2025

TAARIFA TAARIFA TAARIFA!
πŸ”°πŸ”°πŸ”°
Wapendwa safari ya Mahafali itaanzia kwenye matembezi kuelekea ukumbini. Hivyo kwa wahitimu wote waliotuma majina kwangu mnapaswa kutoka mkiwa mmevaa kabisa na wasindikizaji pia mnakaribishwa.

*Narudia tena wakuu wahitimu tutoke tukiwa tumejikamilisha na wahitimu watarajiwa.*

Muda ni saa1 kamili Alfa magari yanaondoka.

UKIPATA TAARIFA HII MJULISHE NA MWENZIOβœ…

24/05/2025

πŸ’š πŸ’š πŸ’š KIJANI FIRST TIME VOTER.
TUNAKUTANA DODOMA

22/05/2025

TAARIFA MUHIMU KWA WANA CHAMA WOTE

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIπŸ”°πŸ”°

NAMNA YA KUSHIRIKI KIKAMILIFU MAHAFALI YA SENETI MKOA WA DODOMA TAR 24/05/ 2025 NI:

1.KWA WAHITIMU WOTE NI ELFU KUMI PEKEEE :ambayo itawasilishwa kwa katibu wa TAWI

2.WASHIRIKI WENGINE :kwa wale ambao sio wahitimu yaani wanaondelea na masomo(mwaka wa kwanza na continuous) watashiriki bila ya malipo yoyote ila watatakiwa watume majina Yao kwa Wajumbe wa Idara ya Uratibu.

Zingatio
Ni muhimu kwa wahitimu na washiriki wengine kushiriki kikamilifu Kwani patakuwa na vyeti au hati kwa wahitimu wote

Imetolewa na katibu hamasa wa TAWI la cobe and sol -UDOM

22/05/2025

MAFANIKIO YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA KATIKA SEKTA YA UTALII

24/04/2025

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI βœ…πŸ”°βœ…πŸ”°βœ…πŸ”°
NI IMANI YANGU UJUMBE HUU UNAWAKUTA NYOTE MKIWA VEMA,
Kamati ya Uratibu CoBE & SoL- UDOM inawatangazia wanachama wote kuanzia wapya waliojisajili kielektroniki na kupokea jumbe za kuchkua kadi, pia wale walio na changamoto ya taarifa na muhimu pia wale ambao hawakuweza kujisajili hapo awali.

SIKU YA JUMAAMOSI TAREHE 26 APRILI 2025 SAA SABA MCHANA tutatembelewa na Afisa Tehama kwaajili ya wanachama KUCHKUA KADI, KUREKEBISHA TAARIFA na KUJISAJILI tutakutana BP CAFE kwa ajili yakwenda kufanya mazoezi ainishwa hapo kwa umoja wetu.

MWAMBIE MWENZIO AMWAMBIE MWENZIE,
Mara baada ya siku hiyo hakutakua na zoezi linalofanana na hilo tena. TUZINGATIE HILO.

FADHILI AB,
KATIBU CoBE &SoL - UDOM.

18/04/2025

HERI YA SIKU YA KUZALIWA COMRADE RUTH STEPHEN MAKENE (MJUMBE KAMATI YA URATIBU TAWI LA UVCCM COBE & SOL - UDOM).

TAWI la UMOJA wa VIJANA wa chama Cha mapinduzi linatambua mchango wako juu ya kukijenga,kukilinda na kukiimalisha chama ndani na nje ya chuo kikuu Cha dodoma,Na sisi tunaungana nawe kwenye siku hii adhimu yenye mfano wa siku yako ya kuzaliwa mungu akupe maisha marefu na yenye baraka kiongozi wetu.






Imetolewa na katibu hamasa TAWI la cobe and sol -UDOM

18/04/2025

HERI YA SIKU YA KUZALIWA Dr FRANK P. MENDA (MLEZI TAWI LA UVCCM COBE & SOL -UDOM).

TAWI la UMOJA wa VIJANA wa chama Cha mapinduzi linatambua mchango wako juu ya kukijenga,kukilinda na kukiimalisha chama ndani na nje ya chuo kikuu Cha dodoma,Na sisi tunaungana nawe kwenye siku hii adhimu yenye mfano wa siku yako ya kuzaliwa mungu akupe maisha marefu na yenye baraka Mlezi wetu.






Imetolewa na katibu hamasa TAWI la cobe and sol -UDOM

Want your business to be the top-listed Government Service in Dodoma?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


Ntyuka
Dodoma
41100

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00